Tafakuri yangu.
Dini haiwezi kuwa nguzo ya binadamu kufaulu au kufanikiwa katika masomo ya Elimu dunia. . Elimu ya dini haina uhusiano wowote na Elimu dunia kila moja inajitegemea. Kwa...
Katibu Mkuu Mteule wa CCM Taifa, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana amesema kuwa itakuwa ngumu watanzania kumuelewa kwakuwa alishang'atuka uongozini.
Kinana ameyasema hayo hivi punde alipokuwa...
Tatizo lipo kwa wana ccm ambao wapo kilombero huo ndio ukweli. hivi wandugu kama uchaguzi umefanyika matokeo yame tangazwa. ushindi umeenda kwa ndugu Isaack Maliwa mgombea Wenyekiti wa kijiji cha...
Ndiyo wakuu !
Kwa taarifa nilizopata toka kwa Mawazo ni kuwa wamefanya mkutano mkubwa Hanang.
Huu ni muendelezo wa kuendelea kuwa elimisha Watanzania kuwa hapa ndipo ccm walitarajia...
Wakuu kuna mtu amenitonya kwa chama changu CCM, inajaribu kuweka dream team kuelekea 2015. Wanaotajwa sana ni hawa hapa chini ambao wanaonekana ni watu wasafi sana ndani ya CHAMA wasio na tuhuma...
Waziri Membe ameeleza kuwa nchi wahisani zilikuwa na Mpango wa kuanza kutoa msaada moja kwa moja kwenye sekta ambazo Serikali itakuwa inazainisha ikiwa na maana hawatakuwa wanapeleka fungu...
Leo nilijisikia vibaya nilipoona Dar es salaam na Zanzibar are categorized as unsafe places to live or visit , according to the economist hii imetokana na Religious riots and some radical clerics...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe. Mohammed Abuod Mohammed, akihutubia katika sherehe za kutimia miaka 42 ya Uhuru Oman,zilizofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Beach...
Great Thinkers,
Allergic to issues, obsessed with personality, and unwilling to confront the reality, most members of the mainstream media have focused their coverage of the CCM or rather CDM...
MADIWANI wa Chama cha Demokrasia na maendeleo(Chadema) wilayani Arusha waliogoma kumtambua Meya wa Jiji hilo, Gaudence Lyimo sasa wanadaiwa kuanza kumtambua kwa kupitia mlango wa nyuma...
Dr.W.P.Slaa atakuwa ziarani mkoa wa Kagera na anategemewa kukutana na wenyeviti na makatibu waliyopo kwenye mafunzo huko Karagwe kabla ya kuhutubia mikutano ya Hadhara wilani Karagwe na Kyerwa...
Zimbabwe: Mining Boss to Pay Millions Over Wikileaks Diamond Looting Claim
Harare A Zimbabwean mining executive has been ordered to pay a huge sum of damages to the country's spy chief...
Chama cha mapinduzi kimezidi kufurahishwa na Imani kubwa walio nayo Watanzania juu ya Ilani ya Kijani ambayo ndio msingi Mkuu wa utawala na Maendeleo ya Taifa la Tanzania. Kuendelea kustawisha...
Ikiwapendeza wadau;
Katika Mkutano Mkuu wa Vijana na ule Mkutano Mkuu wa CCM Taifa uliomalizika wiki iliyopita palizuka maneno mengi jambo ambalo liliwapelekea Makatibu wa Vijana wa Mikoa...
Leo nilijisikia vibaya nilipoona Dar es salaam na Zanzibar are categorized as unsafe places to live or visit , according to the economist hii imetokana na Religious riots and some radical clerics...
Chadema Itatwaa Dola Kama Itaendelea Kama Ilvofanya Arusha na Mwanza (Uwajibikaji, uwajibishaji)
Na: Fredrick Sanga
Baada ya kuangalia mfululizo wa matukio mbali mbali katika nchi hii, kisiasa...
Hatimaye mwenyekiti wa CHADEMA kata ya Kivule Bwana Buganda ameamua kujiuzulu au kuachia wadhifa huo kwa tuhuma nzito za kutafuna michango ya wanachama wa CHADEMA katika jimbo la Ukonga. Fedha...
Katika wimbo wake wa Adela msanii Mrisho Mpoto anamtaka ADELA KUNYOOSHA KIDOLE ILI AKUMBUSHWE JAMBO KAMA SIYO KUFUNDISHWA JAPO YEYE AMEPITA DARASANI. leo hii pia napenda kumwomba Prof, Sospeter's...
NIMECHOCHEWA kuandika makala
haya kufuatia mjadala ulijitokeza
kati yangu na rfk yangu anayeishi, kusoma na
kufundisha Uingereza.
Huyu bwana ni mwalimu wa
Hisababati na Fizikia, na ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.