TANZANIA KUELEKEA MABADILIKO in 2015 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TANZANIA KUELEKEA MABADILIKO in 2015

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by GODLOVEME, Oct 29, 2012.

 1. GODLOVEME

  GODLOVEME JF-Expert Member

  #1
  Oct 29, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 1,573
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 160
  vijana wa Tanzania kama kweli tunataka mabadiliko lazima tufanye yafuatayo
  Ø :evil:Kuacha unafiki (let ndio yetu iwe ndio na sio yetu iwe sio)

  Ø :evil:Kujua ukombozi wa Tanzania haupo kwenye chama wala dini bali kwa watu makini like

  Ø :evil:Pinga rusha na wewe kataa rushwa (unakuta kijana mwanaharakati ananuliwa kwa laki mbilii) usitegemee mabadiliko kwa mtu kama huyo

  Ø :evil:Tuwe wawazi

  Ø :evil:Kuwa mwajibikaji etc
  note

  Kama kazini unaiba mita moja ya cable 1500 are real mean unataka mabadiliko kwenye nchi yako

  Unakojolea viti uwanja wa taifa unatak a kweli mabadiliko
  The answer is no
  Wewe ndio kiongozi wa 2015 anza kubadilika leo
   
 2. S.Liondo

  S.Liondo JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 2,156
  Likes Received: 672
  Trophy Points: 280
  Kwakweli kama kuna watu wanakojolea viti uwanja wa taifa, basi bado kuna watanzania vichaa wengi tu, tena vichaa waliochanganyikiwa mara mbili.
   
Loading...