Picha: UVCCM-Dar wapokeana kwa kutwangana

Kiganyi

JF-Expert Member
Apr 30, 2012
1,242
765
4701135_orig.jpg
UVCCM walivyowapokea viongozi wao wapya - kwa mabango na kichapo - katika ofisi za Makao Makuu ya Umoja huo leo. (picha, maelezo - blogu ya “Utakapojua Hujui Ndipo Utakapojua”)


5310993_orig.jpg



Source: wavuti.com - wavuti
 
Mpaka hiyo movie inakwisha kutahamaki 2015 hiyo chali. Inasikitisha sana watu wanasulubiana hadharani!!!
 
Twenda Tenda Basi. Hizi picha zitapendeza sana kama zitakuwa front pages kesho kwenye magazeti
 
Kuna yule aliyewahi kusema CCM itajimaliza yenyewe alikuwa nani? Naona wakati umefika wa CCM kujimaliza yenyewe na si upinzani kuimaliza CCM. CHADEMA changeni karata vizuri, huu sasa ndiyo wakati wenu wa kuchukua nchi. Lakini iweni macho maana ukiona mwenzako ananyolewa wewe tia maji.
 
Mpaka hiyo movie inakwisha kutahamaki 2015 hiyo chali. Inasikitisha sana watu wanasulubiana hadharani!!!

Kaka we acha tu.
Unajua kama una kesi za uchaguzi, sijui eti umeibiwa kura, halafu unaambiwa mtu wa kumpelekea malalamiko ni Benno au Shighela si bora mmalizane tu na mgomvi wako kiume??!!
 
Back
Top Bottom