Yanayojiri katika uchaguzi wa madiwani, 28 Oktoba 2012 katika kata mbalimbali

Wild fauna

JF-Expert Member
Apr 22, 2012
461
189
Salamu wakuu,
nipo kata ya daraja mbili arusha najiandaa kwenda kupiga kura yangu.
Hali naona ni shwari,watu wengi ndio wanajiandaa kwenda kutimiza haki yao ya msingi.nitaendelea kuleta update toka hapa daraja mbili,
je katani kwako hapo vp? Please tupe update
 
...bado mapema mmo mkuu, tutakupa kinachojiri kadri ya tutakavyokuwa tukipata habari
 
Daraja mbili naamini kimeashaeleweka kabisa, naamini kata zote hizo mbili ni za CDM na kule kwa mkuu wa anga nako sina shaka, kwa hiyo kwa hesabu ya haraka haraka kati ya kata 29-3 ndiyo ambazo tunanyang'anyiana.

Hapo sijaenda kwa wasukuma kule Geita,
 
Jamani wanajamvi mlioko sehemu mbalimbali za taifa letu hili hasa katika vituo vinavyoendesha uchaguzi wa madiwani kwa leo, tunaomba mtujuze updates info za nini kinachoendelea kadri muda unavyokwenda.
Tunaombea uchaguzi uwe wa AMANI.
 
Hali ya nchi jinsi ilivyo kwa sasa udini,ukabila,umasikini,elimu duni ni mengi ila atakayeipa ccm kura na alaaniwe kabisa!
 
mbona marekebisho juu ya kadi za uchaguzi hayajafanywa? je inamaana sio wananchi wote wenye haki za kuwachagua madiwani?
 
Good news mkuu, vipi yule bazazi Mjusi????

tumemdhibiti na tunamfatilia kila hatua, vijana wake walijaribu kuwatisha wapiga kura wakiongozwa na jambazi sugu anaitwa Mojaa ila wamesambaratishwa.
mziki wa leo mkubwa hata wakimleta mamba tunamtafuna vibaya.
 
Huko Shinyanga:
Gari ya Mbunge wa Viti maalum (CHADEMA) Mhe.Rachel Mashishanga imeshambuliwa kwa mawe wakati akipeleka mawakala vituoni asubuhi ya leo. Taarifa zaidi zinasema kuwa wafuasi wa ccm wamempiga mmoja wa mawakala hadi kumpasua jicho.

(c) Mhe. Rachel
 
Huku mwawaza kulitokea fujo. Gari la rachel mashishanga lilipingwa mawe na mdogo wake kaumizwa. Ccm wametuma majambazi wenzao kufanya ujinga huu.
 
Back
Top Bottom