Wosia wa Baba wa Taifa: Rushwa

Wosia wa Baba wa Taifa: Rushwa

Alisema hayo kwakuwa alijijua kuwa yeye ni msafi hivyo kwake haikuwa tatizo kuthubutu kumuwajibisha mtu yeyote atakayedhibitika kuwa kala rushwa lazima hatua za kisheria zichukue mkondo wake!!

Sasa leo hii serikali yote imeingia madarakani kwa mipango sasa wewe utamwajibisha nani??wewe mwenyewe chinjachinja?Hapa nimpaka tupate serikali ya upinzani inayochukia rushwa siyo serikali ya CCM inayokumbatia rushwa!Serikali inasema inawafahamu wala rushwa lakini inawaogopa kuwawajibisha nikwasababu gani??

Jibu unalo mwenyewe!
 
Alisema hayo kwakuwa alijijua kuwa yeye ni msafi hivyo kwake haikuwa tatizo kuthubutu kumuwajibisha mtu yeyote atakayedhibitika kuwa kala rushwa lazima hatua za kisheria zichukue mkondo wake!!Sasa leo hii serikali yote imeingia madarakani kwa mipango sasa wewe utamwajibisha nani??wewe mwenyewe chinjachinja?Hapa nimpaka tupate serikali ya upinzani inayochukia rushwa siyo serikali ya CCM inayokumbatia rushwa!Serikali inasema inawafahamu wala rushwa lakini inawaogopa kuwawajibisha nikwasababu gani??Jibu unalo mwenyewe!

Naam, hapo umenena mkuu na ninakuunga mkono.
 
Kwanini rushwa hiyo ilianza kipindi chake JKN?
Ikumbukwe kuwa wakati wa ukoloni huko Tanganyika hakukuna na neno Rushwa.

yeye ndie muasisi wa Rushwa huko Tanzania.

ndio yale yale kusema usilo litenda na kutenda usilo linena.Hiyo ndio falsafa ya JKN
 
CCM sidhani kama wanazisikiliza hotuba za baba wa Taifa.
Kikwete aliwaambia wana CCM kuwa mkihongwa pokeeni rushwa, lakini msiwachague waliowahonga.
Hii ina maana gani?
Ni sawasawa na mzazi kumwambia mwanawe, ukitongozwa wee nenda tu gesti, lakini usivue chupi
 
Aliachia rushwa ikaota mizizi wakati wake. Makosa mengi yalifanya na watendaji bila kuchukuliwa hatua. Kama ilikuwa ni huruma yake basi ndiyo imetufikisha hapo. Anyway RIP Mwalimu.
 
hata aakili yako ni Barubaru, kwetu inamaanisha mtindio wa akili
Kwanini rushwa hiyo ilianza kipindi chake JKN?
Ikumbukwe kuwa wakati wa ukoloni huko Tanganyika hakukuna na neno Rushwa.

yeye ndie muasisi wa Rushwa huko Tanzania.

ndio yale yale kusema usilo litenda na kutenda usilo linena.Hiyo ndio falsafa ya JKN
 
Last edited by a moderator:
hata aakili yako ni Barubaru, kwetu inamaanisha mtindio wa akili

Hata tuliokuwa tumefanya kazi na JKN tulikuwa tunajuwa fika kuwa kuna wakti akili zilimzidia na alipelekwa kule Lushoto mapumziko.

Hivyo sioni ajabu hata mimi kama nitapelekwa kwetu Ibra, Oman

Kwanini rushwa hiyo ilianza kipindi chake JKN?
Ikumbukwe kuwa wakati wa ukoloni huko Tanganyika hakukuna na neno Rushwa.

yeye ndie muasisi wa Rushwa huko Tanzania.

ndio yale yale kusema usilo litenda na kutenda usilo linena.Hiyo ndio falsafa ya JKN

hebu tufafanulie ikiwezekana na mifano pia kwamba aliasisi vipi rushwa??
 
Kwanini rushwa hiyo ilianza kipindi chake JKN?
Ikumbukwe kuwa wakati wa ukoloni huko Tanganyika hakukuna na neno Rushwa.

yeye ndie muasisi wa Rushwa huko Tanzania.

ndio yale yale kusema usilo litenda na kutenda usilo linena.Hiyo ndio falsafa ya JKN
saa nyingine ni bora kukaa kimya!
 
Aliachia rushwa ikaota mizizi wakati wake. Makosa mengi yalifanya na watendaji bila kuchukuliwa hatua. Kama ilikuwa ni huruma yake basi ndiyo imetufikisha hapo. Anyway RIP Mwalimu.
another vapour!
 
Kwanini rushwa hiyo ilianza kipindi chake JKN?
Ikumbukwe kuwa wakati wa ukoloni huko Tanganyika hakukuna na neno Rushwa.

yeye ndie muasisi wa Rushwa huko Tanzania.

ndio yale yale kusema usilo litenda na kutenda usilo linena.Hiyo ndio falsafa ya JKN

Barubaru!
Kweli wewe ni mbuzi kasoro mkia unasemaje? Yaani Baba wa Taifa ndiye mwasisi wa rushwa? Kwa elimu yako ya kuvuka barabara Rushwa ilianza zamani za kale yapata zaidi ya miaka 4000 iliyopita. Hata Enzi za nabii Issa anayejulikana Kama Yesu kuna mwanfunzi wake aliyeitwa Yuda Iskariote alikula rushwa ya vipande thelathini akamsaliti. Akili ilipomrudia alivitupa na kujinyonga ! Kuwa mwangalifu hapa JF kuna Shule ya kutosha . Usirudie tena kuandika upuuzi. Rushwa ilikuwepo na itaendelea kuwepo mpaka Mwisho wa dunia. Kinachoweza kufanyka ni kupunguza lakini kufuta rushwa chini ya jua ni kazi kweli kweli ? Ni sawa na umasikini umaw
 
Soma mada na wala usikurupuke.

Nimebainisha kuwa katika Tanganyika , Rushwa imeanza wakati wa Uongozi wa Nyerere kabla ya hapo yaani wakti wa ukoloni hakukuwa na rushwa.
na rushwa ndani ya tanganyika ilianza wakti uchuni wa nchi hiyo ulipoanza kuporomoka kutokana na kuanzishwa bila kuwaandaa wananchi katika Azimio la Arusha, Vijiji vya ujamaa na vita vya Kagera na kuleta kukosekana kwa vitu madukani na kuleta Ulanguzi na mwendo wa kuruka ambayo ndio rushwa.

Na msamiati huo JKN aliutoa kwa mara ya kwanza katika ahadi kumi za mwana TANU.

Similar Discussions

Back
Top Bottom