Umoja mpya wa Vijana CCM (UMVCCM) ulioasi UVCCM sasa kutikisa nchi, Kuja na 'CCM Halisi'

Mr Emmy

JF-Expert Member
Mar 12, 2012
1,219
550
Majemedari wa Umoja mpya wa Vijana CCM (UMVCCM) sasa kutikisa nchi, katika harakati ya kukikomboa chama kutoka katika Mikono ya Mafisadi. Kwasasa mipango kabambe ya kukirudisha chama mikononi mwa Wakulima na Wafanyakazi inaendelea kufanywa na majemedari wa Vita ndani ya chama. Kwasasa tunakwenda kuanza na Kampeni ya Ondoa Mafisadi CCM (OMC) ambayo itahakikisha viongozi wote wacghafu ndani ya Chama wanatengwa na kundi la wana CCM wasafi wanaonga mkono vuguvugu jipya la mabadiliko ndani ya Chama.

Wananchi wameshakuwa na imani na vuguvugu la mabadiliko ndani ya chama litakalo ongozwa na UMVCCM kwani hatua moja kuu ambayo inakwenda kupigwa ni wana CCM mabadiliko ni pamoja;

1. Kuandaa katiba Mpya cha Chama cha mapinduzi - Halisi ambayo
2. Wanavuvugu kutohama chama bali kupigania mabadiliko ndani ya chama
3. Kuhamasisha wanachama na wasio wanachama kujiunga na vuguvugu la mabadiliko ili kuikumboa nchi inayoelekea kugawanywa vipande vipande na kundi la CCM Mafisadi na Chadema matapeli
4.kuweka mikakati madhubuti ya kuyakomboa majimbo yote yanashikilwa na CCM mafisadi na Chadema pamoja namjimbo mengine yanayoshikiliwa na upinzani
5.Kurudisha Imani ya wazanzibari wote na kukitikomeza kabisa chama cha Kiarabu CUF huko visiwani
6. Kuzima kwa nguvu ya hoja harakati zote za matepeli chadema na M4C

Note Harakati hizo zote zitafanywa na wanavuvugu na watanzania wote wapenda amani na maendeleo pasipo kuhama chama bali CCM Mafisadi watajitenga na kupisha wenyewe kulingana

Sasa kazi ndo kwanza inaanza

Mabadiliko mapya yanakwenda kukifanya chama cha mapinduzi kuwa halisi zaidi na kumjali mwananchi mnyonge
 
Kama mipango ya kuikomboa CCM ndio hii iliyoainisha hapa bora muache coz hakuna jipya hiyo OMC ina tofauti gani na vua gamba? Mukipewa vyeo munaanza na mkwala mukishazoea ofisi na kulewa hela za mafisadi munakuwa wadogo, sikutofautishi na Mukama na Nape walivyoanza kwa mbwembwe.......kikowapi? CCM INAZIDI KUOZA.
 
Naona mngeanzisha chama chenu kabisa, wenye chama hawawataki mbona mnang'ang'ania. Lengo lenu ni kutafuna vilivyoundwa tayari, kwa kuwa mmenyimwa nafasi ndio mnaleta hayo. Kama mna guts anzeni from scratch...
 
Jambo la kwanza kufanya hakikishen mnamwona mzee Tendwa ili awatendee haki ya kuwaandisha rasmi kama chama kipya ccm c (umvccm). other wise mwajilisha upepo ambao mimi naamini hamtashiba.Nendeni mkafie mbali kama mnafikili watanzania wa leo bado waweza danganyika na siasa nyepesi kama hizo.
 
Majemedari wa Umoja mpya wa Vijana CCM (UMVCCM) sasa kutikisa nchi, katika harakati ya kukikomboa chama kutoka katika Mikono ya Mafisadi. Kwasasa mipango kabambe ya kukirudisha chama mikononi mwa Wakulima na Wafanyakazi inaendelea kufanywa na majemedari wa Vita ndani ya chama. Kwasasa tunakwenda kuanza na Kampeni ya Ondoa Mafisadi CCM (OMC) ambayo itahakikisha viongozi wote wacghafu ndani ya Chama wanatengwa na kundi la wana CCM wasafi wanaonga mkono vuguvugu jipya la mabadiliko ndani ya Chama.

Wananchi wameshakuwa na imani na vuguvugu la mabadiliko ndani ya chama litakalo ongozwa na UMVCCM kwani hatua moja kuu ambayo inakwenda kupigwa ni wana CCM mabadiliko ni pamoja;

1. Kuandaa katiba Mpya cha Chama cha mapinduzi - Halisi ambayo
2. Wanavuvugu kutohama chama bali kupigania mabadiliko ndani ya chama
3. Kuhamasisha wanachama na wasio wanachama kujiunga na vuguvugu la mabadiliko ili kuikumboa nchi inayoelekea kugawanywa vipande vipande na kundi la CCM Mafisadi na Chadema matapeli
4.kuweka mikakati madhubuti ya kuyakomboa majimbo yote yanashikilwa na CCM mafisadi na Chadema pamoja namjimbo mengine yanayoshikiliwa na upinzani
5.Kurudisha Imani ya wazanzibari wote na kukitikomeza kabisa chama cha Kiarabu CUF huko visiwani
6. Kuzima kwa nguvu ya hoja harakati zote za matepeli chadema na M4C

Note Harakati hizo zote zitafanywa na wanavuvugu na watanzania wote wapenda amani na maendeleo pasipo kuhama chama bali CCM Mafisadi watajitenga na kupisha wenyewe kulingana

Sasa kazi ndo kwanza inaanza

Mabadiliko mapya yanakwenda kukifanya chama cha mapinduzi kuwa halisi zaidi na kumjali mwananchi mnyonge
Vijana mafisadi waliozidiwa na wenzao.
-Siasa za ubaguzi na utoto ndiyo mapinduzi?
-Kama hayo mliyoandika hapo ndiyo malengo na mikakati ya ukombozi basi rudini darasani
-Vijana wa aina yenu ni janga.Hivi mlikua wapi kipindi cha DOWANS na RICHMOND?
-Mtatoa wapi hoja za kupambana na CHADEMA?Labda kama zipo bandarini......
-Acheni tamaa ya rushwa kama wazee wenu
 
Ha ha haaa Makonda Kilichobaki ni Kuramba Miguu ya Prince na wewe Upate ka UDC kama Mwenzako Mrisho Gambo. Tatioz Vijana wa CCM hamuaminiki mkishapewa tu uongozi basi Mnatukana hadi Mama zenu ona Mwenzako Korogwe yaani mtoto mdogo unamtukana mtu mzima wa kukuzaa eti "Una Degree ya Chupi"
 
Hiki chama sasa Kinakufa rasmi!!kama mipango yenyewe ndiyo hiyo inanibidi ninawe kabisa nikijiandaa kuwaaga.
 
Vijana mafisadi waliozidiwa na wenzao.
-Siasa za ubaguzi na utoto ndiyo mapinduzi?
-Kama hayo mliyoandika hapo ndiyo malengo na mikakati ya ukombozi basi rudini darasani
-Vijana wa aina yenu ni janga.Hivi mlikua wapi kipindi cha DOWANS na RICHMOND?
-Mtatoa wapi hoja za kupambana na CHADEMA?Labda kama zipo bandarini......
-Acheni tamaa ya rushwa kama wazee wenu

Mkuu Ben Saanane hapo umemaliza kabisa maana ndio ugomvi wenyewe teh teh teh Vitoto Vina Uchu wa Rushwa kama Simba aliyeona Lindo
 
Last edited by a moderator:
Nosense, mnapata wapi uhalali? Kama mpo serious hameni CCM vinginevyo jengeni hoja kwenye vikao vya chama chenu otherwise mnataka kuisumbua polisi tu kwani hamna uhalali wowote wa kisheria. Who are you? Mlishiriki rushwa mkazidiwa leo mnajifanya wasafi. ningekuwa na nguvu ya ziada ningechora mstari na kuweka ninachokijua mimi na kuwaaambia haya wana CCM mpya yeyote ambaye hakujua kama kuna rushwa kabla ya uchaguzi na hajawahi shiriki rushwa avuke mstari huu.

Ninauhakika asingekatiza mtu. Tunamambo mengi ya kitaifa yanayohitaji mawazo yetu na sio nyinyi wanafiki wakubwa. kwanza ni mambumbu hata taratibu za chama chenu hamzijui halafu mlikuwa mnataka kuwa viongozi. Msitupotezee muda.
 
Tafakari chukua hatua,bado haujachelewa wewe ni kijana tunakuthamini na tunakupenda hapo kwenye kijani utazeeka bila kufanikiwa
 
Mr Emmy

Acheni uongo munaweza kuwatoa mafisadi nyinyi, mnafikiri mchezo. Muulizeni NAPE atawaambia . kazi hapo ni kubwa sana hata Mzee wa kaya anajua. Hao hao wamewaingiza kwenye uongozi na pesa zao mutaanzia wapi kuwatoa, Ok nawatakia kazi njema.
 
Last edited by a moderator:
Mh jee mtakuwa akina tea party ambayo iko njiani kufa au new labor ya Tony blair (UK) ilioishi na imepotea acheni hasira fanyeni uchambuzi wa kinapoleni vijana wetu
 
Teh ndoto za mchana hizi....huwezi kujifuta maji kwa taulo wakati bado uko kwenye maji unaohelea.........
 
Back
Top Bottom