NAPE afafanua "UMOJA NI USHINDI" aomba kuungwa mkono...!

TandaleOne

TandaleOne

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2010
Messages
1,619
Points
1,250
TandaleOne

TandaleOne

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2010
1,619 1,250
Ameandika katika Wall yake asubuhi hii kuwa;
https://www.facebook.com/nape.mosesnnauye

"...UMOJA NI USHINDI..."

Pamoja tunaweza kufikia lengo., lakini kuhusu dhamira ya kweli hili lisibaki kwa viongozi pekee bali na kwa wanachama pia. Yapo mambo(nayo ni mengi) viongozi hawawezi kuyafanya bila msaada wa wanachama, kama wanachama nao watakuwa na dhamira ya kweli ya kukiona Chama chao kinasimama katika Asili ya kuundwa kwake basi mengi tunaweza kufanikiwa.

Katika wanachama wapo wanachama viongozi na wapo wanachama wasio viongozi, katika ngazi za uongozi wapo viongozi wakuu na viongozi wa kawaida, CCM inayo safu ya uongozi kuanzia mashina na hawa kwa pamoja kama wanachama na kama viongozi lazima nao wawajibike na wawe na dhamira thabiti.

Likija suala la utendaji unaolenga kukisaidia Chama kuondokana na changamoto zake za sasa na kupiga hatua zaidi za kimaendeleo, watu tumekuwa na tabia ya kurudi nyuma na kuona kuwa jambo hili ni la fulani ama anaweza kulifanya fulani na kusahau kuwa fulani ni nafsi ambayo nayo inatamani jambo hilo lifanywe na fulani, mwisho wa siku mambo tunayoyataka yafanyike hayafanyiki. Ndipo tunaporudi kwenye falsafa ya umoja katika upangaji na ufanikishaji wa mipango yetu kama Chama.

"..UMOJA NI USHINDI.."
 
Kiganyi

Kiganyi

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2012
Messages
1,242
Points
0
Age
33
Kiganyi

Kiganyi

JF-Expert Member
Joined Apr 30, 2012
1,242 0
Kuna tofauti gani kati ya Tandale01 na Nape?? Huwa najiuliza kila siku!
 
BONGOLALA

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2009
Messages
15,739
Points
2,000
BONGOLALA

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2009
15,739 2,000
tunataka mapinduzi ya kiuchumi,maendeleo sii propaganda zisizo na kichwa wala miguu!USHINDI dhidi ya nini?
 
Matola

Matola

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Messages
39,636
Points
2,000
Matola

Matola

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2010
39,636 2,000
Sisi inatuhusu nini kitu alichopost Facebook kushare na marafiki zake? Nape ni member hapa kama anajambo aje yeye mwenyewe kuanzisha thread na siyo kutujazia server unnecessary.
 
Tutor B

Tutor B

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Messages
8,921
Points
2,000
Tutor B

Tutor B

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2011
8,921 2,000
Huyu Nape anakurupuka tu, ni kama mpiga debe wa stand anayeamka asubuhi na kuanza kugonga bodi za magari ya watu akiambulia kurushiwa shilingi 200/= tu.
Anaposema umoja ni ushindi na umoja huo uanzie kwenye matawi - ni sawa lakini umoja kwa wana CCM ni kuanzisha Green Guard ndani ya mashina na ngazi zote ili yeyote atakayeipinga CCM basi akumbane na kipigi na ikibidi kuhatarisha uhai wake. Kama kweli CCM wangekuwa na nia ya dhati kushughulikia kero za wananchi, wananchi wamelalamikia mno watendaji wa serikali. Lakini kinachofanyika ni kuwahamisha watendaji wabovu na kuwapeleka sehemu nyingine.
Nani ajui madudu ya Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza kuwa utendaji wake ni mbovu hata alipokuwa Mbeya. Huo ni mfano tu lakini wako wengi na yeye akiwemo.
Mtaji wa CCM ni Ujinga wa watanzania - hivyo CCM hata siku moja haiwezi kusimamia elimu bora kwa watanzania.
Mtaji mwingine ni umaskini - hivyo CCM haiwezi kusimamia miradi ya kuwapatia ajira wananchi. Wakipata ajira hawatakubali kudanganywa kwa chumvi, kanga, T-shirt na makofia yenye rangi za maudhi.
 
Tutor B

Tutor B

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Messages
8,921
Points
2,000
Tutor B

Tutor B

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2011
8,921 2,000
Sisi inatuhusu nini kitu alichopost Facebook kushare na marafiki zake? Nape ni member hapa kama anajambo aje yeye mwenyewe kuanzisha thread na siyo kutujazia server unnecessary.
Nimeipenda hiyo mkuu!
 
mangikule

mangikule

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2012
Messages
3,435
Points
2,000
mangikule

mangikule

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2012
3,435 2,000
Ameandika katika Wall yake asubuhi hii kuwa;
https://www.facebook.com/nape.mosesnnauye

"...UMOJA NI USHINDI..."

Pamoja tunaweza kufikia lengo., lakini kuhusu dhamira ya kweli hili lisibaki kwa viongozi pekee bali na kwa wanachama pia. Yapo mambo(nayo ni mengi) viongozi hawawezi kuyafanya bila msaada wa wanachama, kama wanachama nao watakuwa na dhamira ya kweli ya kukiona Chama chao kinasimama katika Asili ya kuundwa kwake basi mengi tunaweza kufanikiwa.

Katika wanachama wapo wanachama viongozi na wapo wanachama wasio viongozi, katika ngazi za uongozi wapo viongozi wakuu na viongozi wa kawaida, CCM inayo safu ya uongozi kuanzia mashina na hawa kwa pamoja kama wanachama na kama viongozi lazima nao wawajibike na wawe na dhamira thabiti.

Likija suala la utendaji unaolenga kukisaidia Chama kuondokana na changamoto zake za sasa na kupiga hatua zaidi za kimaendeleo, watu tumekuwa na tabia ya kurudi nyuma na kuona kuwa jambo hili ni la fulani ama anaweza kulifanya fulani na kusahau kuwa fulani ni nafsi ambayo nayo inatamani jambo hilo lifanywe na fulani, mwisho wa siku mambo tunayoyataka yafanyike hayafanyiki. Ndipo tunaporudi kwenye falsafa ya umoja katika upangaji na ufanikishaji wa mipango yetu kama Chama.

"..UMOJA NI USHINDI.."
Ninamchukia kweli huyu MP@m3avu Nepi! Hebu ona sasa yuko na yule Jambazi wa Richmond na Jangili wa Ndovu wanacheka na kunywa chai pamoja eti wako pamoja!! Nepi umetengeneza umoja na majambazi na majangili wewe vile vile ni mmoja wao="birds of the same feather flock together" I hate plastic smiles, I hate hypocrisy damn it damn it and go to hell Nepi and your gang of poachers and thieves!
 
Tupe basi hayo majina ya hao majambazi na majangiri tuwajue.
 
TandaleOne

TandaleOne

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2010
Messages
1,619
Points
1,250
TandaleOne

TandaleOne

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2010
1,619 1,250
Sisi inatuhusu nini kitu alichopost Facebook kushare na marafiki zake? Nape ni member hapa kama anajambo aje yeye mwenyewe kuanzisha thread na siyo kutujazia server unnecessary.
Mbona wanapokopi ya chadema hamsemi.,juzi wamekopi note ya zito fb wakaipandisha hapa hamjacomplain...!
Jifunzeni kutafakari..!
 
POMPO

POMPO

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2011
Messages
6,691
Points
1,195
POMPO

POMPO

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2011
6,691 1,195
Mbona kaanika mipasho tu.. inaonekana ni dongo kwa mtu flani... Like chair..like Mwenezi...
 
mangikule

mangikule

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2012
Messages
3,435
Points
2,000
mangikule

mangikule

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2012
3,435 2,000
Tupe basi hayo majina ya hao majambazi na majangiri tuwajue.
Mtendaji mkuu wa Chama cha Wezi ni Jangili.
Mkuu wa kamati ya ulinzi na usalama ni Mwizi proved! unataka wangapi?
 
W. J. Malecela

W. J. Malecela

Verified Member
Joined
Mar 15, 2009
Messages
14,056
Points
2,000
W. J. Malecela

W. J. Malecela

Verified Member
Joined Mar 15, 2009
14,056 2,000
Ameandika katika Wall yake asubuhi hii kuwa;
https://www.facebook.com/nape.mosesnnauye

"...UMOJA NI USHINDI..."

Pamoja tunaweza kufikia lengo., lakini kuhusu dhamira ya kweli hili lisibaki kwa viongozi pekee bali na kwa wanachama pia. Yapo mambo(nayo ni mengi) viongozi hawawezi kuyafanya bila msaada wa wanachama, kama wanachama nao watakuwa na dhamira ya kweli ya kukiona Chama chao kinasimama katika Asili ya kuundwa kwake basi mengi tunaweza kufanikiwa.

Katika wanachama wapo wanachama viongozi na wapo wanachama wasio viongozi, katika ngazi za uongozi wapo viongozi wakuu na viongozi wa kawaida, CCM inayo safu ya uongozi kuanzia mashina na hawa kwa pamoja kama wanachama na kama viongozi lazima nao wawajibike na wawe na dhamira thabiti.

Likija suala la utendaji unaolenga kukisaidia Chama kuondokana na changamoto zake za sasa na kupiga hatua zaidi za kimaendeleo, watu tumekuwa na tabia ya kurudi nyuma na kuona kuwa jambo hili ni la fulani ama anaweza kulifanya fulani na kusahau kuwa fulani ni nafsi ambayo nayo inatamani jambo hilo lifanywe na fulani, mwisho wa siku mambo tunayoyataka yafanyike hayafanyiki. Ndipo tunaporudi kwenye falsafa ya umoja katika upangaji na ufanikishaji wa mipango yetu kama Chama.

"..UMOJA NI USHINDI.."
- UMOJA NI NGUVU NA UMOJA NI USHINDI, KIDUMU CCM CHAMA TAWALA!!, SAAFI SANA CHAMA KUONGOZWA NA VIJANA WADOGO NA WASOMI WALIOBOBEA KAMA MH. NAPE, NA NI MUHIMU SANA CHAMA KUONGOZWA NA VIJANA TOKA SEHEMU MBALI MBALI ZA TAIFA, NI MFANO WA KUIGWA NA WENGINE!!

- HAIWEZEKANI VIONGOZI WOTE WA JUU WA CHAMA MPAKA MWEKA HAZINA KUWA LAZIMA WATOKEEE MKOA MMOJA TU, HIZO SIO SIASA ZA KISASA ZA INCLUSSIVENESS, CCM SASA UMOJA MBELE BILA UMOJA HATUWEZI, ONA TOKA TUSHIKAMANE NA KUWA KITU KIMOJA NDUGU ZETU WANAHAHA KILA KONA KUJARIBU KUTAFUTA HOJA HAWANA, SASA WAMEINGILIA MPAKA MAJAJI KWAMBA SASA WANATAKA TUBADILI KATIBA WAO NDIO WACHAGUE MAJAJI, NDIO MAANA YA UMOJA HUU NDUGU ZANGU WA CCM!

- SASA TUSHUKE CHINI KWENYE MASHINA NA MATAWI, TUIMARISHE CHAMA AFRICA HAKUNA KAMA CCM, NDIO MAANA VYMA VYOTE VIKONGWE VINAKUJA KUPARA ELIMU, NDIO MAANA KWA KAULI MOJA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI ZIMEAMUA KWAMBA CHUO CHA KIVUKONI KIWE CHUO MAALUM KWA ELIMU YA SIASA EAST AFRICA, VIONGOZI WA SASA WAPYA SO FAR KAZI NZURI SANA NA IWE HIVYO HIVYO TU,

- KIDUMU CHAMA TAWALA! KIDUMU CCM! WAKIMWAGA MBOGA! TUNAWAPA UGALI! WAKILETA ZA KULETA! TUNAWAPA ZA USO! WAKILETA HOJA TUTAWAJIBU KWA HOJA! LAKINI WAKIJA NA VIROJA! WATAPEWA VIROJA!!

NAPE FOR PRESIDENT 2015!!!

LE Mutuz!!
 
Sektarieti hii ni nzuri lakini? nina swali moja tu! Kikwete muislamu! Dr Shein Muislamu!mangula Mkristo! Kinana muislamu! Mwigulu Nchemba muislamu! Seif Khatibu Muislamu! Nape Nnauye Muislamu! Asha Rose Migiro Muislamu! Zakhia meghji Muislamu! katika viongozi tisa wa juu wa CCM nane wote ni waislamu na mkristo ni mmoja tu! sura hii sio picha njema kwa nchi ambayo inakabiliwa na udini na propoganda chafu za ubaguzi wa kiimani kama Tanzania ya sasa!
 
P

Precise Pangolin

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2012
Messages
12,497
Points
2,000
P

Precise Pangolin

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2012
12,497 2,000
Mbona wanapokopi ya chadema hamsemi.,juzi wamekopi note ya zito fb wakaipandisha hapa hamjacomplain...!
Jifunzeni kutafakari..!
Peleka thread zako za Gongo huko
 
Barubaru

Barubaru

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2009
Messages
7,160
Points
0
Barubaru

Barubaru

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2009
7,160 0
Kila kitu ni NIA na kufuatilia utekelezaji wa malengo yako.Kaza buti utafikia malengo yako.
 
B

Baba Hellen

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2012
Messages
764
Points
170
B

Baba Hellen

JF-Expert Member
Joined Jul 2, 2012
764 170
Nape na wimbo wake wa kuimbia maiti ifufuke
 
W

wikolo

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Messages
801
Points
195
W

wikolo

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2010
801 195
Sektarieti hii ni nzuri lakini? nina swali moja tu! Kikwete muislamu! Dr Shein Muislamu!mangula Mkristo! Kinana muislamu! Mwigulu Nchemba muislamu! Seif Khatibu Muislamu! Nape Nnauye Muislamu! Asha Rose Migiro Muislamu! Zakhia meghji Muislamu! katika viongozi tisa wa juu wa CCM nane wote ni waislamu na mkristo ni mmoja tu! sura hii sio picha njema kwa nchi ambayo inakabiliwa na udini na propoganda chafu za ubaguzi wa kiimani kama Tanzania ya sasa!
Duh!? Mi nilikuwa hata sijaliona hilo!
 
Matola

Matola

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Messages
39,636
Points
2,000
Matola

Matola

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2010
39,636 2,000
Duh!? Mi nilikuwa hata sijaliona hilo!
Open you're eyes now, hata huyu Le Mutus Baba yake anaitwa Jumanne alishasilimishwa siku nyingi tu kwa tamaa ya Urais.
 
Forum statistics

Threads 1,283,904
Members 493,869
Posts 30,805,593
Top