URAIS 2015: Wanawake kuvuruga mambo CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

URAIS 2015: Wanawake kuvuruga mambo CCM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by 2mbaku, Oct 24, 2012.

 1. 2mbaku

  2mbaku JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 317
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  HARAKATI za urais ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) zimeingia katika hatua mpya baada ya kuvuja kwa taarifa za kuwapo mkakati wa kuwapa nafasi wanasiasa wanawake na kuwatosa wanaume kwa kile kinachodaiwa kuvunja makundi yenye uhasama.Habari za ndani ya makundi makuu ya wataka urais ndani ya CCM, zimethibitisha kuwapo taharuki kubwa miongoni mwao baada ya taarifa za wanawake kupewa nafasi kubwa kuzidi kushika kasi siku zinavyozidi kwenda.


  Wataka urais wanaolengwa kuzimwa ni pamoja na Waziri Mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa, Edward Lowassa, Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe.

  Wanawake wanaotajwa kufanikisha mpango huu ni Dk. Mary Nagu, Prof. Anna Tibaijuka na Dk. Asha Migiro ambao wote watasukumwa na makundi yenye fedha nyingi ili angalao wawili kati yao waingie hatua ya mwisho.

  Kutokana na nguvu ya CHADEMA na kile kinachoonekana kwa wana CCM wenye ushawishi mkubwa kuogopana kwa sababu mbalimbali, kuna mkakati wa kuwa na 'plan B' ya kusimamisha wanawake, mkakati kama uliotumika kumzima aliyekuwa Spika wa Bunge, Samwel Sitta.

  Source: Tanzania Daima
  Kazi kwelikweli! Je hii plan B itafaulu?
   
 2. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,320
  Likes Received: 5,611
  Trophy Points: 280
  Kama ni mwanamke awe Prof Tibaijuka pekeyake ndio ataweza kupasuana vichwa na vichaa waliojaa hapa tanzania la sivyo hao wengine bado sana hawajakomaa kupambana na vichaa hawa na serikali hovyo hii!mtawapasua vichwa bure
   
 3. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #3
  Oct 24, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,363
  Likes Received: 2,990
  Trophy Points: 280
  Hapo ndiyo CCM itakufa KIBUDU bila kuchinjwa kwanini huo mwaka kwa plan B bora wasimamishe mgombea yoyote.Ukweli Vyama vya upinzani vina nafasi nzuri kwenda IKULU.
   
 4. Nyami2010

  Nyami2010 JF-Expert Member

  #4
  Oct 24, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 227
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mbele ya Dr. Slaa, Prof. Tibaijuka hana jipya na siyo mtendaji mzuri kihivyo. CDM jiimarisheni, Mungu anaweza kutusaidia watanzania
   
 5. StayReal

  StayReal JF-Expert Member

  #5
  Oct 24, 2012
  Joined: Sep 29, 2012
  Messages: 519
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Yani yeyote watakeyemsimamisha lazima CDM tuchuke nchi, acha tu waendelee kutapatapa!
   
 6. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #6
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Kuna siku nilikuwa nasafiri njiani abiria mwenzangu baada ya kumdodosa alinijuza juu ya Plann B hiyo na chaguo hasa atakuwa ni Prof. Anna Tibaijuka.

  Vigezo alivyonijuza mshikadau ni kama vilovyoelezwa na Tanzania Daima,

  Moja, kuvunja makundi ndani ya CCM.

  Pili, kukabiliana na nguvu ya CDM ambayo dhahiri imeonyesha kutaka kuitwaa Ikulu. The only way ni kutumia mwanamke na wanawake wengi watahamasika kupigia kura mwanamke mwenzao na kwa mtindo huo CDM itakabiliwa na upinzani mkali na hatimaye kushindwa.
   
 7. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #7
  Oct 24, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Tiba anaweza
   
 8. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #8
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Kumbuka itakuwa vita ya jinsia, wanawake wataaminishwa wakiwezeshwa wanaweza. Sasa sijui kama njia hii itafanya kazi.
   
 9. J

  Jalem JF-Expert Member

  #9
  Oct 24, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 218
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ngoja tusubiri nini kitatokea hapo mika miwili ilyobakia.
   
 10. Takalani Sesame

  Takalani Sesame JF-Expert Member

  #10
  Oct 24, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 588
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kwanza hakuna ushahidi based on utafiti uliofanywa kuwa wanawake wanapendelea kuchagua wanawake wenzao kwenye nafasi za uongozi and suprisingly, it may be quite the opposite.

  Pili, sijaona mwanamke kati ya wanaotajwa amegusa maisha ya wanawake wenyewe na jamii kwa ujumla katika utendaji kazi. An impressive track record would have been a bait.

  Tatu, tumekuwa na viongozi wanawake katika ngazi mbali mbali ikiwemo za juu kabisa za uwaziri, uspika tz, uspika afrika, unaibu katibu UN n.k. Nini tunaweza kujivunia kwa hawa wanawake zaidi ya sifa za kisiasa tu? Pointi hapa ni kwamba walipewa nafasi kubwa lakini bado walishindwa kuonesha uwezo wao kwa kiwango cha juu hadi kufaa kufikiriwa kwa nafasi ya Urais.
   
 11. Bigjahman

  Bigjahman JF-Expert Member

  #11
  Oct 24, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 644
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 45
  Duu naona washasahau kilichowakuta arusha walitumia propaganda hi hi,kama wakiweka mwanamke hawa magmba cdm mbn njia nyeupe ikulu,plan d ya baba mwanaasha itawashangaza weng maana kama co kilaza mwanaasha basi itakuwa yule maza alyesababsha babu seya awe jela.tym wl tel tusubri hii ndo tanzania bana nchi iyowezekana kutokea kitu chochote wakat wowote.PEACE
   
 12. REMSA

  REMSA JF-Expert Member

  #12
  Oct 24, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 2,569
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Ameshindwa wizara ataweza Taifa zima.Kigamboni peke yake imemgaragaza kwa kushindwa kusimamia
  ukweli na haki za watu,acha Kinyerezi na kwingineko.
   
 13. m

  mbayaaa Senior Member

  #13
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 17, 2012
  Messages: 132
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  :cheer2:Kuvuja kwa Pakacha (ccm) nafuu ya MCHUKUZI (CDM). Acha 2 waendelee kujikoroga, 2015 itayaweka bayana haya yote
   
 14. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #14
  Oct 24, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Tusubirie mtiti.
   
 15. M

  Mkwe21 JF-Expert Member

  #15
  Oct 24, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,857
  Likes Received: 499
  Trophy Points: 180
  Huyu Mama anafagiliwa sana for Nothing!! Wizara hiyo ya Ardhi ni so demanding!! Simuoni anachokifanya!! Fikiria miji yote Tanzania inazidi Kuwa squatter Yeye anadhamana na Hana Plan b"" Kuna maeneo ambayo anaweza Hata kuwahi na kuweka becons kuzuia maeneo ya barabara, Just to deploy surveyors na kuwapa watu awareness ya kujua umuhimu wa kuwa na barabara za Mitaa!! Yeye amekalia kulita mambo makubwa! Adress without Haya Madogo!! Poor on her!! Shallow minded!!
   
 16. REMSA

  REMSA JF-Expert Member

  #16
  Oct 24, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 2,569
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Toka nimeanza kusikia majina ya viongozi wanawake kwenye hili taifa sijaona aliye strong wa
  kusema anaweza kubeba vichwa vya watanzania.Kama wengine wamepewa favor mpaka umoja
  wa mataifa na wameshindwa.Hii nchi ilipofikishwa kwa sasa inahitaji rais ambae kweli anadhamira
  ya dhati ya kuleta mabadiliko,kitu ambacho hao wanawake wamefeli wote.
   
 17. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #17
  Oct 24, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Mkuu REMSA makinda amefanya lipi la ziada kumshinda tiba la kupigiwa mfano?hayo usemayo ni upepo tu and as usual utapita.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. REMSA

  REMSA JF-Expert Member

  #18
  Oct 24, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 2,569
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Hapa hakuna cha Makinda wala Tiba wala huyo aliyetoka kwa mzee Ban,wote wachemfu tu,huyo
  Makinda ameweza nini anaongoza Bunge utafikiri anaongoza familia yake!?wakati anaongoza vichwa
  akina Mnyika.
   
 19. B

  Baija Bolobi JF-Expert Member

  #19
  Oct 24, 2012
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 931
  Likes Received: 697
  Trophy Points: 180
  Wana bodi

  CCM ikimsimamisha mmoja wa makundi haya, itashindwa kabla ya saa 4 siku ya kupiga kura 2015:
  -Mzanzibari
  -Mwanamke
  -Fisadi Papa
  -Asiyetoka Kaskazini

  Mnisamehe kama mchango wangu unanuka udini, ukabila na ueneo. Nchi yetu imekaa vibaya kwa sasa, na mawazo yetu lazima yakae vibaya.
   
 20. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #20
  Oct 24, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  mtatokwa povu sana ila kama si tiba bac mama migiro tutamtuma subirin kusoma no. 2015
   
Loading...