Watanzania tufike mahali tuachane na Kura ya Siri.... Tupige Kura ya wazi ni Nani tunamchakua. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania tufike mahali tuachane na Kura ya Siri.... Tupige Kura ya wazi ni Nani tunamchakua.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by STEIN, Apr 18, 2012.

 1. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #1
  Apr 18, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1,764
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Wana JF,

  Nina sababu kwa nini nasema tuachane na Kura ya Siri, bali tupige kura ya Wazi.

  1. Kwanza itapunguza Rushwa kwenye Uchaguzi.
  2. Tuatapungaza sana Vilaza kwenye uwakilishi wa Wananchi, mfano jana nilifuatilia mchakato wa kujieleza tangu mwanzo hadi mwisho na nilitegemea ushauri wa Dr Mwakyembe ungezingatiwa.
  3. Kuwafanhamu hawa watu ambao huwa wanaharibu kura, ni jambo la kusikitisha wabunge wanaharibu kura 16, hao tungeenda hata kuwapinga mahakamani kwa kupoteza uwakilishi wa majimbo yao na watu wao wanaowawakilisha.
  4. Tutapunguza wizi wa Kura na Kesi za kupinga matokeo maana hukumu inakuwa wazi kwa upande wa wananchi.

  Najua CCM watalipinga sana hili kwa kusema hakuna mfumo kama huo duniani, lakini kwa tulikofikia unafaa.
   
 2. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #2

 3. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #3
  Apr 19, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  Waulize wabunge km ccm watapinga...pangekuwa na kura za maoni upinzani usingekuwepo hapa.

  Wabunge wote walikuwa wakifundwa na Pinda kabla bunge halijaanza.Wale wapiga mayowe ndani mule ni kwa vile wanaonekana au wataonekana baadaye ktk replay ya cctv.Wabunge wote wa CCM wana modetors kwa kila kitu wasikiumize chama.Wanaadhibiwa kutokana na miongozo ya chama.

  CDM wanaringia huo usiri kwa vile wanajua zikipigwa kwa siri coward magamba watajificha humo.mara zote wamekuwa wakiwaambia CCM km kura ni siri wasijiaminishe kuwa kwa vile wana wabunge wengi basi watashinda umeya Arusha pinda akanywea.Alinywea kwa vile alipewa mfano hai wa halamashauri walioshinda wakiwa na madiwani wachache.Hata wewe mwenyewe ukiwa na jamaa yako unahisi ana moto na si mwangalifu, halafu anakaribia mpata mwanamke uanyeamini katulia na najiheshimu, ukajaribu mwambia jama amweleze huyo binti au atafute namna ya kumlinda hakutaka kuwa responsible,ila nataka wewe ndio umsaidia fanikish azoezi la yeye kwenda muua mwenzie na ukimbwangalia unaona si mtu rahisi mhandle.Sidhani km utakuwa mmojawapo ya wachache wanaoweza mharibia jamaa hdharani bika hofia urafiki au mabavu yake.

  Kura kufichwa kunampa mtu uhuru wa kupeleka mawazo yake bila shinikizo,as log as kuna watu wengi na mpigaji akawa anaelewa nachofanya na afanye fairly bila mashinikiso ya kimazingiza.
   
 4. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #4
  Apr 19, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  rekebisha title. ni 'KUCHAGUA' siyo 'KUCHAKUA'

 5. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #5
  Nov 21, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  tukiwa huru zaidi kura za wazi zitawekana,ial sasa vinyongo vitatisha.
   
Loading...