Wito: Balozi Liberata Mulamula asuluhishe mgogoro wa UAMSHO Zanzibar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wito: Balozi Liberata Mulamula asuluhishe mgogoro wa UAMSHO Zanzibar

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by BondJamesBond, Oct 18, 2012.

 1. B

  BondJamesBond Member

  #1
  Oct 18, 2012
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Balozi Libereta Mulamula ana kila sifa za kuwa mwana diplomasia aliyebobea kwenye masuala ya conflict resolution. Kwani kwa kiasi kikubwa alikuwa mstari wa mbele wa kusuluhisha mgogoro kule kwenye maziwa makuu na ni mahiri sana kwenye kutatua migogoro na naamini ataaminiwa zaidi kwani sio mwanasiasa.

  Sioni sababu ya kuwapeleka wana diplomasia wetu nje ya nchi kutatua migogoro wakati tunaweza kuwatumia huku tanzania kutatua migogoro yetu.

  Profile yake hii hapa:
  [​IMG]
  Ambassador Mulamula is the Senior Advisor of the President of the Republic of Tanzania. Until December 2011 she has been the Executive secretary of Secretariat of the International Conference of the Great Lakes Region (ICGLR).

  Ambassador Mulamula joined the Foreign Service in 1981 as Third Secretary in the Legal and Multi Lateral Department of the Ministry of Foreign Affairs. Her early experience in Foreign Service included participation in all meetings of the United Nations General Assembly in New York as a delegate from Tanzania held annually from September to December. She was then posted to the country's Permanent Mission to the UN in New York as theAmbassador's Advisor in Political affairs and Decolonization issues. She worked there in different capacities from 1985-1992. For three years (1989-1992), she was also a member of the UN/OAU Expert Group on the Denuclearization of Africa leading to the Treaty of Pelindaba.

  From 1992-1994, Ambassador Mulamula participated in the Rwandese peace talks in Arusha Tanzania as part of the Facilitators team; attended UNITAR training workshop on conflict resolution and management, Vienna, Austria, 1996; and was appointed Special Assistant to the Permanent Secretary of the Tanzania Ministry of Foreign Affairs from 1996-1999. In that capacity she attended bilateral, regional and multilateral meetings, including successive UN General Assembly sessions, SADC and EAC Summits, Great Lakes Region peace initiatives and others. During the same period she was also a part-time lecturer on the "Art of Negotiations" at the Centre for Foreign Relations, Dar-el-Salaam.

  She also served at the Tanzania High Commission to Canada as Minister Plenipotentiary and Head of Chancery from 2002 to 2003 when she returned home after being appointed Ambassador and Director of Multilateral Cooperation; the post she held up to the year 2006. At the same time Ambassador Mulamula served as Tanzania's National Coordinator at the International Conference on the Great Lakes. In recognition of her abilities, she was in December 2006 she was appointed by the Great Lakes Summit in Nairobi the first Executive Secretary of the Secretariat of the International Conference of the Great Lakes Region (ICGLR).

  In this post, she was charged with the responsibility of establishing and making the secretariat operational. She coordinated the activities of the ICGLR, which included ensuring implementation of the region's Peace, Security and Development accord; which seeks to build durable peace and stability in the region.
   
 2. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,530
  Likes Received: 884
  Trophy Points: 280
  Mkuu nina imani unatania tu

  kuna maswali unatakiwa kujiuliza kabla ya kutafakari kama jambo linahitaji usuluhishi, na kama ndio ni mtu wa aina gani na ni mbinu gani zitumike; umeshawahi kujiuliza (kabla ya kuposti kama jinsia na dini pia ni vitu vinavyoplay crucial role hapa??
   
 3. B

  BondJamesBond Member

  #3
  Oct 18, 2012
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hana dini lakini jana kule Oman naona alivaa hijab kwa heshma ya wenyeji wake.

  tazama hii video hapo chini sekunde ya 47 utamwona huyo balozi:

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,530
  Likes Received: 884
  Trophy Points: 280
  Bond, hakuna kitu wanachukia hawa jamaa kama kupretend, ngoja avae hizo hijab aende uone watakavyomramba bakora
   
 5. kiplagati26

  kiplagati26 JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 277
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Balozi Mulamula yuko vizuri kahusika vyema katika usuluwishi wa mambo mengi lakini swala kutatuwa migogoro ya ndani sijuwi hawa jamaa ni wabishi sana hapa tz
   
 6. t

  the circus Member

  #6
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 24, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  This should be interesting....
   
 7. mtwana

  mtwana JF-Expert Member

  #7
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 399
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 45
  Hawawezi kuyatatua matatizo ya kwetu mna hawapati chenji kubwa wanajua
   
 8. Z

  Zimamoto JF-Expert Member

  #8
  Oct 18, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 464
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  TATIZO NI KUBWA KULIKO TUNAVYOLICHUKULIA. Ni kwa nini hatukubali ukubwa wa tatizo? Ni rahisi ngamia kupenya kwenye tundu la sindano kuliko kuiambia Tanzania mpaka hauko katikati ya ziwa. Vivyo hivyo ni rahisi ngamia kupenya kwenye tundu la sindano kuliko kuiambia Malawi mpaka hauko kewnye fukwe upande wa Tz.
   
 9. S

  Saracen Senior Member

  #9
  Oct 18, 2012
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 147
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  impossible is NOTHING
   
 10. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #10
  Oct 18, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Yeye mtaalamu wa diplomasia anasuluhisha migogoro ya kimataifa sio ugomvi kama huo.
   
 11. S

  Saracen Senior Member

  #11
  Oct 18, 2012
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 147
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  mhhhhh
   
 12. u

  ugwenousangi Member

  #12
  Oct 19, 2012
  Joined: Sep 11, 2012
  Messages: 98
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  Idea nzuri sana

  mama apewe nafasi ya kusuluhisha
   
 13. B

  Bukutonaga JF-Expert Member

  #13
  Oct 19, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 246
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hapa wala haitakiwi kutumia pesa ya walipa kodi kwani serikali wenyewe waende marais wote wawili ndiyo waasisi wa hii kitu kwa hawa watu wanaojiita uamsho wao ndo wanawapa nguvu angalia issue ya sensa ilivyo potezewa hapa hakuna cha UAMSHO ila viongozi watoe makucha yao kwani wao wote ni waislam na wameyalea yote haya, mimi napendekeza kitu kimoja hebu kwanza serikali ili tuamini kuwa haina dini ianze kwanza na wale wa vurugu za mbagala wawapige miaka hata 3 kila mmoja kwa kushiriki uvunjifu afu waende Zanzibar nako wakafanye hivyo, pia wakamate kina Ponda kama 6 na wao wale miaka 6 hivi usikilize maana ss tunaona hawa watu wanafanya haya coz serikali ipo mikononi mwao.

  Tanzania ya leo tunatakiwa kujipanga kutengeneza sera nzuri za kulinda GESI maana dhahabu na madini mengine tumechemsha ss tuna gesi hata mikataba yake hatujaiona iletwe mbele ya wabunge wetu ili ijadiliwe tuna vitu vingi vya kimaendeleo vya kujadili na siyo UAMSHO.

  Neema ya Mungu iwaangazie!
   
 14. S

  Saracen Senior Member

  #14
  Oct 24, 2012
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 147
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  mpeni nafasi huyu mama
   
 15. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #15
  Oct 24, 2012
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,422
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  Kha..... Milidhani unazungumzia habari ya malawi na tanzania lake dispute.....kumbe ni hii ya kikundi cha wahuni??

  Anyway, as presented she is the senior advisor to the president...then lazima anamshauri...labda kama mkulu anakataa.....
   
Loading...