Lowassa aweza kufilisiwa/kufilisika!

masopakyindi

Platinum Member
Jul 5, 2011
17,882
13,172
Mwenyekiti Mtendaji wa makampuni ya ALPHA na mfanyabiashara maarufu ambaye ni mwanasiasa maarufu na Waziri Mkuu mstaafu/aliyejiuzulu anaweza kuingia mtego wa Berlusconi wa Italia, endo TRA wataamua kumkagua kikamilifu.

Ni jambo la kwaida sasa na lilozoeleka kwa wanasiasa kuingia biashara, lakini si wengi wanaotoa mahesabu yao hadharani na jinsi wanavyolipa kodi kikamilifu kwa nchi husika.

Yaliyompata Berlusconi wa Italia, kinaweza kuwa kifumbua macho kwa wale wafanya biashara wanasiasa, hasa wanapotoka ulingoni.

Kwa Tanzania, je mheshimiwa Lowassa analipa kodi kikamilifu?
 
Why U PICK and CHOOSE? VIPI PRINCE yeye ataachiwa amiliki vyote alivyovipata???
 
Hapa si bure, lazima kutakuwa na kitu ambacho kimejificha ndo maana mnaamua kumnyooshea kidole Lowasa. Huo mchezo wa kutolipa kodi kwa viongozi wa CCM na biashara zao uchwara kwanii umeanza leo? Siwezi kuamini kuwa hufahamu hako kamchezo kachafu ndani ya serikali ya CCM unless uwe umezaliwa leo.
 
chuki za kushindwa uvccm

Ridhiwan akikaguliwa atarejeshewa ziada aliyolipa TRA maana ni mzalendo na hulipa kodi zake zote.
 
Hapa si bure, lazima kutakuwa na kitu ambacho kimejificha ndo maana mnaamua kumnyooshea kidole Lowasa. Huo mchezo wa kutolipa kodi kwa viongozi wa CCM na biashara zao uchwara kwanii umeanza leo? Siwezi kuamini kuwa hufahamu hako kamchezo kachafu ndani ya serikali ya CCM unless uwe umezaliwa leo.
Kwani kuwatumikia wananji lazima uwe millionea?
Waweza kufanya biashara zako , ukalipa kodi sahihi za nchi na bado ukawatumikia wananchi.
Kodi ni uhai wa serikali yoyote.
 
Kwani kuwatumikia wananji lazima uwe millionea? Waweza kufanya biashara zako , ukalipa kodi sahihi za nchi na bado ukawatumikia wananchi. Kodi ni uhai wa serikali yoyote.
Uyasemayo yanaweza kuwa sahihi mkuu ila wasi wasi wangu ni kwamba inakuwaje mmeanza kumnyooshea kidole Lowasa leo hii kwani utajiri wa Lowasa umeanza kujulikana leo?. Lowasa ana hela tokea kitambo hata akawa mfadhili mmojawapo wa Baba Mwanaasha wakati fulani wa kampeni hilo linaeleweka, kwanini pia msiwafuatilie watu kama akina Riz1 ambao ubilionea wao umechepua ghafla kama uyoga pori au mnasubiria hadi aende kinyume na nyie kwenye maslahi yenu ndo muanze maneno maneno yenu?. Kwa ujumla sioni msafi hata mmoja ndani ya CCM wa kumnyooshea kidole mwingine
 
Hakuna kigogo mfanyabiashara wa ccm ambaye analipa kodi!!! wote hawalipi ndio maana wapo huko au umesahau vyama pinzani kwanini havisadiwi na wafanyabiashara wakubwa coz wakisaidia wanababimbikiwa kesi kwamba hawalipi kodi

1.Zadock-Outdoor alishaonja joto ya jiwe
2.Bakhersa naye alishaonja joto ya jiwe

Kama ni fanyabiashara mkubwa lazima uhisaidie ccm otherwise hautaweza fanya bizna
 
Anaweza kufilisiwa lakini si kwa uongozi huu dhaifu tulionao..
 
Why U PICK and CHOOSE? VIPI PRINCE yeye ataachiwa amiliki vyote alivyovipata???

Prince hana kitu pale jamani mali zote ni za mkulu,wote tunajua mkulu anapenda kusakizia ili aonekane msafi
 
Prince hana kitu pale jamani mali zote ni za mkulu,wote tunajua mkulu anapenda kusakizia ili aonekane msafi

Sasa Unaposema MALI ni za MKUU; Inamaana alipokuwa anaishi MSOGA alikuwa na MALI kama MZEE MBOWE? Au SYKES? Wote walikuwa Chai na Manaragwe... WOTE JELA MOJA...

ILE ya KIJESHI ya KIGOTO POLICE CLUB... Haina MCHEZO...
 
Lowassa ana hela tokea kipindi cha Nyerere! Leo mmeumia kwenye chaguzi ndo mnaanza kumnyoshea kidole?
 
watanzania wote, wakulima , wafanyakazi wa umma na binafsi. wafanyabiashara na wote wenye vipato halali walipe kodi na hata wageni wanaokuja nchini walipe kodi ipasavyo na itumike kwa manufaa ya umma, kuna mawaziri kibao nchi hii why always EL, chuki binafsi na woga kwa wanasiasa uchwara haya tulipe kodi na tuwe wakali.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom