Kwanini CHADEMA isifutwe??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini CHADEMA isifutwe???

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by CHAI CHUNGU, Sep 3, 2012.

 1. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #1
  Sep 3, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Binafsi nachukizwa na hali inayoendelea Tanzania ya machafuko yanayotokana na maandamano na vurugu za kisiasa(CHADEMA)
  Nikitolea mfano wa mauaji yaliyotokea jana Iringa kwa kumpoteza mwandishi wa habari.......kwa upeo wangu mdogo naona kwamba hili lingezuilika ikiwa kama wananchi na wafuasi wa CHADEMA wangetii amri ya police hili lisingetokea.
  Nadhani JK alitangaza zoezi la sensa kuendelea mpaka tar08 mwezi huu,sasa ilikuaje mpaka CHADEMA wakakaidi amri hii?
  Kwa hili mie napendekeza hiki chama(CHADEMA)kifutwe na wanasiasa wake wanaonyesha kutokuwa na uzalendo wafungiwe kujihusisha na siasa milele.
  Huo ni mtazamo wangu tuu masela msijenge chuki.
   
 2. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #2
  Sep 3, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Hii forum sio ya wasela! Ujinga ujinga peleka fb.
   
 3. snochet

  snochet JF-Expert Member

  #3
  Sep 3, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 1,271
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  alafu kikishafutwa unatakaje?.....
   
 4. Lait noir

  Lait noir Member

  #4
  Sep 3, 2012
  Joined: Aug 23, 2012
  Messages: 99
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hapo kwenye 'redi' umemaliza kila kitu, hatuna cha kuchangia tena maana hamna sababu kuwa na mjadala na machizi
   
 5. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #5
  Sep 3, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Thank you M/mungu akubariki!
   
 6. Head teacher

  Head teacher JF-Expert Member

  #6
  Sep 3, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,811
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kitafutwa chama, si wanachama. CCM hamtakuwa salama, tutaanzisha CHAMA kipya M4C
   
 7. O

  OgwaluMapesa JF-Expert Member

  #7
  Sep 3, 2012
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 10,948
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  sio tuu we una upeo mdogo ni mpumbavu haswaaaaaaa...na nina hisi unatoa tigo kwa washkaji zako
   
 8. peri

  peri JF-Expert Member

  #8
  Sep 3, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  huo ***** kawaeleze masela wenzako, huku hakuna masela.
   
 9. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #9
  Sep 3, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Inaonyesha ni jinsi gani watz tusivyo na shukurani kwa wazazi wetu,yani mzazi kakulea leo umekua unaanza kumkashifu.Ama kweli ni laana inayotutafuna sasa kwa vifo vya M4C!!
   
 10. anjnr

  anjnr JF-Expert Member

  #10
  Sep 3, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 483
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Ni heri ungesema lifutwe jeshi la polisi, utendaji wao hauna tija sana kwa sasa.
   
 11. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #11
  Sep 3, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,796
  Likes Received: 36,822
  Trophy Points: 280
  Nadhani unawasilisha hoja kwa hao masela wako.

  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 12. O

  OgwaluMapesa JF-Expert Member

  #12
  Sep 3, 2012
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 10,948
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  kibaraka mkubwa wa Riz one pumbavu kabisa........ubwege.......... peleka WAMA HUKO KWA MAMA SALMA NA MEMBE WENU....MNGESEEEEEEEEEEEEEE
   
 13. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #13
  Sep 3, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Ahsante kwa jibu lako la hekma mkuu!
   
 14. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #14
  Sep 3, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Ntashangaa sana kama mods watakuacha bila kukupiga ban!
   
 15. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #15
  Sep 3, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  CDM ni chama cha amani na hakiwezi kufutwa. Ifuteni SSM ambayo ndilo chimbuko la migororo, fujo na mauaji. SSM ni kandamizi la demokrasia. Sijaona mahali hata siku moja CDM wameleta fujo!!! Polisi wa Chama cha Maujai ndiyo wanasababisha fujo wakishirikiana na wale mamluku wa SSM ndani ya CDM!!! Kwa hiyo kama tunataka demokrasia Tanzania ni lazima SSM ifutwe na mwenye nguvu ya kuifuta ni wapiga kura. Elimu kwa wapiga kura ni muhimu na SSM inaogopa CDM kuwa sasa inafundisha elimu safi ikiwemo kupata wanachama. Badala ya SSM nayo kutafuta mbinu ya kutandaa ambayo ni salama wao wanatumia nguvu ya mauji na vitisho.
   
 16. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #16
  Sep 3, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,324
  Likes Received: 1,791
  Trophy Points: 280
  mandieta, nenda kaanze kukifuta wewe.Unamsubiri nani?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. paty

  paty JF-Expert Member

  #17
  Sep 3, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,256
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  ngojawe nupeop mdogo kama wewe watakuja mbadilishane mawazo
   
 18. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #18
  Sep 3, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Kichaa kinaanzaga hivihivi
   
 19. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #19
  Sep 3, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Great!
   
 20. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #20
  Sep 3, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,945
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  Utulivu na amani ya kweli vitatawala Tanzania mara CCM itakapofutwa! Tendwa zingatia maadili na professionalism ya kazi yako!!
   
Loading...