Kikao cha bunge 30 oct. Na fao la kujitoa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikao cha bunge 30 oct. Na fao la kujitoa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kvelia, Oct 24, 2012.

 1. kvelia

  kvelia JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 247
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Haijawahi kutokea nikawa na hamu na kikao cha bunge kama kinachotarajia kuanza October 30 mwaka 2012. Hii imetokana na fao langu la kujitoa kutoka NSSF ambalo tangia naacha kazi nilikuwa nimeshatathmini nifanye kitu fulani ambacho hadi naandika ujumbe huu ningekuwa mbali sana (ningekuwa nimeshapata faida kubwa). Ukweli ni kwamba ni miongoni mwa watu walioadhirika baada ya kuambiwa kuwa hili fao limesimamishwa. Ni kama vile nilikuwa na pipi tamu sana mdomoni ila nilipopiga chafya ikawa imedondokea mtoni. Ndugu zanguni wanaJF, hili naamini linawaumiza wengi sana. Nina imani kuwa kuna watetezi huko bungeni wa haki za wananchi na watatupigania.


   
 2. d

  dotto JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Bila nguvu na mshikamano wa wafanyakazi hakuna kitu hapo.
   
 3. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #3
  Oct 24, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Sidhan kama watalijadili kikao hiki.
   
 4. Janja PORI

  Janja PORI JF-Expert Member

  #4
  Oct 24, 2012
  Joined: Jul 31, 2011
  Messages: 808
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  sure fao lazima lilirudi
   
 5. j

  juu kwa juu JF-Expert Member

  #5
  Oct 24, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 260
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kiroboto ataelewa kweli maana ni zao la mafisadi.
   
 6. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #6
  Oct 24, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Waliopo bungeni wengi wapo kwa masilahi ya chama na utetezi wa serikali hata kama inachinja watu, na siyo kukutetea wewe mwananchi.
   
 7. m

  mdunya JF-Expert Member

  #7
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 7, 2012
  Messages: 765
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  halipo kwenye ratiba! Endelea kuchoma mihogo. Magamba yameona halina umuhimu wowote
   
 8. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #8
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Mnyika lazima atamuuliza waziri mkuu kwenye maswali ya papo kwa papo
   
 9. M

  Mkwe21 JF-Expert Member

  #9
  Oct 24, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,848
  Likes Received: 465
  Trophy Points: 180
  Kama wakikataa Ukombozi wa kweli inabidi Ufikie Ifikapo hapo 2015, Ni issue tu ya kuamua kipindi Hicho!!
   
 10. makwimoge

  makwimoge JF-Expert Member

  #10
  Oct 24, 2012
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 294
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  huko ni mbali sana. kumbuka kuwa WAMISRI hawakuwa na uvumilivu tena na Hosni Mubaraka angalau aliwaambia amalizie miezi 7 iliyobaki ,saa ya ukombozi ni sasa sio kesho
   
 11. mtwana

  mtwana JF-Expert Member

  #11
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 399
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 45
  Kaka mshikamano utakuwepo kama tukiweka kando mambo ya siasa mana kuna wengine hapo watafanya ajenda ya siasa ili waonekanwe kua ni chama fulani..
   
 12. Kiona

  Kiona JF-Expert Member

  #12
  Oct 24, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 936
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35

  Hichi kikao kwa mujibu wa bi kiroboto ni kumshinikiza Muhongo kuwaomba wale wezi radhi:confused2:
   
 13. Kiona

  Kiona JF-Expert Member

  #13
  Oct 24, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 936
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35

  Hela yetu tunaitaka sasa hivi siyo 2015
   
 14. S

  Skillionare JF-Expert Member

  #14
  Oct 24, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Mm naisubiri kwa hamu nimeacha job mwezi march wasilete upuuzi kabisa
   
 15. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #15
  Oct 24, 2012
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,316
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Mahanga keshasema hawana muda wa kuaanda muswada wa marekebisho. Projection ni muswada huo wa marekebisho kujadiliwa kikao cha mwisho cha bunge hili. (Kikao cha bajeti 2015/16)
   
 16. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #16
  Oct 24, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Huyu Mahanga ndi takataka gani tena....
   
 17. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #17
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,798
  Likes Received: 3,884
  Trophy Points: 280
  mimi nasubiri Zitto Zuberi Kabwe ataje walioficha pesa Uswisi kwa majina kama alivoahidi kuwa kama serikali haiwataji yeye atawataja kwenye kikao cha bunge october, sasa serikali haikuwataja na october ndio hii! sasa ni kipimo cha Zitto anayeutaka urais 2015 kama anasimamia kauli zake au ni vuvuzela tu la kisiasa??
   
 18. REMSA

  REMSA JF-Expert Member

  #18
  Oct 24, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 2,569
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Huyu mbunge aliyechaguliwa na Kikwete nae badala ya wanasegerea ni janga la kitaifa.
   
 19. m

  malofyo Member

  #19
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 16, 2012
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13


  yeye kama hana mda wa kulekebisha sawa hamna tatizo fainali 2015
   
 20. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #20
  Oct 24, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  watu tuko busy na harakati za kujikwamua juu ya hili ..kila siku tunahangaika na vyombo vya habari pia kamati za bunge kuhakikisha wanaliongea kwenye bunge hili tujue nini hatima yetu
  lakini wadau wa sekta zingine mko kimya eti tukipita maofisini kwao wanasema hongereni kwa harakati wakati tunatetea maslahi ya wafanyakazi wote ..
  Kwa nini??hebu tuamke jamani
   
Loading...