Zitto: CHADEMA yaelekea kushinda zaidi ya nusu ya viti vya udiwani

nice 2

JF-Expert Member
Aug 10, 2011
747
520
Ndugu Zitto Kabwe ambaye hivi sasa yuko Rombo kwa ajili ya kufunga campaign za udiwani kata ya Nanjarareha amehamasika na ukuaji wa mji wa Moshi na haswa mapokezi aliyoyapata kule Rombo na kukiri kwamba CHADEMA imewiva sana uko, haya ni baadhi ya maneno aliyo post kwenye ukurasa wake wa twitter ikiwa ni pamoja na utabiri wake juu ya ushindi wa CHADEMA kwa zaidi ya nusu ya viti vinavyogombewa nchi nzima:
Zittokabwe: Rombo kufunga kampeni za Udiwani kata ya Nanjarareha. #CHADEMA twaelekea kushinda zaidi ya nusu ya viti tunavyogombea nchi nzima. Fired up
Zittokabwe: Rombo imewiva sana kisiasa. No. Kichadema. Nimepokelewa na umati mkubwa sana. Kata ya #Nanjarareha inaonyesha twaibeba
 
Last edited by a moderator:
Analazimika kugombea urais kupitia CDM, huko kwingine atashindwa tu
 
nimegundua kuwa wanaomsema vibaya zito humu jamvini ni aidha ccm ama cuf
Ni kweli mkuu,wanapandikiza na maneno mengine kinywani mwa Zitto nasi tunaingia mkenge.Sasa Zitto back in action.Akitoka huko anajiunga na timu ya M4C na mwendo mdundo
 
Back
Top Bottom