Sakata la mafuta: Mwakyembe amelonga

Sakata la mafuta: Mwakyembe amelonga

Miwatamu

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2012
Posts
1,450
Reaction score
492
Usiku huu kupitia vyombo vya habari, mhe, Mwakyembe ameamua kutoa ya moyoni baada ya kueleza ukweli kuwa uhaba wa mafuta uliojitokeza hapa nchini zilikuwa ni njama za maksudi. Ujasili wake huu wa kuiumbua serikali yetu pamwe na watendaji, Je, umetoa somo gani kwa wahusika?
 
huyu mzee tokea akoswekoswe kwenye ile sumu amekua jasiri sana.Mungu ambariki.!
 
je idawa ipo haja na wengine wawekewe tuwe na majasiri wengi?

mkuu Bamwanasha mtu yoyote ambaye amepitia misukosuko ya aina yoyote ile kwenye maisha anakua jasiri sana...naamini hata jk angepigiwa theluthi ya kura za nec Dodoma angekua makini sana...siku zote mwenye maadui wengi ndio anaefanikiwa.!
 
Last edited by a moderator:
Mi mida mingine simuelewi japo naukubari utendaji wake. Siku ile alisema wale askari waliopora mapipa ya mafuta kwa difenda pale bandarini atawashugurikia sababu gari waliyotumia linafahamika sasa ile issue imeishia wapi?
 
ccm ni kumalizana 2, siasa za kuropoka na kutojua mambo
Usiku huu kupitia vyombo
vya habari, mhe, Mwakyembe ameamua kutoa ya moyoni baada ya kueleza
ukweli kuwa uhaba wa mafuta uliojitokeza hapa nchini zilikuwa ni njama
za maksudi. Ujasili wake huu wa kuiumbua serikali yetu pamwe na
watendaji, Je, umetoa somo gani kwa wahusika?
 
hata mgao wa umeme tuliambiwa ne feki lakini bado mgao unaendelea, uhaba wa mafuta wanasema ni wa makusudi haitapita mwezi hali itajirudia, hivi wakati sokoine anafariki hakukuwa na technolojia ya human cloning? some people are not supposed to die.
 
Ule uhaba wa mafuta ulipangwa ili kuvuruga ule utaratibu wa kuagiza mafuta urudishwe kwa wafanyabiashara kama zamani!
 
kazi yetu kushangilia kila kitu, na kupeana vyeo vya ushujaa hata pasipostahili ndiyo maana wanasiasa wetu, wanajifunza jinsi gani? ya kutoa maneno ya kuwafurahisha wananchi na si jinsi gani ya kutatua kero zetu, anasema ilikuwa njama fafanua tuondolee maswali magumu vichwani mwetu, kama ilivyo sasa, wataje watu kwa majina vinginevyo hayo ni majungu na masufuria. wana jf tutoe ushujaa kwa shujaa aliyejipanga kweli, mf; niliona picha humu kwenye jf mh, Mwakyembe akiwa a nasimamia foleni ya abiria wanaoingia kwenye train, nini maaana yake, hawakujipanga, kiutekelezaji, viongozi hawakudeligate power na ndipo taifa letu linapopotea njia viongozi wanapenda sifa za kisiasa.
 
Back
Top Bottom