Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

KITAIFA Na Mwandishi Wetu Posted Jumapili,Novemba18 2012 saa 9:10 AM KWA UFUPI "Napenda sasa kutangaza vita na wale wote wanaohusika katika biashara hii haramu, nitapambana nao. Hali hii...
1 Reactions
83 Replies
6K Views
Maoni ya wajumbe wa BWL Zanzibar katika tume ya Katiba BONYEZA Vidio Kamati ya Maridhiano Six: MAONI YA WAWAKILISHI KWA TUME YA KATIBA; 14/10/12; Part 7 - YouTube
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Baada ya CCM kumaliza mikutano ya uchaguzi huko Dodoma wameamua kufanya mikutano kwa ajili ya kuwadanganya wananchi na siasa nyepesi katika mkutano inayoanza.Katika Taarifa ya vuvuzela wao ndg...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Tumefikilia jambo hili tukapata majibu kwamba bado tunahitaji CCM, tunajua yapo mapungufu, na hakuna hasiye na mapungufu. CCM wanapigania usawa na kuondoa ubaguzi miongoni mwa jamii husika, CCM...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Hivi kumweka waziri kitanzini sio kumuweka bosi wake? Hivi mawaziri wote wakipigwa kitanzi, si ndio serikali yote jamani? Na kama serikali yote, si na Rais yumo? Au ndio mbinu ya kumtesa JK baada...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Katika kile kinachoonekana kama kujiosha kwa wananchi,Sekretarieti mpya ya CCM sasa imevuka mipaka.Imepewa kazi za Mawaziri ili izifanye. Kati ya kazi hizo ambazo hata Katibu wa Uenezi,Nape Nnauye...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Wadau wa jf siku moja kabla ya mkutano mkuu Dodoma, mh Lowassa aliwaita wajumbe wote wa mkoa waArusha nyumbani kwake Dodoma ili kushiriki chakula cha jioni. Baada ya hapo aliwaomba wajumbe wa...
1 Reactions
28 Replies
4K Views
Watanzania wapenda mabadiliko asalamu aleikum! Muda wowote kuanzia sasa makamanda toka mikoa mbali mbali Tanzania bara wanaanza kuwasili. Wenyeviti na makatibu wote wa Tanzania bara watakuwepo...
2 Reactions
35 Replies
4K Views
THE POWER AND THE VAINGLORY: Anatomy of a $100 Million Malaysian IPP in Tanzania Brian COOKSEY* Forty years ago, Malaysia had a more or less similar economic development profile to most of...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA kimeandaa semina maalum kwa wenyeviti na makatibu wote wa mikoa nchini. Lengo la Semina hiyo ni kuwajengea uwezo wa kusimamia operesheni M4C katika mikoa...
5 Reactions
43 Replies
4K Views
WAKUU WANA-JF Kwa kipindi kisicho zidi muda wa miezi mitatu(3) kumekuwa na lugha ama sentesi kadhaa kutoka kwa Mh. Freeman Mbowe ambaye ni mwenyekiti wa CHADEMA taifa ambazo wachambuzi wa kisiasa...
2 Reactions
166 Replies
14K Views
HABARI Posted Jumatatu,Novemba19 2012 saa 22:46 PM KWA UFUPI YAFUFUA FAGIO LA MZEE RUKSA, YAANZA ZIARA MIKOANI LEO Mwandishi Wetu SEKRETARIETI mpya ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imeapa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
KAMPUNI ya China Merchant Holdings kutoka China, iliyoletwa na aliyekuwa Waziri wa Uchukuzi, Omary Nundu ili iwekeze kwenye mradi mkubwa wa ujenzi wa gati mbili kwenye Bandari ya Dar es Salaam na...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Katibu Mkuu wa CCM,Abdulrahaman Kinana,akisalimiana na Katibu wa Mkoa wa Vyuo Vikuu ,Christopher Ngubiagai, leo tarehe 19/11/2012 , Ofisi Ndogo CCM Lumumba. Katibu wa Uchumi wa Fedha...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Yafuatayo ni mahojiano maalum kati ya Esther Wasira na Tanzania Daima Jumapili tarehe 18/11/2012 Na Happy Katabazi Swali: Naomba kufahamu historia ya maisha yako? Jibu: Nilizaliwa 1987 hapa...
7 Reactions
69 Replies
7K Views
2.1 Katika kutekeleza shughuli za Muungano matatizo kadhaa yamejitokeza ambayo yamepelekea kuwepo zinazoitwa Kero za Muungano. Tatizo la siku za mwanzo kabisa la Muungano lilijitokeza mwaka 1965...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Maneno haya ya JENERALI ULIMWENGU YANA MAANA KUBWA KWA NCHI YETU. "NI UPUMBAVU MKUBWA KWA NCHI YENYE RASILIMALI NYINGI KUZIACHIA KUTOWEKA. SERIKALI HAIKO MAKINI KUHUSU SUALA HILI. WALEWALE...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Katika kipindi cha JENERAL ON MONDEY LEO MGENI NI KATIBU MKUU WA CCM NDUGU ABRAHAMAN KINANA NAWASILISHA
1 Reactions
54 Replies
4K Views
Napenda kutumia fursa hii kuwashukuru sana wote waliotoa michango yao katika mada ya mwanzoni mwa mwezi wa kumi iliyokuwa na kichwa cha habari "Kwa watu wa mkoa wa Mara",nilipokea maoni mengi...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Kwa mtazamo wangu baada ya Nyerere hawa ndo the best people ambao wangestahili kiliongoza jahazi la watanzania ktk kufikia nchi ya asali na maziwa: Kumbuka: kwa hali ilivyo nchini kwa sasa...
0 Reactions
4 Replies
951 Views
Back
Top Bottom