Kampuni iliyofilisika New York - Marekani yafunguliwa leo Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kampuni iliyofilisika New York - Marekani yafunguliwa leo Tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TITAN, Oct 18, 2012.

 1. TITAN

  TITAN JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 309
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kampuni ya Persisten Energy Partners imezinduliwa leo uku ukweli ukiwa umejificha nyuma ya Pazia ni Kampuni Mama ya E+Co ya Marekani iliyofilisika na kuja kuanzishwa upya Apakwetu Tanzania.

  Source: Impact (Deals Data and Intelligence) Soma apo chini:-

  Millions of dollars in bad loans have driven E+Co, one of the pioneers of impact investing, effectively out of business, offering a cautionary tale for those seeking to provide financing for large numbers of small and growing businesses as a strategy to accelerate sustainable development in low-income countries.

  After months of difficult negotiations with its own lenders, E+Co as a nonprofit financial institution will largely cease operations and transfer what remains of an approximately $30 million loan portfolio to private-equity fund managers. The rump of E+Co's African investments, totaling about $5 million, will be managed by a for-profit spinoff of E+Co, to be called Persistent Energy Partners, with offices in Ghana and Tanzania as well as New York.

  My Take:
  Jamani nchi yetu imefanya shamba la Bibi inabidi wausika waangalie kwa makini aya makampuni yanayo kuja Tanzania isiwe wanakuja kutafuta Mitaji, Hasante wadau Mimi Nawakilisha tuwe makini
   
 2. u

  ugwenousangi Member

  #2
  Oct 19, 2012
  Joined: Sep 11, 2012
  Messages: 98
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  Hii ndio JAMIIFORUMS that I fell in Love with

  lakini JF ya siku hizi imekuwa chaka la siasa za kutukanana CHADEMA vs CCM
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Tanzania shamba la bibi
   
 4. Princess Tee

  Princess Tee Member

  #4
  Oct 19, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii ndo tanzania bana, free market wanakuja wanajikusanyia wanaenda nazo kwaoooo tunabaki na umasikini wetu, Neo colonialism at work!!
   
 5. Z

  Zimamoto JF-Expert Member

  #5
  Oct 19, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 464
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Watakuja na sifuri kuchukua chetu kwa kisingizio cha uwekezaji. Kama hujui uendako, basi kila njia itakufikisha. Hiyo ndiyo TZ.
   
 6. l

  lukme Senior Member

  #6
  Oct 19, 2012
  Joined: Apr 18, 2012
  Messages: 191
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  so awful. what a mess. whr are our leaders
   
 7. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #7
  Oct 19, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Leader gani?? JK au... Kama ni rais JK, kwa sasa yuko Oman anakula tende na kubadili blad...
   
 8. M

  Mgaya D.W JF-Expert Member

  #8
  Oct 19, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 966
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 60
  Wanakuja kujenga mtaji ili wakacompete na wenzao kule,tz tunachezewa kama matoy vile.natamani mwl arudi kwakweli.
   
 9. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #9
  Oct 19, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Our leaders are not knowledgeable because they do not read books or surf the internet!! Hawana hata habari kuwa hiyo kampuni walioisajili ifungue ofisi hapa filed chapter eleven in the USA!!
   
 10. G

  Gangi Longa Senior Member

  #10
  Oct 19, 2012
  Joined: Feb 5, 2010
  Messages: 160
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  lakini kama wanabadili jina ina maana wana-restructure company na kinachotakiwa hapa walipe tax na kadhalika sioni tatizo mimi hapo!
   
 11. t

  tenende JF-Expert Member

  #11
  Oct 19, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 6,560
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Ipo siku mali za kampuni hizi zitateketezwa kama za efatha sumbawanga au maskani za ccm zanzibar!
   
 12. m

  matawi JF-Expert Member

  #12
  Oct 19, 2012
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 2,055
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Inahitaji taarifa zaidi ili kuwezakutoa maoni maana lazima ujue sababu ya kufilisika. Afrika kwa mfano moja ya vitu vinavyohitajika sana katika uwekezaji ni mtaji na technolojia. Kama hiyo kampuni imeleta hivyo vitu bado inaweza fanya biashara. Kampuni ya tigo kwa mfano ilikuwa ya kwanza kuleta technologia ya mawasiliano ya mobile phone ambayo hata hivyo technologia hiyo iliitwa ANALOGY ambayo ilipitwa na wakati katika nchi nyingina na bado ikawa mkombozi kwa watanzania
   
 13. Manyi

  Manyi JF-Expert Member

  #13
  Oct 19, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 3,256
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kwa haraka haraka, ingawaje mleta mada huja dadavua vizuri, lakini inaonekana tayari kuna deal wanavizia na wameahidiwa!
   
 14. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #14
  Oct 19, 2012
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,529
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  •Spin-off: New shares are issued and distributed to shareholders on a pro-rate basis
  •
  - Shareholders are the same and each has same percentage interest in both companies

  - Spin-off company has new management and is separate
  company

  • Split-off: Shareholders are given shares in exchange for their shares in the parent company
   
 15. MJIMPYA

  MJIMPYA JF-Expert Member

  #15
  Oct 19, 2012
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Sioni tatizo kama watafuata taratibu zote na kuanzisha biashara hapa kwetu,

  Kufilisika ni jambo la kawaida katika biashara na si kwamba watu hawana akili ya kufanya hiyo biashara tena, pengine mazingira na ushindani wa US uliwafanya wafilisike.

  Tunahitaji sana wawekezaji tupate kazi, cha msingi ni kuhakikisha wanafuata taratibu zote na kulipa kodi basi.
   
 16. mpalu

  mpalu JF-Expert Member

  #16
  Oct 19, 2012
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 2,488
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  ulitaka iwe hivi mkuu kama sijakosea BLOOD
   
 17. TITAN

  TITAN JF-Expert Member

  #17
  Nov 29, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 309
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kampuni ya Persisten Energy Partners imezinduliwa leo uku ukweli ukiwa umejificha nyuma ya Pazia ni Kampuni Mama ya E+Co ya Marekani iliyofilisika na kuja kuanzishwa upya Apakwetu Tanzania.

  Source: Impact(Deals Data and Intelligence) Soma apo chini:-
  Millions of dollars in bad loans have driven E+Co, one of the pioneers of impact investing, effectively out of business, offering a cautionary tale for those seeking to provide financing for large numbers of small and growing businesses as a strategy to accelerate sustainable development in low-income countries.

  After months of difficult negotiations with its own lenders, E+Co as a nonprofit financial institution will largely cease operations and transfer what remains of an approximately $30 million loan portfolio to private-equity fund managers. The rump of E+Co’s African investments, totaling about $5 million, will be managed by a for-profit spinoff of E+Co, to be called Persistent Energy Partners, with offices in Ghana and Tanzania as well as New York.

  My Take: Jamani nchiyetu imefanya shamba la Bibi inabidi wausika waangalie kwa makini aya makampuni yanayo kuja Tanzania isiwe wanakuja kutafuta Mitaji, Hasante wadau Mimi Nawakilisha tuwe makini
   
 18. i

  iseesa JF-Expert Member

  #18
  Nov 29, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 944
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Tanzania ni "Shamba la bibi"
   
 19. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #19
  Nov 29, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Kama sio deposit taking institution wacha waje tu wakopeshe wananchi.

  Tatizo ni pale wakitaka kufungua taasisi ya kuchukua fedha za wananchi.
   
 20. j

  j joni Member

  #20
  Nov 29, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 90
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  The rump of E+Co's African investments, totaling about $5 million, will be managed by a for-profit spinoff of E+Co, to be called Persistent Energy Partners, with offices in Ghana and Tanzania as well as New York.[/QUOTE]

  Am not quite sure what is the exact meaning of the sentence above. Does it mean that it is a illegal company? cant give any comment before that is cleared.
   
Loading...