Rushwa chaguzi za CCM; JK aache kulalamika, aonyeshe uongozi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rushwa chaguzi za CCM; JK aache kulalamika, aonyeshe uongozi.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Wimana, Oct 24, 2012.

 1. W

  Wimana JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 2,453
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 145
  "Kisaidieni sana Chama chetu..., tunasemwa sana na jamii, kuwa uongozi (CCM) unananunuliwa..." JK, akifungua Mkutano Mkuu UVCCM jana.
  JK ameonekana kutahayari sana na rushwa kutamalaki chaguzi za Jumuiya za CCM.
  Akifunga Mkutano Mkuu wa UWT-CCM, pia alizungumzia suala la rushwa na kushangaa hata kwa Wanawake kuna rushwa.

  JK asipoangalia, CCM itamfia mkononi, .
  Najiuliza; JK hana nguvu ya kufuta matokeo ya chaguzi hizo zilizojaa ukiukwaji wa kanuni? Ni wakati wake kuonyesha uwezo wa kiuongozi.
   
 2. d

  dotto JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Ha ha ha ha J.k. Yaani hajui basi na yeye ni wale wale. Ile EPA ilimunufaisha nani?
   
 3. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #3
  Oct 24, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  yeye mwenyewe kaingia madarakani kwa rushwa sasa anawezaje kuanza kuwawajibisha wanaotoa rushwa...
   
 4. Malingumu

  Malingumu JF-Expert Member

  #4
  Oct 24, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 531
  Likes Received: 250
  Trophy Points: 60
  He has no final say in matters that require single word to make the situation stable.
   
 5. W

  Wimana JF-Expert Member

  #5
  Oct 24, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 2,453
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 145
  Do you wanna say JJ Mnyika was absolutely right?

  Msinitenge, you are damnly right; his single word to make the situation stable! JK hana sababu ya kulalamika, anapaswa kufanya maamuzi magumu na umma wa Watanzania utarejesha imani kwake na chama chake cha CCM.
   
 6. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #6
  Oct 24, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,840
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Shibuda aliwahi kumuonya kuwa ccm lazima imfie mikononi, leo migogoro kila kona na rushwa nje nje
   
 7. S

  Shembago JF-Expert Member

  #7
  Oct 24, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 332
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi hasikii nukuu za baba wa Taifa katika tv na vitabu vyake kuhusu Rushwa wakatiwa awamu ya kwanza? Huyu jamaa wakati anaingia alijigamba kulelewa na Mwalimu lakini nadhani katiak kulelewa kwake sidhani kama alipata hata 20% ya ulezi wa Mwalimu Nyerere.

  Oooh maskini mie naihurumia Nchi yangu chini ya Uongozi huu Dhaifu!
   
 8. T

  Twasila JF-Expert Member

  #8
  Oct 24, 2012
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,913
  Likes Received: 494
  Trophy Points: 180
  Nilitarajia kama Kikwete anachukia rushwa kweli kweli wote waliotoa na kupokea rushwa wangekamatwa. JK alishindwaje kumuagiza mkuu wa TISS kuwashughulikia. Hivi hmfahamu Sofia Simba na wapambe wake, na wengine wa jamii ya ss.

  Kwani anahitaji tochi ngapi na za mwanga kiasi gani kuwaona na kuwajua watoa rushwa.

  Hakika JK anatuzuga. Badala ya kulalamika alitakiwa kujiuzulu. Siyo kutupotea muda.
   
 9. T

  Twasila JF-Expert Member

  #9
  Oct 24, 2012
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,913
  Likes Received: 494
  Trophy Points: 180
  Mkuu Umenena.
   
 10. p

  pilau JF-Expert Member

  #10
  Oct 24, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 1,523
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Nimemuona Rais wangu Jakaya Mrisho Kikwete, akiongea katika mikutano miwili ya uchaguzi wa UWT na huu wa Vijana kupitia Luninga..... kwa kweli niseme kuwa ninamuonea huruma kwa haya yanayotokea na yanayoendelea kutokea.... inaonekana jitihada zake zinafifishwa na baadhi ya watu ambao system inawafahamu..... lakini inapuuzia na inamdharau Mh. Rais....... ni aibu tena aibu ilioje TAKUKURU wapo kazini, usalama wa Taifa wapo kazini, Jeshi la polisi wapo kazini.... nashtuka kuona Mh. Rais analalamika kwamba rushwa imeota mizizi ndani ya CCM, nafahamu kuwa analifahamu hilo siku nyingi lakini wasaidizi wake wanamuangusha..... sasa yeye afanye nini/ ningekuwa mimi ningeshinikiza chaguzi zote za CCM za UWT na VIJANA zingefutwa na mchakato uanze upya..... lakini sio hao tu CCM wameingia katika hali ya sintofahamu katika rushwa kwa chaguzi kuanzia ngazi ya chini ............ matawi na kata...... JK anafahamu na wasidizi wake kwa makusudi wanamwangusga..... Mh. Raisi kama kuwaadhibu viongozi waliochaguliwa kwa rushwa ndani ya CCM ni vigumu....... basi fukuza viongozi wote wa TAKUKURU mabao kwa makusudi kabisa wanafanya mambo ya ajabu katika nchi hiii
   
 11. W

  Wimana JF-Expert Member

  #11
  Oct 24, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 2,453
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 145
  Pilau, JK ataingia kwenye vitabu vya historia kuwa ndiye Mwenyekiti aliyechangia kushuka umaarufu kwa CCM. Nadhani JK anaona kuwa CCM kuendelea kutawala baada yake itakuwa janga kwa Taifa letu, hivyo anakiachia kijifie chenyewe.
  Hata hivyo naamini kabisa kuwa akiamua kuwatosa wote walioingia kwa rushwa CCM itarejea kuwa imara.
   
 12. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #12
  Oct 24, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  huko uvccm ridhiwan yeye kafikaje hapo alipo? tuone huo uchaguzi tena huko ndio hela zitapita nje nje
   
 13. Goodrich

  Goodrich JF-Expert Member

  #13
  Oct 24, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 2,050
  Likes Received: 632
  Trophy Points: 280
  Ni upepo tu, unapita.
   
 14. A

  Ame JF-Expert Member

  #14
  Oct 24, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 3,352
  Likes Received: 659
  Trophy Points: 280
  Masikini too late....kilichobaki ni ama ajipendekeze au akabidhi nchi kwa amani kwetu CDM..Hakuna jinsi atazuia kuwa victim kwasababu kote kote kwake ni moto....angekuwa na washauri wazuri wangemsaidia mapema lakini hana tena command na chama ndiyo hivyo kimemkimbia mchana kweupe! Mbaya zaidi kule kwenye dark side Ame amewasha mwanga macho yao yote yamepofuka hawaoni kitu zaidi ya maruwe ruwe...Mtasoma namba mwaka huu!
   
 15. b

  blueray JF-Expert Member

  #15
  Oct 24, 2012
  Joined: Sep 15, 2012
  Messages: 2,219
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kwa hili la rushwa na hata ufisadi mtu yeyote asikudanganye JK hana uwezo zaidi ya kulalamika!
   
Loading...