Ndugu wanabodi kuna taarifa zimeanza kuzagaa mitaani kuwa Ndugu Bernad Membe yuko katika mikakati ya kuandaa barua za kutosha na hatimaye kugawa katika ngazi zote za Wilaya na hatimaye Mikoani...
Mhe.freeman Mbowe amesahau maneno yake haya aliyo yasema mwaka 2010. maneno yenyewe ni haya nanukuu. '''MABADILIKO YA KWELI KATIKA TAIFA HAYAWEZI KULETWA NA WATU WALEWALE, WA CHAMA KILE KILE...
Wednesday, November 21, 2012
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiagana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad,pamoja na...
Wabunge wabaini ufisadi katika umilikishaji hoteli za serikali
Mikataba yote iliyoingiwa kati ya mwekezaji wa Kampuni ya Hotels and Lodges (T) Ltd (Tahi) na iliyokuwa Tume ya Rais ya...
E Lowasa ni kiongozi mvumilivu na mwenye kustahili tuzo ya mwanasiasa mvumilivu kuliko hata mzee Marecela.Ni mvumilivu kutokana na siasa za maji taka ambazo zimeshamiri katika nchi yetu.Ni msikivu...
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, amemtaka Rais Jakaya Kikwete kutotumia muda mwingi kuvishambulia vyama vya siasa.
Badala yake Dk. Slaa amemtaka...
Na Mohammed Mhina, waJeshi la polisi
Wednesday, November 21, 2012ZANZIBAR JUMATANO NOVEMBA 21, 2012. Mahakama ya Wilaya ya Mwanakwerekwe mjini Zanzibar leo imepunguza masharti ya dhamana kwa...
Habari
Deus Bugaywa
Toleo la 268 14 Nov 2012
WAKATI wakazi wa Jiji la Mwanza, hususan, wakazi Manispaa mpya ya Ilemela wakiwa katika sintofahamu juu ya utata wa uchaguzi wa Meya wa Manispaa...
CHAMA cha NCCR-Mageuzi, kimewataka wananchi wasivae sare za Chama Cha Mapinduzi (CCM), kwa kuwa kitendo cha kuzivaa kinaonyesha ni kwa jinsi gani wanavyokiunga mkono.
Kauli hiyo ilitolewa...
............
Tangu mchakato huu wa kulipatia Taifa Katiba mpya uanze suala la Muungano limekuwa ndilo suala kuu linalotawala usanifu wa kisiasa wa Visiwani. Kweli tangu Muungano uasisiwe Aprili...
Ndugu zangu,
Wengi wetu tumekutana na hali ya kuwaona jogoo wawili wakipambana. Kawaida ya mpambano wa majogoo ni kuvutia watazamaji.
Na kila mtazamaji huwa na hulka ya kuchagua jogoo wake wa...
Waziri wa viwanda na biashara Dr.Abdallah Kigoda leo amevunja bodi ya shirika la viwango Tanzania(TBS)
Sababu kuu ni kuboresha utendaji wa shirika hilo ambao umedorora.
Source:ITV(Habari)
KWAKUA Dr Slaa na M4C wanazidi kuchanja mbuga nchi nzima kuineza CHADEMA kwa Kasi
NA KWAKUA kuna dalili Dr Slaa akaapishwa kuwa Rais wa awamu ya 5 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
NA KWAKUA...
Viongozi wa jumuiya ya uamsho wanaodaiwa kusababisha vitendo vya uvunjifu wa amani Visiwani zanzibar wamefikishwa kwa mara nyengine katika mahakama kuu ya vuga kwa ajili ya kutolewa ufafanuzi juu...
Jumanne, Novemba 20 2012 | Mwananchi
MWENYEKITI wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amesema Serikali iache usanii wa kukwepa kupeleka majina ya vigogo walioficha mabilioni katika Benki za Uswisi...
JAMANI, malawi wanataka watz tu pull out the new map inayoonyesha mpaka wa nchi hizi upande wa kaskazini unapitia katikati mwa ziwa. hivi malawi ni nani hata atulazimishe watz kufutilia mbali...
Leo ITV wamatangaza kesho saa 1 jioni Grtion Mkoba raisi wa CWT atahojiwa live hasa kuhusu mgomo uliobatirishwa na uanzishwaji was benki ya walimu.Tusikose.
Wadau,
Wakati akiwafurahisha wana CCM wenzake kwa road quantities kwa mbwembwe alikuwa akitumia neno UFADHILI WA BENKI YA DUNIA au UFADHILI WA BENKI YA ARIKA.
Utata nauona kwenye neno...
Zimbambwa+Tanganyika+Pemba=Tanzania....Mbunge mwingine nasikia aliwahi kusema barabara ya lami ijengwe ndani ya serengeti national park, ila eti wanyama wawekewe madaraja ya chini ya barabara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.