Permanent Voters Register - What the #@@$ is this dubwasha?

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,289
2,000
Jamani.. katika pita pita yangu nasikia kuna kashfa kubwa fulani ya masuala ya tenda na uendeshaji wa hili dubwasha. Naomba mnaojua mtusaidia kulichambua nani analisupply uhai wake, kwa vipi na kwa uwezo wa nani.. What do we know about it.. Nani ametajirika na uwepo wa dudu hili ambalo kwa juu linaonekana ni la kitaalam sana lakini ndani yake lina mambo ya kijima - kama inavyodaiwa?
 
Mkaa Mweupe

JF-Expert Member
Jun 29, 2007
654
195
Kama unajua tayari amesha aanzisha, kama hujui huwezi jua maala pa kuanzia. Si lazima kuchangia, unaweza kuwa msomaji tu. Tuwaachie wajuao watujuze. Hili dubwana lina mapungufu mengi licha ya kuwa linaonekana ni la kitaalam. Nilijaribu kufanya upekuzi na kuona hizo kadi maridadi kama zinafanya kazi au ni mbwembwe (upande wa bar codes). Mhh! sina la kuongezea... Uza sura upate mtaji.
 
Ngambo Ngali

JF-Expert Member
Apr 17, 2009
3,518
2,000
Jamani.. katika pita pita yangu nasikia kuna kashfa kubwa fulani ya masuala ya tenda na uendeshaji wa hili dubwasha. Naomba mnaojua mtusaidia kulichambua nani analisupply uhai wake, kwa vipi na kwa uwezo wa nani.. What do we know about it.. Nani ametajirika na uwepo wa dudu hili ambalo kwa juu linaonekana ni la kitaalam sana lakini ndani yake lina mambo ya kijima - kama inavyodaiwa?

2004 kuanzishwa kwa Daftari la kudumu kulikuwa kunasimamiwa na UNDP kama sikosei
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom