Mh.Rais Kikwete aithibitishia CHADEMA ushindi 2015 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh.Rais Kikwete aithibitishia CHADEMA ushindi 2015

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ndulungu, Oct 24, 2012.

 1. Ndulungu

  Ndulungu Member

  #1
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 22, 2011
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  rais kikwete ametahadharisha vitendo vya rushwa vinavyoendelea ndani ya chaguzi za ccm kwamba vitaibomoa ccm ambayo tayari imeshaanza kupoteza imani kwa wanachama wake na makada wake ambapo tayari wameshaanza kukihama chama hicho kwa kasi
  vilevile rais ameuthibitishia umma kwamba ccm kwa sasa ni kiwanda cha kuzalisha wala rushwa na mafisadi kwa ujumla hivyo basi ni watu wasiokuwa wazalendo na ni hatari kwa maendeleo ya taifa letu.
  akuli hyo ya mh.rais ni sawa na kuithibitishia chadema ushindi kwa sababu watanzania wametokea kuiamini chadema kuwa ni tumaini jipya katika ukombozi wa mustakabali wa maisha ya watanzania hasa vijana ambao wengi wao wameshakata tamaa kutokana na utawala dhalimu wa ccm unaowanyonya.


  MY TAKE

  Ndugu zangu watanzania wote tumeshudia ccm inavyoendesha chaguzi zake za ndani kwa rushwa (kununua viongozi) ni lazima tujue ya kwamba mtu anatoa pesa kwa kutegemea kuja kuirudisha siku akiingia madarakani kwa sababu hiyo basi
  kwa vyote viongozi wa aina hiyo lazima wapore rasilimali za nchi yetu ili kurejesha fedha zao walizohonga ili kuupata uongozi
  naomba tushirikiane kwa pomoja kuiangamiza ccm kwa sababu kwa sasa chama hicho ni janga la taifa.
   
 2. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,744
  Likes Received: 1,457
  Trophy Points: 280
  CCM ni irrelevant kwa Tanzania kisiasa, kiuchumi na kijamii. Hakuna namna yoyote ile nchi hii inaihitaji CCM. Chaguzi zao ni kichefuchefu na aibu kubwa kwa kila raia mwema
   
 3. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #3
  Oct 24, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Uuuuwii! Uuuuuwii! MUNGU mwenye mamlaka tusikie ktk kilio chetu MUNGU wetu!

  Sitaki hata niisikie uwepo wa ccm kwenye mboni ya Watanzania wapendwa wangu!

  ccm ni shimo la kunyonya nguvu ya watanzania bila hata huruma hata kidogo!
  Jutailaani mpaka pale mafisadi wao wakutwe na laana ya Watanzania wapenda haki!

  Janga hilo jamani!
   
 4. StayReal

  StayReal JF-Expert Member

  #4
  Oct 24, 2012
  Joined: Sep 29, 2012
  Messages: 519
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wataongea sana, wanakumbuka shuka kumekucha!
   
 5. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #5
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145

  LiverpoolFC naona umeporomosha maneno mazito sana hapa. Tuombe Mungu atupe uhai.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. u

  ungonella wa ukweli JF-Expert Member

  #6
  Oct 24, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 4,227
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ccm bila pesa huwezi kupata uongozi. Uòngozi ndani ya ccm ni hisani na si utumishi wa uma kama enzi za mwalimu!
   
 7. T2015CCM

  T2015CCM JF-Expert Member

  #7
  Oct 24, 2012
  Joined: Sep 13, 2012
  Messages: 7,924
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Watanzania 6000 wa JF na propaganda zao ndo wataiweka CDM madarakani kweli? Subiri tu uone hawa jamaa (CCM) wamalize shughuli zao za uchaguzi watakavyoisambaratisha CDM.
   
 8. T2015CCM

  T2015CCM JF-Expert Member

  #8
  Oct 24, 2012
  Joined: Sep 13, 2012
  Messages: 7,924
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Siamini kama kupata uongozi kwa pesa ni kwa ccm pekee. Sioni kiongozi wa CDM, CUF na hata NCCR-Mageuzi ambaye hana pesa, Inaonekana hivyo kwa CCM kwa vile ni chama tawala.
   
 9. d

  dotto JF-Expert Member

  #9
  Oct 24, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135

  Kwa strategic za kina Kamuhanda sawa!! Tusiandikie mate tusubiri chaguzi hizi zinazokuja na ule wa Sumbawanga!!
   
 10. u

  ungonella wa ukweli JF-Expert Member

  #10
  Oct 24, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 4,227
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wanaweza kweli maana wana pesa chafu, lakini hawawezi kusambaratisha fikra huru za vijana katika kupigania ukombozi wa pili wa taifa lao!
   
 11. u

  ungonella wa ukweli JF-Expert Member

  #11
  Oct 24, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 4,227
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu umeingia choo kisichostahili, ninachosema mimi ndani ya ccm uongozi unanunuliwa,kuwa na pesa sio kosa mkuu! Ndo maana kikwete kalisema hilo!
   
 12. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #12
  Oct 24, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135

  Wewe jifariji tu mkuu, ila 2015 utashangaa tena inashinda kwa kishindo, ccm ni strategist kuzidi ujuavyo
   
 13. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #13
  Oct 24, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Haya mawazo yako tunayajua zaidi ya!
  Halafu unamkuta mwenye kutoa post hii ni Kijana mwenye uelewa mzuri sana tu ila kwa kuwa ameshakuwa kama beberu mbuzi ndiyo hivyo tena!

  Pole sana! Na tumwombe MUNGU atufikikishe palengwa na tukutane hapa hapa jukwaani kama haujabadilisha ID!
   
 14. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #14
  Oct 24, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Kwahiyo chama kinakufa sio?
   
 15. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #15
  Oct 24, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,843
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  Hiyo strategiy iliweza ku-apply wakati vyama kama CDM kilikuwa na wabunge watano na halmashauri mbili tu.Leo hii hali ni tofauti, subiri uchaguzi wa madiwani ndiyo utajua kuwa mambo si mambo tena kwa ccm.JK anajua fika kuwa madaraka atakabidhi kwa cdm ila wewe ni kipofu na wenzako ndiyo hamjui
   
 16. S

  SINDBARD Member

  #16
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 5, 2012
  Messages: 79
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sikio la kufa halisikii dawa rushwa ni adui wa haki
   
 17. m

  malaka JF-Expert Member

  #17
  Oct 24, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 1,323
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Ila si aliwaponda watu waliokuwa wanasema lichama linakufa? Akijigamba lipo imara huyu? Kweli jamaa hatabiriki.
   
 18. s

  s.massaun Member

  #18
  Oct 24, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 82
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  duuuuuuuu
  kaka unaishi kwa hisia
   
 19. M

  Mr jokes and serious Member

  #19
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 4, 2012
  Messages: 78
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kushinda kwa kishindo labda wa2mie rushwa zao na kuiba kura ?ila naimani cdm kwa ninavyoona kila sehem ninazoenda da sio siri ccm itakufa 2015,laiti kama watu hawato pnkea rushwa,watalinda kura na vijana,na rika zote zenye sifa yakupiga kura waelimishwe umuhim wakupiga kura.
   
 20. W

  Wangama guy Senior Member

  #20
  Oct 24, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 191
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ccm ni janga la kitaifa, tushirikiane kuitokomeza!
   
Loading...