Nawapongeza ccm kwa ujasiri walionao.na mbwembwe nyingi zisizo na maana.
ni aibu kwa watu wazima kushabikia maamuzi ya ccm kupasha kiporo moto kisha kukileta mezani na kuanza kukisifia eti...
Matatizo ya Watanzania si Ikulu kwa sasa wala uchaguzi wa 2015 kama makundi mengi yanavyo jaribu kujenga basement hivi sasa kwa uchaguzi ambao bado miaka zaidi ya miwili ili kuufikia.Viongozi wa...
Vedastus Mathayo Manyinyi ndiye aliyetumika kwa upande wa mkoa wa Mara kuendesha kampeni ya kumng'oa J.K kwenye nafasi ya uenyekiti, akiwa ametumwa na Edward Lowassa.
Mathayo alikuwa ameahidiwa...
TUESDAY, NOVEMBER 20, 2012
PRESIDENT KIKWETE TO OFFICIALLY LAUNCH MWALIMU NYERERE MEMORIAL SCHOLARSHIP FUND IN ARUSHA
President Jakaya Mrisho Kikwete is expected to officially launch the...
CCM kwa miaka huwa kinatamba kwamba ni chama "imara, chenye uongozi imara, katiba bora, sera nzuri".
LAKINI nikitazama kwa undani, sioni kama CCM ina vitu hivyo.
CCM ina mwenyekiti, na...
Aiseeeeeee babaangu nimefanikiwa kuudhulia special lecture ya rais Thambo Mbeki, nimepenya mpaka siti za mbele Nkuruma Hall kufatilia kongamano kwa makini nitawapa update zote wakuu nikitoka...
Gazeti la Mwananchi la tarehe 12 November, 2012 lilimnukuu Mwenyekiti wa CHADEMA, Mh Freeman Mbowe akisema, "Tumeanza mkakati wa kuhakikisha tunawafikia wananchi kila mahali. Tunataka kusikiliza...
Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Katiba, Jaji Agostino Ramadhani akizungumzia mwelekeo wa utoaji maoni kuhusu Katiba Mpya unavyoendelea Zanzibar amekaririwa na gazeti la ZANZIBAR LEO akisema...
Nchi ya Rwanda imekuwa ikidaiwa kuhusika sana na machafuko ya DRC na kuwa vyanzo mbalimbali (hasa vya Umoja wa Mataifa na nchi za Magharibi) vinaonesha kuwa Rwanda ndio inaunga mkono na kusapoti...
Yaliwahi kukemewa na Baba wa Taifa, akitetea kutovunjika kwa Mungano, alisema Wazanzibari mkiamua kujitenga hamtabaki salama, huko huko Zanzibar mtaanza kujiita sisi Waunguja na sisi ni Wapemba...
Nani alisema hakuna mpasuko ndani ya ccm? ni majuzi tu wametoka kuwambia watanzania kuwa sasa wamekuwa na mshikamano lakini wapi bhana! Kama kawaida ni usanii wa kuimba na kucheza, kisha kuchukua...
Wakati CCM ikiendesha vikao vyake sirini huko Mtwara kwa Kinana kuhutubia wanachama wavaa sare tu,CHADEMA inafanya mikutano ya hadhara. Taarifa rasmi nilizozipata toka Mtwara zinasema kuwa Kinana...
Watatu wafutiwa mashtaka kesi ya kutorosha wanyamahai
SOURCE MWANANCHI Posted Alhamisi,Novemba22 2012 saa 10:10 AM
Na Daniel Mjema, Moshi (email the author)
Posted Alhamisi,Novemba22...
Wana-JF,
Nipo hapa Njombe mjini mitaa ya Chaugingi karibu kabisa na Sangamela Bar (Talley)sasa nimekutana na wazee wawili wastaafu waliokuwa wanafuatilia mijadala inayoendelea bungeni. Jambo...
Msimamo wa kutopokea posho upo palepale, tufanye maamuz kwa maslah ya wananch na si wabunge, walimu, polisi, manesi nk wanapata wapi posho?. Kama suala ni sheria bunge ndo hutunga sheria hvyo pia...
Utangulizi
Ni mara nyingi utasikia viongozi wa kisiasa wakisema tuweke utaifa mbele. Je, hii ni sawa na kusema tuweke uzalendo mbele?. Si lengo langu kuelezea utofauti kati ya mambo haya...
Jaji Agostino Ramadhani
Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Katiba, Jaji Agostino Ramadhani akizungumzia mwelekeo wa utoaji maoni kuhusu Katiba Mpya unavyoendelea Zanzibar amekaririwa na gazeti la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.