Chama cha mapinduzi Tunashukurun kwa haya. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chama cha mapinduzi Tunashukurun kwa haya.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Josephine, Oct 30, 2012.

 1. Josephine

  Josephine Verified User

  #1
  Oct 30, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 787
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Chama cha mapinduzi,kimetufanyia haya,ambayo kwa hakika yameonekana mazuri machoni mwa wengi ndiyo maana leo wanapambana kukutetea.

  1. umetua fikira zetu ,kwa kutupa Elimu tegemezi ambayo kila kukicha watoto wetu wanasoma ili nwapate kazi na kuajiliwa na makampuni flani makubwa nchini.Hakuna mtoto anayesoma akiwaza kubuni au kutumia elimu yake kufanya kitu kipya nchini. ASANTE SANA CCM

  2.Mmetufanya tuamini bila misaada hatuwezi kusonga mbele,mkasahau kutegemea kodi kupanga mipango yenu.

  matokeo yake huduma zote muhimu ambazo tuliwachagua ili mziendeshe na kutupa ama kutuhuzia kwa bei nafuu,zote mmebinafshisha,ndiyo maana leo rasilimali zetu zote zinachukuliwa kwani hatuna cha kuwalipa hao mnaowakumbatia.

  Usalama- wafadhili wanalisaidia
  Elimu- wafadhili wanatusaidia
  Afya- wafadhili
  Miundombinu- wafadhili

  Huduma zote hizi zinaudumiwa na wageni,ni kwanamna gani mtatuthamini watanzania?mkaacha kuwathamini wafadhili wanaowapa fedha? Watanzania hatuna faida kwenu,Donors are number one to you.
  Ndiyo maana mmeanza kutupiga risasi kama watu tusiokuwa na haki,na hakuna mtu anayeona ametenda kosa.
  Ohhhhhhhhhhhhhh my Tanzania.
   
 2. Boko haram

  Boko haram JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2012
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 3,143
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Nakusikitikia sana shemeji yetu yani umejitahidi kutuvutia kwenye uzi wako lakini nikukumbushe jambo moja chama cha babu yetu kinafadhiliwa na chama fulani cha kikristo cha kule UJERUMANI lakini hilo hulijui halafu ushauri wangu kwako ni kwamba onga na mheshiwa LEMA UKELEZE JINSI ALIVYU TAMBA KWAMBA ANA WAFADHILI WENGI KUTOKA NJE YA NCHI NA AKATULETTEA TREKTA NA AMBULANCE KUTOKA KWA HAO WAFADHILI AMBA WW UNAWAPINGA TAKE CARE SHEMEJI
   
Loading...