Kwa siasa za Tanzania, sioni shida wala Tabu; Ni heri nusu shari kuliko shari kamili! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa siasa za Tanzania, sioni shida wala Tabu; Ni heri nusu shari kuliko shari kamili!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KakaKiiza, Oct 26, 2012.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Oct 26, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,258
  Trophy Points: 280
  Mimi napenda chama changu cha CHADEMA kichukue Madaraka 2015!

  Ila kutokana na mizengwe ya serikali iliyopo madarakani CCM.......najua nini kinaweza kutokea kwani wapo tayari kuua basi zima lenye abiria 65 kwa ajili ya kumkwepa mwenye baiskeli barabarani!!.....

  Namtazama EL nashindwa kuelewa dhamila yake nini maana!!Kutokana na mbinu anazotumia na nguvu kubwa inayotumika kujenga mtandao imara kwenye kila taasisi ya CCM sasa nona LOWASSA anatafuta kuungwa mkono ili aweze kugombea nafasi ya Urais 2015!! Ila CCM wakisimamisha LOWASSA nitaona ni bora yeye kuliko mtu mwingine CCM ! Ni heri nusu shari kuliko shali kamili!!LOWASSA Kwa kutokana na shubili hii aliyoipata baada ya kuwa anatembea kwa magari yenye ving'ora na baade kuvikosa!!Basi ni dhahiri kuwa
  Akipata madaraka anaweza kuibadili hii Tanzania kutoka kwenye mazoea tuliyoyazoea ya kulindana yanayoendelezwa na CCM kunaweza kuwepo utii wa sheria!!nasema hivyo kwa sababu hii,Kwanza kwa kila kitu atakachokuwa anakifanya nikutaka kuonyesha anaweza na siyeyule LOWASSA WA RICHMOND, pili nikujitoa kwenye tope alilochafuka nalo juu ya kashfa ya RICHMOND kwa kujua anahusika lakini si kwa moja kwa moja!!

  Atata Ili jamii imuelewe nakuoinyesha yeye ni zaidi ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete atabadirisha mwelekeo wa nchi hii na kwakuwa yeye nimtu wa visasi basi visasi vyake vinaweza vikasaidia katika nchi hii!!!Mwisho nasema

  LOWASSA NI ZAIDI YA MiTANDAO NDANI YA CCM.....ILA CHADEMA NI ZAIDI YA CCM NA WATU WAKE.
   
 2. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,963
  Likes Received: 1,851
  Trophy Points: 280
  Kaka Kiiza kwanza kabisa napenda nikupongeze kwa dhati kabisa kwa hii post manake naweza kusema hii ni moja ya post bora zaid ambayo imetoka kwa mfuasi wa CDM. Kiukweli kabisa ninamkubali Lowassa kuliko mtu yyte yule ndani ya chama changu nikipendacho cha CCM. Lowassa ni mtu ambaye kiukweli ataibadili tz na watu wake na kwann nasema haya ni kwasababu hizi hapa:-

  1) kwanza kabisa ameshajua tataizo la watanzania liko wapi. kiukweli watanzania hatuahitaj miopo mikubwa wala nyezo za kisasa za kurahisisha kazi kama ambavyo tunahitaj elimu. ninaheshimu michango wake kwenye umuhimu wa elimu ukilinganisha na wa kilimo kwanza naukubali sana. huwez ukampa mtu shamba, ukampa mkopo wa trekta wakati elim juu ya hicho kilimo hana. ni wazi kufanya hivyo ni kuchezea shilingi chooni na ukweli ukitaka kuamini angalia kiko wapi kilimoa chenye tija kwa taifa hili? mbona bado njaa ni moja ya marafiki zetu nk.

  2) ana uthubutu wa hali ya juu, kama alithubutu kujiuzuli na kuachia ikulu iliyo tamu ni wazi kwamba anaweza kufanya hata zaid ya hayo, mfano Pinda pamoja na kuona kabisa kuwa kuna kutokuwajibika kukua sana kwa watendaji wake lkn hajawah kumwajibisha mtu ama yeye kuwajibika ingawa aliwah kushurutishwa afanye hayo. nashindwa kuelewa kwann raaisi wa nachi hii na waziri mkuu wanashindwa kumwajbisha had waziri asiyejua jiografia ya nchi yake na kuaibisha taifa kwa kiasi kikubwa hivyo lkn wako kimya. namkumbuka Lowassa alipomfukuza ka mkurugenzi wa same kwa njaa iliyokuweko same, naamin angekuwa ni yeye huyu waziri angepigwa chini ama angewajibishwa

  3) anajua tatizo la ajira na ingawa aliwah kuishauri serikali lkn aliishia kubezwa ila ukweli tatizo la ajira ni kubwa na mawazo ya lowsa kwamba hili ni bomu litakalo lipuka sasa yametimia, uthibitisho ni haya tunayoayaona kwa sasa kama vurugu za kuchooma makanisa na kuandamana ambao wengi walio husika nivijana ambao walionekana kabisa kuchoshwa na maisha ya kutokuwa na kipato kiasi cha kuona hata kujitoa muhanga ni sawa tu.
   
 3. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #3
  Oct 29, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,258
  Trophy Points: 280
  gfsonwin nasema hivyo kwakuwa sikuzote tunachaguliwa viongozi sasa kwakuwa najua mizengwe ya CCM nibora nitamke bayana.......Kwanza alikataa mpango wa kilimo kwanza nayeye akasema kilimo bila elimu nisawa na gari bila dereva!Elimu kwanza!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. R

  Rafikikabisa JF-Expert Member

  #4
  Oct 30, 2012
  Joined: Nov 6, 2009
  Messages: 252
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Mimi nakubaliana nawe kwa kila kitu. Tatizo langu ni moja tu! Hivi kwa nini wanataka tutumie pesa ktk uchaguzi? Na kama mtu yeyote ana nia njema na kusaidia watanzania pesa za nini?
   
 5. K

  KIRUMO JF-Expert Member

  #5
  Oct 30, 2012
  Joined: Sep 25, 2012
  Messages: 364
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kinyume chake inaweza ikawa sawa. Atahakikisha kuwa anachota kuliko waliomtangulia. Atataka mtu amwone mwema kwa sababu ipi? Atauza kila kinachoweza kuuzika na kuficha kila kinachoweza kufichika. Alishakataliwa na Mwalimu Nyerere! Kwa nini alipokuwa PM hakufanya mema ili kuprove kuwa mwalimu alikuwa wrong? Hata sasa hatakuwa na sababu ya kufanya hivyo badala yake ni nyume chake!
   
 6. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #6
  Oct 30, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,258
  Trophy Points: 280
  Huyu jamaa nikwamba kaisha chafuka na zaidi amekuwa na maadui ndani ya chama chake hivyo nidhahiri sirahisi kupewa nafasi yakugombe hapo mwakani kwavyovyote vile nilazima atumie nguvu ya ziada!!Japo anaweza kukubalika mbele ya wapiga kura lakini mizengwe anayowekewa kwenye chama ndilo tatizo kuu!!
   
 7. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #7
  Oct 30, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,258
  Trophy Points: 280
  Kwa mtazamo wangu aliyafanya mengi ni wewe usiyetaka kuyaona ila wakati akiwa PM naona alikuwa anang'ara kuliko aliyempa u PM hivyo na kujishusha!!
   
 8. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #8
  Oct 30, 2012
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,519
  Likes Received: 292
  Trophy Points: 180
  Yes! We said and it is said forever that CDM is a concubine of Mamvi. It is just a matter of time to prove this.
   
 9. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #9
  Oct 30, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,258
  Trophy Points: 280
  Hapana kaka mimi nimtizamo binafsi usi generalize issue mkuu mimi kuwa chama kingine hakinizuii kuwa na mtizamo hasi!!
   
 10. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #10
  Oct 30, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,963
  Likes Received: 1,851
  Trophy Points: 280
  mkuu unakumbuka vzr alipokuwa PM?
  kumbuka alithubutu kuwajibisha waliokwa hawafanyi iwapasavyo kama mkurugenzi wa same, pia alisimamia nchi ktika nafasi ambayo aling'ara kuliko hata bosi wake simply becuse he dare to speak openly, na alipokamatika hakusubiri watu wamzonge alisema ngoja ni resign na kiukweli kujiuzulu kwake kuliweza kuwa na majibu kwamba either hausiki directly na richmond ana alihusika indirectly so ili kutoa nafasi ya kuchunguzwa akaona akae pembeni. sasa zigo la richmond lili mwangukia nani? manake mwisho wa siku aliwah kumuuliza rais hivi kuna chochote nilichokuwa nakifanya mm kama PM ambacho wewe hukijui? hapa hakupewa jibu mpaka keshp.
   
 11. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #11
  Oct 30, 2012
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,519
  Likes Received: 292
  Trophy Points: 180
  Lakini Mbona hili linajulikana cku nyingi kuwa CDM na Lowasa hawasemani vibaya. Kauli yako inadhihirisha hilo. Na amekuwa aki-fund movements nyingi tu zap CDM.
   
 12. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #12
  Oct 30, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,258
  Trophy Points: 280
  Kwa hilo mimi sina uhakika yawezekana kwani hata Shibuda ni CCM lakini anawasaidia wapinzani wa chama chake kwa hilo sioni neno kuwasaidia katika M4C!!
   
Loading...