Nikiwa MTZ, ninaomba katiba ijayo irejeshe nchi na serikali mikononi mwa wananchi, katiba iseme wazi namna tunavyoweza mtoa rais kwa kupitia bunge na kupitia wananchi bila kutumia nguvu au vurugu...
Katika kutafakari sababu za umaskini wa nchi yangu Tanzania, nikajikuta nashangaa hasa baada ya kuangalia raslimali zilizoko nchini hasa madini. Nikajiuliza wenzetu wa Botswana madini yao...
Jamani ndg. Zangu Watanzania tu watu sasa wa kuishi kwa kuletewa habari za kizushi kila kukicha na kuaminishwa kuwa ni ukweli.
juzijuzi ccm wameteua viongozi wapya kwa muhula mpya na kikosi hcho...
WATU wasiojulikana wamechana mabango yenye picha za Rais mstaafu wa Zanzibar, Amani Abeid Karume, katika mitaa mbalimbali ya Manispaa ya Zanzibar, huku umati mkubwa ukijitokeza kumpokea Makamu...
Moja ya kazi ambayo CCM na washirika wao wa kisiasa nje ya chama hicho, wamekuwa wakijaribu kuiaminisha jamii ya Watanzania kuwa wanaiweza ni kusema uongo. Kudanganya. Na kwa siku au miaka ya hivi...
Kutokana na harakati za Urais 2015, ndani ya CCM kumetokea makundi mbalimbali yanayochagiza wagombea wao wapate nafasi hiyo.
Hivyo basi wakati umefika kwa wananchi tujitokeze na kuwapigia debe...
Baraza la vijana wa CHADEMA mkoani Arusha wamedhamiria kupandisha bendera ya CHADEMA na M4C kwenye kilele cha mlima Kilimanjaro kwenye safari itakayoanza siku ya jumamosi, tarehe 25/11/2012 mkoani...
Wana JF,
Nina sababu kwa nini nasema tuachane na Kura ya Siri, bali tupige kura ya Wazi.
1. Kwanza itapunguza Rushwa kwenye Uchaguzi.
2. Tuatapungaza sana Vilaza kwenye uwakilishi wa Wananchi...
Si mbaya ukisoma na kuchukua kile ambacho kitakufaa maishani. Hii ni makala kutoka katika gazeti la leo la Mwananchi:
KATIKA kitabu 'Tujisahihishe' kilichoandikwa na Baba wa Taifa,Mwalimu Julius...
Siupendi sana huu mchezo; kwani unaweza kukuaminisha kabisa kuwa utashinda. Unaona kabisa kwa macho yako kuwa karata nyekundu imefunikwa upande wa kushoto na unaona mtu mwingine anaapa kabisa iko...
Tanzania ni nchi yenye mito, bahari, maziwa, milima, mabonde, mbuga za wanyama, madini, ardhi kubwa kuliko kenya na uganda ukijumlisha, imepakana na nchi 8, nadhani hii pia inatia fora, sijui kama...
Habari wana JF,
Nimebahatika kuwasiliana na Mbunge wa Kigoma kwa ticket ya CHADEMA, Mheshimiwa Zitto Zuberi Kabwe; na kuwasilisha ombi langu la kumhoji 101 kwa kupitia mtandao huu wa JF kwa...
Usiku huu kupitia vyombo vya habari, mhe, Mwakyembe ameamua kutoa ya moyoni baada ya kueleza ukweli kuwa uhaba wa mafuta uliojitokeza hapa nchini zilikuwa ni njama za maksudi. Ujasili wake huu wa...
Haina ubishi kuwa J. Kikwete ni rais pekee ametawala kwa mizengwe lakini namna anavyoipangua mizengwe hiyo, anastahili pongezi kubwa. Ikumbukwe zengwe la kwanza ni lile la kukataliwa na CHADEMA...
NDUGU zangu ,
Wahehe wana msemo; Isenga imbofu na isenga indenyeefu. Kwamba ng'ombe kipofu ni sawa tu na ng'ombe aliyevunjika mguu. Wote watakufa njaa.
Ng'ombe kipofu hawezi kuyaona...
Mwandishi Wetu
SEKRETARIETI mpya ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imeapa kusimamia utekelezaji wa Ilani ya chama hicho tawala kwa kufuatilia mienendo ya watendaji wakuu wa Serikali wakiwamo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.