Hivi Mzee Rukra na John Malecela walikalia Upande gani ?


gobore

gobore

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2009
Messages
729
Points
195
gobore

gobore

JF-Expert Member
Joined Aug 17, 2009
729 195
Mzee Ruksa hakuwepo kwenye hiki kikao alittoa udhuru kuwa kuna shughuli zimembana, as for Malecela sijui kwakweli walimficha wapi
 
P

Precise Pangolin

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2012
Messages
12,497
Points
2,000
P

Precise Pangolin

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2012
12,497 2,000
Kuhusu Malecela tumulize mwanae ambaye kila kukicha anazunguka na mabebi wa ukweli ha! Ha! Ha! Ha! Ha!
 
Faru Kabula

Faru Kabula

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2009
Messages
11,668
Points
2,000
Faru Kabula

Faru Kabula

JF-Expert Member
Joined Mar 26, 2009
11,668 2,000
Alikuwa anabeba zege :becky:
 

Forum statistics

Threads 1,283,500
Members 493,720
Posts 30,791,897
Top