Kenyan, Tanzanian ivory seized in China!

JAPUONY

JF-Expert Member
Jul 16, 2010
383
186
Pamoja na Bw. Kikwete kubadilisha Mawaziri hivi karibuni ikiwemo wizara ya Maliasili na Utalii bado hujuma ikiwemo biashara HARAMU ya pembe za Ndovu imekuwa ikiendelea hapa nchini.

Taarifa zinaonesha kuwa Tani 4 za pembe za Ndovu zenye thamani ya US $3.4 million zimekamatwa Hong Kong Tarehe 20.10.2012."Bidhaa" hizo zimekamatwa zikisafirishwa kutokea Kenya na Tanzania.

036616e89487821d1e0f6a7067008510.jpg

Je, hata Waziri wa sasa naye ni dhaifu?

Hong Kong authorities confiscated $26.7 million worth of ivory found in two shipping containers this week.

The illegal goods weighed more than 8,000 pounds, making it one of the biggest seizures of ivory in Hong Kong.

The containers arrived from Tanzania and Kenya, according to Hong Kong customs officials. The agency seized a total of 1,209 pieces of ivory tusks and three pounds of ivory ornaments from the two containers.

Hong Kong Customs was on alert after a tip-off from Guangdong officials in China. On October 16, Hong Kong officers inspected a container from Tanzania claiming to carry plastic scrap and found $13.5 million worth of ivory. A day later, a second container from Kenya was seized with ivory valued at $13.2 million, according to Hong Kong Customs.

Seven people, including one Hong Kong resident, have been arrested by Chinese authorities in connection to the cases, said a customs spokeswoman.

Hong Kong is viewed as a transit point for the illegal ivory trade, feeding into increasing demands in China, according to a Time article published this week.

Elephants are being killed in Africa at an alarming rate as international demand soars for ivory. Much of the demand comes from increasingly affluent Asian countries, particularly China and Thailand.

The last major bust in Hong Kong occurred in 2011, when officials seized a shipment of ivory and rhino horns valued at $17.4 million.

Soma zaidi habari hapa http://www.nation.co.ke/News/Hong+K...n+ivory/-/1056/1538002/-/kju4sez/-/index.html

Angalia na hapa http://www.boston.com/news/world/as...rican-ivory/b2p4HneuTCG2cvsZcaNV8I/story.html
 
China kunani huko? kuna tetesi mtoto mmoja wa mkubwa alikamatwa na madawa ya kulevya akasevu kunyongwa kwa ahadi za .........., na hizi pembe tena za nani?
 
Serikali ya ccm imeshindwa kazi wanapaswa kujithamini
 
kazi ipo tanzania tanzania kweli nikiita tunaongozwa na kikundi cha wahuni wengine wanaweza sema na kosea ila ukweli nchi yetu iliko sasa nikumbaya sana
 
Hii serikal kweli dhaifu yani pembe zinavushwa hadi kwenda kukamatwa hongkong?ulinzi wa rasilimal zetu uko wapi?wachina wanajidai kutoa mikopo kwa nchi za kiafrika ili kutupumbaza then wanakuja kwa mlango wa nyuma kuiba rasilimali zetu.
 
juzi tu nilisikia wanataka kuuza pembe za ndovu zilizo kwenye maghala leo hii zinakamatwa nje ya nchi kweli ni inabidi iingie kwenye maajabu ya dunia kama nchi yenye vituko vya kila aina
 
Hii serikal kweli dhaifu yani pembe zinavushwa hadi kwenda kukamatwa hongkong?ulinzi wa rasilimal zetu uko wapi?wachina wanajidai kutoa mikopo kwa nchi za kiafrika ili kutupumbaza then wanakuja kwa mlango wa nyuma kuiba rasilimali zetu.
ukikubali kuolewa/kuoa basi ukubaliane na style zote za mwenza wako haijalishi utakuwa mnene au mwembamba ndio hivyo wakuwetu walisha olewa kwa kwa misaada na kupofushwa macho kwa kitu kidogo
 
Serikali inayosifiwa kila siku na serikali za kiafrika bila aibu, poor government
 
sina hakika kama hii kazi imefanyika kwa muda gani. Yawezekana tukawa na mtazamo wa kazi kufanyika sasa, kumbe ni kipindi kilichopita, maana kukusanya tani hizo si kazi ya siku moja au mwezi kwa makadirio yangu. Hivyo tunaweza mpa mtu lawama isiyo kuwa yake.
 
Toa uozo weka uozo zaidi...ccm wote wameoza na kila mtu ana skandal ni yupi wa kumgusa mwenzie??Nianze na mimi nikulipue yako,hivi ndivyo ilivyo na kwa mtaji huu hakika mpaka 2015..."TUTAKUNYA TUYALE"
 
Four tons of African ivory caught in Hong Kong - CNN.com

The containers arrived from Tanzania and Kenya, according to Hong Kong customs officials. The agency seized a total of 1,209 pieces of ivory tusks and three pounds of ivory ornaments from the two containers.


Hong Kong Customs was on alert after a tip-off from Guangdong officials in China. On October 16, Hong Kong officers inspected a container from Tanzania claiming to carry plastic scrap and found $13.5 million worth of ivory. A day later, a second container from Kenya was seized with ivory valued at $13.2 million, according to Hong Kong Customs.
 
Zilikamatwa Tanga hizo,alakini hatukuambiwa hatima yake.polisisiemu wa hii nchi ndio wezi namba moja.watuambie zilizoshikwa tanga ziko wapi
watupe feedback ,je kuna aliekamatwa na hizo kontena au ni nini kinaendelea.zko wapi hizo pembe kwa sasa.kagasheki vipi anajua hiyo issue au amekaa kimya baada ya kuambiwa ni za bosi wake..?
Nchi hii kila biasharaharamu lazima ikulu inajua na inahusika.walishikwa wapakistan mitaa ya mbezi wako na maburungutu ya hela na madawa y kulevya alakini cha ajabu walipelekwa polisi na dhamana walipewa.
Huyo nchimbi ukimuuliza hili suala kwa sasa ataanza kurembua na visuahili vingi kama kawaida yao.
Watu wanaifisadi hii nchi alafu majinga yanajua adui yao ni kanisa kumbe adui ni sisiemu
amkeni jamani hawa wezi wanatufanya misukule yao.
 
mwakyembe si alibadilisha uongozi wa bandari kwa tuhuma za rushwa?halafu tunataka tanzania ipewe kibali cha kuuza pembe za ndovu,kwa mwendo huu tutachoka sana,nataka nisikie watu kadhaa wamefungwa huko.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom