Economical/Business/Investments activities za Lowassa ni zipi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Economical/Business/Investments activities za Lowassa ni zipi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Shark, Oct 27, 2012.

 1. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #1
  Oct 27, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,139
  Likes Received: 7,391
  Trophy Points: 280
  Wadau,

  Sawa,EL anautaka sana Urais wa JMT kwa udi na uvumba, hii inafaahamika.

  Na anatumia sana hela kuweka watu wake kwenye nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya CCM ili kujirahisishia njia ya kua Rais mwaka 2015, hii nayo inafahamika na kila mtu.

  Pia kasi ya utumiaji wake wa hela ni kubwa kiasi kwamba atakua anawaacha kwa mbali wapinzani wake wakubwa kina Membe, Sitta, Sumaye n.k., hii pia inafahamika.

  Mwaka jana jamaa yangu mmoja alipata kazi TRA baada ya kwenda na kimemo kutoka kwa Benno Mallisa kwa Kitilya. Benno ni Puppet tu, but Don mwenyewe ni EL hivyo hata wakuu wa mashirika na taasisi mbalimbali wanamuogopa huyu jamaa. Hii nayo kwa kiasi chake inafamika.

  Sasa suala la nyongeza hapa ni kua huyu bwana anapata wapi fedha zote hizi??
  Ana biashara/investments gani kwa sasa?
  1) Ni mshahara na posho tu za Ex-PM ndizo zinazoleta fujo zote hizi kwenye chaguzi za CCM??

  2) Au alikwapua mahali miaka ile hivyo hazijaisha bado mpaka sasa?

  3) Yaweza kua pia ni ufugaji ndio unaomlipa namna hii?

  4) Au pengine urafiki wake na Former King maker, Bw. Rostam Azizi ndio unaomfaidisha huyu jamaa. Kama ndivyo si King maker atakua bado yupo active but through EL?

  5) Au kuna mashirika mbalimbali hata ya kiserikali huyu jamaa ni boss wao indirectly (Maana ana nguvu mpaka ya kumuamrisha Kitilya wa TRA)

  6) Ana wafadhili nje ya nchi wanaomwagia misaada ili akichukua nchi awe Puppet wao??

  7) Ana biashara za halali tu zinazomuingizia kipato cha kutosha tu ambazo wengi wet hatuzijui??

  8) Mkulima stadi??

  9) Karithishwa hela kutoka kwa wazazi wake?

  Mwenye uelewa atusaidie wadau??
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Kwa Arusha nijuavyo ana majumba/maghorofa kadha ya kisasa ambayo yamepangishwa na mabenki na taasisi mbalimbali.
   
 3. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #3
  Oct 27, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Mnahangaika sana kumsafisha huyu Fisihadi ila hataupata Urais Kamwe.
   
 4. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #4
  Oct 27, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mkuu EL alikwapua fedha zama hizo, akaziingiza kwenye biashara mbalimbali. Biashara zake zinakwenda kwa jina la ALPHA... Kwa hiyo kwa sasa, anakula matunda ya 'ule wizi wake'... Tofauti ya jamaa huyu na wezi wengine, EL amefanikiwa kufungua biashara mbalimbali, lakini hawa wengine wameishi kunyonya chuchu na kuhonga, mfano ni adam malima...
   
 5. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #5
  Oct 27, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Sidhani Lowassa anahitaji au anapata hela zozote kutoka nje. Hela zake zote amezitengeneza Tanzania. Kama anavyosema Paka Jimmy alitumia nafasi yake serikalini kujimilikisha majengo ya kupangisha, kukiwa pamoja na jengo la ubalozi wa Afrika kusini mjini Dar. Anamiliki biashara za dry cleaner, mashamba, mabenki, etc. etc.
   
 6. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #6
  Oct 27, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  No DL.
  Mimi mwenyewe ningependa sn kujua huyu EL amewekeza maeneo gani mengine yanayomwezesha kuwa na nguvu ya kuweza kupanga safu ya ccm nzima kwa fedha zake...

  Najua pia kuwa ni shareholder mzuri wa kampuni ya Vodacom, huenda huku ndiyo anapata senti nyingi zaidi.
  Baadhi tunamchukia kuwa na nguvu ya fedha bila kujua asili ya fedha hizo ni wapi.

  Kuna myth nyingi zinazojaribu kumwelezea, japo nyingine hazieleweki.
  Kuna baadhi wanasema kuwa alipokuwa Mkurugenzi wa AICC ndipo alipokwapua fedha hizo. Mimi pia nina mashaka na myth hiyo.
   
 7. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #7
  Oct 27, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,139
  Likes Received: 7,391
  Trophy Points: 280
  Kaka, ALPHA ni kubwa kiasi gani kuweza kuleta Fujo na vurugu zote zile pale Dodoma? Kumbuka pia michango mbalimbali anayotoa makanisani.

  Inahusika na nini hiyo ALPHA? Mi jina kama hilo nlishaliona kwenye Dry Cleaner na Alphatel
   
 8. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #8
  Oct 27, 2012
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,694
  Trophy Points: 280
  Kuna mkakati maakumu ulioratibiwa na kijana wake mmoja wa kumsafisha kwenye mitandao na media ili kuvuta kundi la vijana
  -Pia tunajua mkakati wao wa kupeleka hoja binafsi bungeni kuhusu maamuzi juu ya tume ya RICHMOND kijanja ingawa mjadala ulishafungwa bungeni
  -Tunajua mkakati wao wa kuihujumu Chadema.
  -Nlishasema sipo tayari kuongozwa tena na cartel ya wezi.Ni bora niongoze vijana wenzangu kuingia msituni kuliko kushikwa mateka na mafisadi
  -Kwanza aeleze utajiri wake aliupataje na kwanini hajajibu swali la J.K.Nyerere hadi leo?
   
 9. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #9
  Oct 27, 2012
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,054
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Hisa zake vodacom na umiliki redio 5 atown ...
   
 10. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #10
  Oct 27, 2012
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,694
  Trophy Points: 280
  Hapo kwenye jengo la ubalozi wa S.A si kuna mgongano wa maslahi kwa kuwa yeye ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na mambo ya nje? Je alishawahi kutangaza hiyo conflict of interest mahali popote?usipokuwa mwaminifu kwa vitu vidogo huwezi kuwa mwaminifu kwa mambo makubwa
  -Dr.Slaa alipomtangaza kwenye orodha ya mafisadi mbona hajamshtaki hadi leo kutetea credibility yake kama kweli sio mwizi?
   
 11. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #11
  Oct 27, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Kwa kuanza vema suala hili ingekuwa vema kama yeyote anayejua historia ya nafasi na vyeo vyake serikalini, mashirika ya umma na taasisi mbalimbali nchini.
  Huenda hili litasaidia kujua mahali alipoanzia kupata huu u`Gold-Finger.
  Kama tokea enzi za Mwalimu alistukiwa utajiri, basi kuna mjadala mrefu zaidi.
   
 12. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #12
  Oct 27, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Mkuu,
  Hiyo biashara ya Redio Five ni kwa nia ya kujitanua tu kwa mtandao wa media ili kuongeza awareness ya jamii pale anapofanya tukio lolote, lkn haina uhusiano na kuchangia utajiri wa huyu mtu.
  Wafanyakazi wenyewe wa hiyo redio wana njaa kali na wanazunguka juani kutwa kucha kutafuta part time kwenye media zingine, vumbi hadi viunoni.
   
 13. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #13
  Oct 27, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Lowassa ana utajiri mkubwa wa kurithi na pia wa kutafuta mwenyewe. Kumbukeni Lowassa ni mjasiriamali mbunifu sana. Nitafurahi sana akiwa rais wetu 2015 .
   
 14. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #14
  Oct 27, 2012
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,694
  Trophy Points: 280
  Kweli hebu tupate mtiririko mzuri wa huko alikopita ili tujue vizuri alikokwapua alikopita.Hadi leo hajajibu swali la J.K.Nyerere,Hajajibu na kuchukua hatua dhidi ya tuhuma za Dr.Slaa kwenye list of shame na hadi leo hajawaeleza watanzania juu ya tuhuma za kamati teule ya bunge juu yake.Hana credibility ya kutaka ridhaa ya watanzania,haaminiki na hana moral authority ya kuongelea rushwa.Hafai period!
   
 15. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #15
  Oct 27, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  ni kweli ana hisa voda,ALPHA,na mijengo kibao dar, ar,mwanza.
   
 16. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #16
  Oct 27, 2012
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,694
  Trophy Points: 280
  Alirithi nini na kutoka kwa nani na ni wakati gani?
  -Mbunifu?Ana rekodi ya kubuni nini?mvua ya Thailand?Dili za RICHMOND au kubuni Mtandao?
  -Kama ana kipaji hivyo ilikuaje mkenge wa Richmond?je alifanya makusudi?au na yeye ni beneficiary?
   
 17. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #17
  Oct 27, 2012
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,694
  Trophy Points: 280
  Mkuu,be precise!
  Hizi generalization na kutumia msamiati ''kibao" ndiyo unaotukuza ufisadi na impunity .Yaani akipita hapa akaona hii statement yako atafurahi kweli kweli
   
 18. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #18
  Oct 27, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Anko,
  Ungeonekana Smart na maelezo yako kama ungeeleza kwa undani utajiri huo wa kurithi ni upi...kama ni ng`ombe aliachiwa huwa anawauza wapi au ana tenda ya kusupply wapi products za mifugo yake.
  Siiamini pia myth hii kwasababu angekuwa amerithi basi Nyerere angejua na asingejiuliza asili ya mali alizo nazo. Kama Intelijensia ya enzi za mwalimu ilichemisha kugundua basi ujue kuna siri kubwa!

  Suala la wewe kumpenda anzisha thread yako, au kampikie chai mnyweshane.
   
 19. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #19
  Oct 27, 2012
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,694
  Trophy Points: 280
  Usishangae ukaambiwa ana biashara zake,hisa kibao,maghorofa kibao.Leo nimeanza weekend vizuri kweli,funny indeed!
   
 20. M

  Muggssy Member

  #20
  Oct 27, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 70
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kila anaejaribu kumusafisha EL ajue anamasafisha kwa maji taka. EL kachafuka munoooooo to the extent that anaejaribu kumsafisha anazidi kumchafua bora wakae kimya kidogo atmosphere inaweza kutulia huwezi kusafisha mtu kwa maji taka ukategemea atasafishika
   
Loading...