Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wafuatao ni makada wa CCM ambao wameonja joto ya jiwe ya kuzomewa na wanainchi katika mikutano ya hadhara wanayoiitisha kufikia leo saa nane mchana ni hawa hapa Mh. Chacha Maliam Nyang`wine -...
3 Reactions
27 Replies
4K Views
Kadiri siku zinavyosonga kukaribia uchaguzi mkuu 2015 ndivyo watu wanavyojadili vyama na watu binafsi na kuacha mambo ya msingi. Nafikiri tungejikita kujadili ni sifa zipi mgombea awe nazo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Watanzania Na Wazanzibar kwa ujumla tunashindwa kujielewa. Matatizo ya nchi ambayo inakabiliwa hasa katika suala la utumiaji wa madaraka vibaya pamoja na utumiaji wa rasilimali za umma kutumiwa...
0 Reactions
0 Replies
902 Views
Ameandika katika Wall yake asubuhi hii kuwa; https://www.facebook.com/nape.mosesnnauye "...UMOJA NI USHINDI..." Pamoja tunaweza kufikia...
2 Reactions
49 Replies
3K Views
minister for Foreign Affairs and International Cooperation, Mr Bernard Membe By Mkinga Mkinga The Citizen Reporter Dar es Salaam. Tanzania is currently finalising a joint letter and terms of...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
  • Closed
Kwa anae elewa kuhusu chama cha mapinduzi (ccm).naomba anijuze kwa mtizamo wangu naona hicho chama hakituhusu watanganyika ni chama cha wazanzibar.kwa sababu wao ndio waliyo fanya mapinduzi na...
1 Reactions
3 Replies
998 Views
Kampuni ya Persisten Energy Partners imezinduliwa leo uku ukweli ukiwa umejificha nyuma ya Pazia ni Kampuni Mama ya E+Co ya Marekani iliyofilisika na kuja kuanzishwa upya Apakwetu Tanzania...
7 Reactions
25 Replies
4K Views
Inatia huruma ninaposoma watani zangu wanapoamua kujifariji kwa kutunga wenyewe uzushi na kuuamini kuwa uzushi waliotunga wenyewe ni sahihi. Wamefanana na timu inayojisifu kuwa eti pamoja na...
4 Reactions
72 Replies
6K Views
Taifa hili ni kama mti ambao unatakiwa uanze ukiwa mdogo kutokana na mbegu iliyopandwa na kukua kisha kutoa matawi ambayo yataleta matunda. Ni muhimu watu wa Taifa hili kufahamu Taifa hili sio...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
JESHI la Kujenga Taifa (JKT) kambi ya Mwalukoma iliyoko katika kijiji cha Bulamba, wilayani Bunda kwa kushirikiana na halmashauri ya Wilaya ya Bunda, wataanza kuwasaka wavuvi haramu, pamoja na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
KWAKUA Edward Ngoyai Lowasa ameonyesha UCHU MKUBWA wa kwenda Magogoni kwa kutumia kila mbinu ziwe safi au chafu licha ya kwamba mwaka 1995 Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere alimkataa kutokana na...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
MAADILI ya uongozi ni mwenendo au tabia njema inayokubalika na jamii katika kazi ya kuongoza. Kwa kuwa uongozi ni kazi ya kuwaelekeza watu kwenye kujiletea maendeleo yao kwa utashi wa uhuru, haki...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
" border="0"> Sijui ni kitu gani kinaendelea; hatushindanishi hoja tena, hatupingani kwa hoja tunaanza kushindanisha umati. Kwamba ni mwanasiasa gani anapata watu wengi na ni mwanasiasa gani...
27 Reactions
41 Replies
4K Views
MUHIMBILI NATIONAL HOSPITAL Cables: "MUHIMBILI" Postal Address: Telephones: 255-22-2151367-9 P.O...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ndugu Mbunge wangu, Ninaomba kujua kama unafahamu ni lini barabara ya Mbezi mwisho - Tegeta itakuwa ya LAMI. Tunaomba ufuatilie Serikalini ili tujue mipango ikoje. Barabara hii inasaidia sana...
0 Reactions
46 Replies
6K Views
  • Closed
Jana katika gazeti la Tanzania Daima , ukurasa wa mbele kabisa kulikuwa na kichwa cha habari ' Dk Slaa kinara wa urais 2015'. Habari hii, ilionyesha utafiti ambao ulifanywa na Jamii Forum...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Najiuliza hv mdudu accountability amepotelea wapi? Serikali ilishasema payday ni tar 23 lkn kila siku tunasikia sbb za mitaani juu ya ucheleweshwaji, mara epicol mara utumbo gani sijui, kwakweli...
0 Reactions
0 Replies
943 Views
Wednesday, November 28, 2012By Pastor Gordon Kalulunga. *Watatu wajeruhiwa na risasi, wanne wakamatwa... TAARIFA zilizotufikia hivi punde ni kwamba askari Polisi wanawatawanya wananchi wa...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Na Maggid Mjengwa, MWANAFALSAFA Benjamin Disraeli anasema; " Mamlaka zote msingi wake ni imani, tunawajibika katika kuyatekeleza yaliyo kwenye mamlaka zetu, na kwamba, mamlaka yatatokana...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Mwandishi Wetu Toleo la 269 21 Nov 2012 CHADEMA wataka mdahaloo Kinana, Dk. Slaa Zitto ashauri CCM inavyoweza kujisafisha Kikwete kupangua makatibu wakuu WAKATI mawaziri wakiingia katika...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…