CHADEMA Yakwetu Hayawahusu!

MAFILILI

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
2,377
1,194
Imekuwa ni kawaida kwa makada wa CDM waliopo JF na katika uongozi wa kitaifa KUPAYUKA kwa mambo yasiyowahusu;
1- CCM Mbeya imechagua timu dhaifu
2. Uchaguzi wa UWT umetoa timu mbovu
3. Uchaguzi UVCCM umechagua watoto wa vigogo na wafuasi wa mafisadi.

kwa ufupi hizo ni dalili tosha kuwa CDM hawana jipya, BADALA ya kushughulikia mambo yao ili waimarishe chama chao wanaishia kutumia muda mwingi kuwa waropokaji dhidi ya chama kinachopendwa na watz walio wengi - CCM.

Ushauri wa bure, CDM tumieni muda mwingi kukijenga chama chenu kienee BARA HADI PWANI, MASHARIKI NA MAGHARIBI, KASKAZINI NA KUSINI, vinginevyo mtaishia kuwa chama cha upinzani milele!

OGOPA CCM NI NAMBA ONE INAKUBALIKA TZ BARA NA VISIWANI, JEMADARI JK HANA MBADALA NDANI YA CDM
 
MAFILILI nakupa hongera kwa kuspot matatizo hasa ya CCM. Ipo siku utakuwa huru kabisa labda na wewe uwe fisadi.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom