PICHA: CHADEMA vs CCM - Hitimisho la mkutano wa kampeni Daraja II

Mungi

JF Gold Member
Sep 23, 2010
16,975
9,566
Mkutano wa kampeni za uchaguzi zimehitimishwa leo katika kata ya daraja mbili.
Kwa upande wa chadema mkutano ulihudhuriwa na viongozi Godbless Lema (kiboko ya magamba), Katibu wa mkoa Amani Golugwa, mwenyekiti wa wilaya Ephata Nanyaro, katibu wa wilaya Martin Sarungi na viongozi wengine waandamizi wa chama mkoa na wilaya ya Arusha.

Kwa upande wa ccm mkutano ulihudhuriwa na Stephen Wassira, mgeni rasmi Ole Sendeka, Marry Chatanda, mwenyekiti na katibu wa mkoa na wilaya ya Arusha.

Mkutano wa chadema watu walifurika sana, ambapo kwa ccm pamoja na kuwabeba watu kutoka maeneo mbalimbali kwa ujira wa elfu kumi kumi, watu walikuwa wachache sana, sana sana watu waliweza kuenea kwenye viti vilivyoandaliwa kwenye tents.

Picha:
314226_444678588903245_658169039_n.jpg

522953_444683825569388_668495114_n.jpg

306540_444684982235939_1292187999_n.jpg

282239_444687312235706_2044592971_n.jpg
 
naomba kuuliza ni nini sababu ya uchaguzi huu.diwani alokuwepo alikuwa wa chama gani.
 
CCM walianzaga kubeba watu kwa malori kisha kwa mabasi, wakiwapa ubwabwa sasa wameamua kuboresha kwa kuongeza mahema, viti na kutoa posho nono za kutosha ili kujaza watu kwenye mikutano, lakini hali inazidi kuwa mbaya zaidi.

Tetesi zinadai wanampango wa kufuta mikutano ya hadhara ili wabaki na mikutano ya ndani pekee!!!
 
si ajabu wakaiba hata kura za udiwani kama kawaida yao
Chadema lindeni sana kura zenu na kamateni wote
wakatakojaribu kuiba kura ikiwezekana kichapo kikali
ili iwe fundisho kwa uchaguzi unaokuja 2015
 
hii inatisha!...hivi zile Coster za jamaa zetu zilizoleta watu Arusha Tendwa alisha coment?....haziwezi kuleta wapiga kura siku ya uchaguzi?......TUKILINDA KURA ZETU MBONA ARUSHA NI YETU!...
 
Mkutano wa kampeni za uchaguzi zimehitimishwa leo katika kata ya daraja mbili.
Kwa upande wa chadema mkutano ulihudhuriwa na viongozi Godbless Lema (kiboko ya magamba), Katibu wa mkoa Amani Golugwa, mwenyekiti wa wilaya Ephata Nanyaro, katibu wa wilaya Martin Sarungi na viongozi wengine waandamizi wa chama mkoa na wilaya ya Arusha.

Kwa upande wa ccm mkutano ulihudhuriwa na Stephen Wassira, mgeni rasmi Ole Sendeka, Marry Chatanda, mwenyekiti na katibu wa mkoa na wilaya ya Arusha.

Mkutano wa chadema watu walifurika sana, ambapo kwa ccm pamoja na kuwabeba watu kutoka maeneo mbalimbali kwa ujira wa elfu kumi kumi, watu walikuwa wachache sana, sana sana watu waliweza kuenea kwenye viti vilivyoandaliwa kwenye tents.

Picha:
314226_444678588903245_658169039_n.jpg

522953_444683825569388_668495114_n.jpg

306540_444684982235939_1292187999_n.jpg

282239_444687312235706_2044592971_n.jpg

Pamoja na ukweli wa mahudhurio hayo, lakini mpiga picha kwenye mkutano wa CCM hajaonyesha ukweli kwa kuchagua angle ambayo inaonyesha sehemu ndogo ya wahudhuriaji. Bora kuweka tu hali halisi kwani kuhudhuria mkutano si ishara ya kwamba wote ni wapiga kura, wengi ni mashabiki zaidi kuliko wapiga kura. CCM walio wengi katika mikutano yao ni wapiga kura wakati Chadema walio wengi ni mashabiki. Tuwe wa kweli. Hilo ndilo Chadema inatakiwa kufanyia kazi.
 
shukrani mkuu mungi tunakututegemea uturushie mwenendo wa upigaji kura kuhesabu na matokeo mkuu!
 
Back
Top Bottom