Makanisa, Misikiti na Mashule Changamkieni haraka hela za Lowassa kabla ya 2015

G

galiya

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2012
Messages
302
Points
0
Age
43
G

galiya

JF-Expert Member
Joined Oct 29, 2012
302 0
KWAKUA Edward Ngoyai Lowasa ameonyesha UCHU MKUBWA wa kwenda Magogoni kwa kutumia kila mbinu ziwe safi au chafu licha ya kwamba mwaka 1995 Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere alimkataa kutokana na Utajiri mkubwa wa kifisadi aliokua nao licha ya umri mdogo tu wa miaka 42

NA KWAKUA Lowasa ameishatumia hela nyingi za kifisadi kuhonga wajumbe wengi waliofanikisha kujaza watu wake kwenye chaguzi zilizoisha za NEC Wilayani na kwavile alitumia pia hela nyingi hadi kujaza pia watu wake kwenye jumuia tatu za CCM ie Wazazi, Wanawake na Vijana

NA KWAKUA PIA alitumia mamilioni kibao kuhakikisha kwamba Mh Membe anashindwa kufurukura kwenye TOP TEN YA NEC ili kumpunguzia Lowasa kiwingu cha kubeba bendera ya CCM 2015 ingawa Lowasa aliangukia pua katika jitihada hizo

NA KWAKUA Lowasa ameona njia pekee itakayomfanya awezekukubalika ni kutumia UFUKARA WA WATANZANIA na kuendesha HARAMBEE nchi nzima huku akihakikisha habagui kwani kwakua yeye ni mkristo akisaidia makanisa tu atakosa kura za waislam hivyo akaamua kusaidia ujenzi wa misikiti mbalimbali. Lowasa pia anajua kwamba ili kukubalika ni bora asaidia ujenzi wa shule kwani hilo ni kundi muhimu. Mbinu hii pia ilikua ikitumiwa sana na Rais wa zamani wa Kenya Mh D.A . Moi ambae alikua akipenda sana kwenda kwenye mashule na kutoa michango ya mara kwa mara na kusafiri na viongozi wa wanafunzi kwenda nchi za nje hii yote ilikua ni janja yake ili akubalike na wanafunzi.

HIVYO BASI RAI yangu kwa makanisa, misikiti na mashule ni kwamba mchangamkie FASTA hizo hela kwani mwisho wake ni 2015. NEC ikimtosa huyu bwana hamtamuona tena akiendesha harambee hizi!

Great Thinkers, imekaaje hii?
 
THE BIG SHOW

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Messages
13,992
Points
2,000
THE BIG SHOW

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2012
13,992 2,000
Sawa,tumeskia,,ila hakuna mwenye mpango na mafisadi wa aina yoyote ile

vip umetumwa na membe??
 
KOMBESANA

KOMBESANA

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2009
Messages
905
Points
225
KOMBESANA

KOMBESANA

JF-Expert Member
Joined Jun 18, 2009
905 225
mleta muzi nakusihi ukaikamilishe hii issue imekaa kiuzushi kuliko kimantiki.Hata hivyo hii sanaa uliyoleta imesaidia kukubainisha kuwa umekurupuka au hapo walipokupa desa kuna maandishi hujaweza soma vizuri pengine hiyo miandiko ya watu wengine.
 
Biznocrats

Biznocrats

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2011
Messages
452
Points
170
Biznocrats

Biznocrats

JF-Expert Member
Joined Apr 5, 2011
452 170
KWAKUA Edward Ngoyai Lowasa ameonyesha UCHU MKUBWA wa kwenda Magogoni kwa kutumia kila mbinu ziwe safi au chafu licha ya kwamba mwaka 1995 Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere alimkataa kutokana na Utajiri mkubwa wa kifisadi aliokua nao licha ya umri mdogo tu wa miaka 42

NA KWAKUA Lowasa ameishatumia hela nyingi za kifisadi kuhonga wajumbe wengi waliofanikisha kujaza watu wake kwenye chaguzi zilizoisha za NEC Wilayani na kwavile alitumia pia hela nyingi hadi kujaza pia watu wake kwenye jumuia tatu za CCM ie Wazazi, Wanawake na Vijana

NA KWAKUA PIA alitumia mamilioni kibao kuhakikisha kwamba Mh Membe anashindwa kufurukura kwenye TOP TEN YA NEC ili kumpunguzia Lowasa kiwingu cha kubeba bendera ya CCM 2015 ingawa Lowasa aliangukia pua katika jitihada hizo

NA KWAKUA Lowasa ameona njia pekee itakayomfanya awezekukubalika ni kutumia UFUKARA WA WATANZANIA na kuendesha HARAMBEE nchi nzima huku akihakikisha habagui kwani kwakua yeye ni mkristo akisaidia makanisa tu atakosa kura za waislam hivyo akaamua kusaidia ujenzi wa misikiti mbalimbali. Lowasa pia anajua kwamba ili kukubalika ni bora asaidia ujenzi wa shule kwani hilo ni kundi muhimu. Mbinu hii pia ilikua ikitumiwa sana na Rais wa zamani wa Kenya Mh D.A . Moi ambae alikua akipenda sana kwenda kwenye mashule na kutoa michango ya mara kwa mara na kusafiri na viongozi wa wanafunzi kwenda nchi za nje hii yote ilikua ni janja yake ili akubalike na wanafunzi.

HIVYO BASI RAI yangu kwa makanisa, misikiti na mashule ni kwamba mchangamkie FASTA hizo hela kwani mwisho wake ni 2015. NEC ikimtosa huyu bwana hamtamuona tena akiendesha harambee hizi!

Great Thinkers, imekaaje hii?
Huo utajiri aliojilimbikizia wakati huo si aliulimbikiza akiwa kada wa CCM? Ina maana ukiwa kada wa CCM basi unaruhusiwa kuiba mali ya Wananchi utakavyo ili mradi huna mpango wa kwenda Ikulu? Kumbe ukiwa ndani ya CCM basi iba utakavyo, hakuna chombo cha dola kitakachokugusa ili mradi hutofautiani na malengo ya kisiasa ya mkuu wa nchi!!! Tufwile!!!!!

Kama nafasi zote nyeti za Chama zimeshikiliwa na watu wa mtu mmoja (EL) ndani ya chama sasa hicho ni chama cha Siasa au genge la mafia? Sasa CCM kina uhalali gani wa kuwa chama cha siasa kama viongozi wake wengi wakuu wamenunuliwa ili kutimiza azma ya mtu mmoja? Kwa hali hii ndani ya hiki chama basi ili uendelee kuwa mwanachama basi lazima uwe na kichwa cha mwendawazimu.

Watanzania tuinusuru nchi yetu na chama hiki hatari kinachoruhusu wanachama wake kuiba watakavyo ili mradi hawana mpango wa kwenda Ikulu na kinachonunuliwa na watu wachache kwa ajili ya manufaa ya watu hao wachache badala ya kuangalia maslahi ya Taifa.

Kutokana na uozo huu ndani ya hiki chama, kwa kweli hawafai hata kuongoza kundi dogo la kondoo. Shime Watanzania na hasa vijana. Ifikapo 2015 hakikisheni kwamba CCM hakipati hata kura moja ili tukitose chama hiki kinachotutafuna siku nenda siku rudi na kukichimbia kaburi la milele.
 
G

galiya

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2012
Messages
302
Points
0
Age
43
G

galiya

JF-Expert Member
Joined Oct 29, 2012
302 0
BIZNOCRATZ
Mbona hujasema tusiipigie kula ccm na tupigie chama kipi mkuu?
 
Father of All

Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Messages
3,090
Points
1,225
Father of All

Father of All

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2012
3,090 1,225
Kwa wenye maadili ya kiroho, hawana haja ya kuchangamkia pesa chafu hata kama pesa ni tamu. Lowassa amepigwa laana ya kuota urais ili ajifilisi mwenyewe. Mungu azidi kumpofusha amwage kila senti aliyotuibia.
 
G

galiya

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2012
Messages
302
Points
0
Age
43
G

galiya

JF-Expert Member
Joined Oct 29, 2012
302 0
Ffather of all

umeniacha hoiiii
 
K

kimeloki

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Messages
2,316
Points
2,000
K

kimeloki

JF-Expert Member
Joined Jul 9, 2012
2,316 2,000
mimi siyo mtabiri ila kuna uwezekano mkubwa sana wa lowasa kuingia magogoni endapo tutaendelea kumpa coverage mbaya au nzuri
 
Ukana Shilungo

Ukana Shilungo

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2012
Messages
1,679
Points
2,000
Age
43
Ukana Shilungo

Ukana Shilungo

JF-Expert Member
Joined Apr 17, 2012
1,679 2,000
mleta muzi nakusihi ukaikamilishe hii issue imekaa kiuzushi kuliko kimantiki.Hata hivyo hii sanaa uliyoleta imesaidia kukubainisha kuwa umekurupuka au hapo walipokupa desa kuna maandishi hujaweza soma vizuri pengine hiyo miandiko ya watu wengine.
Nenda kwenye issue gamba we! unavyomwazia mleta uzi,ndivyo sivyo alivyo,bali ndivyo ulivyo wewe,ulizoea kupewqa madesa,au kupewa idea,ndio maana huamini kwamba mleta uzi kaleta uzi kwa akili na uwezo wake mwenyewe.Nyie ndio mliojaza kinyesi na makamasi kichwani badala ya ubongo,aina ya William malechela.
 
Biznocrats

Biznocrats

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2011
Messages
452
Points
170
Biznocrats

Biznocrats

JF-Expert Member
Joined Apr 5, 2011
452 170
BIZNOCRATZ
Mbona hujasema tusiipigie kula ccm na tupigie chama kipi mkuu?
Nataka Watanzania waelewe kwanza umuhimu wa nchi yetu kutoka kwenye makucha ya hatari ya CCM. Hili ndo jambo la msingi kwa sasa na nataka nielekeze nguvu zangu kwenye hilo kwa wakati huu. Sasa naamini kwamba wakielewa vyema kwa nini CCM haifai hata kidogo kupewa jukumu la kuongoza nchi yetu, basi watatumia elimu hiyo kuchanganua vyama na wagombea wao watakaojitokeza kugombea urais mwaka 2015 na kufanya uamuzi sahihi kwa maendeleo ya Taifa letu.
 
M

Maamuma

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2008
Messages
856
Points
225
M

Maamuma

JF-Expert Member
Joined Dec 22, 2008
856 225
Wingi wa shule ni shule. Hakuna MASHULE.
Napenda Kiswahili!
 
G

galiya

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2012
Messages
302
Points
0
Age
43
G

galiya

JF-Expert Member
Joined Oct 29, 2012
302 0
BIZNOCRATZ
Iwapo itaonekana hata kwenye hayo mavyama mengine ya upinzani mambo ni yaleyale na watanzania ni walewale, tufanyeje Mkuu?
 
G

galiya

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2012
Messages
302
Points
0
Age
43
G

galiya

JF-Expert Member
Joined Oct 29, 2012
302 0
KIMELOKI
Hata miskitini na makanisan SHETAN mara nyingine hutajwa kuliko MUNGU
 
F

Fursa Pesa

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2012
Messages
2,621
Points
2,000
F

Fursa Pesa

JF-Expert Member
Joined May 30, 2012
2,621 2,000
KWAKUA Edward Ngoyai Lowasa ameonyesha UCHU MKUBWA wa kwenda Magogoni kwa kutumia kila mbinu ziwe safi au chafu licha ya kwamba mwaka 1995 Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere alimkataa kutokana na Utajiri mkubwa wa kifisadi aliokua nao licha ya umri mdogo tu wa miaka 42

NA KWAKUA Lowasa ameishatumia hela nyingi za kifisadi kuhonga wajumbe wengi waliofanikisha kujaza watu wake kwenye chaguzi zilizoisha za NEC Wilayani na kwavile alitumia pia hela nyingi hadi kujaza pia watu wake kwenye jumuia tatu za CCM ie Wazazi, Wanawake na Vijana

NA KWAKUA PIA alitumia mamilioni kibao kuhakikisha kwamba Mh Membe anashindwa kufurukura kwenye TOP TEN YA NEC ili kumpunguzia Lowasa kiwingu cha kubeba bendera ya CCM 2015 ingawa Lowasa aliangukia pua katika jitihada hizo

NA KWAKUA Lowasa ameona njia pekee itakayomfanya awezekukubalika ni kutumia UFUKARA WA WATANZANIA na kuendesha HARAMBEE nchi nzima huku akihakikisha habagui kwani kwakua yeye ni mkristo akisaidia makanisa tu atakosa kura za waislam hivyo akaamua kusaidia ujenzi wa misikiti mbalimbali. Lowasa pia anajua kwamba ili kukubalika ni bora asaidia ujenzi wa shule kwani hilo ni kundi muhimu. Mbinu hii pia ilikua ikitumiwa sana na Rais wa zamani wa Kenya Mh D.A . Moi ambae alikua akipenda sana kwenda kwenye mashule na kutoa michango ya mara kwa mara na kusafiri na viongozi wa wanafunzi kwenda nchi za nje hii yote ilikua ni janja yake ili akubalike na wanafunzi.

HIVYO BASI RAI yangu kwa makanisa, misikiti na mashule ni kwamba mchangamkie FASTA hizo hela kwani mwisho wake ni 2015. NEC ikimtosa huyu bwana hamtamuona tena akiendesha harambee hizi!

Great Thinkers, imekaaje hii?
Hayo yote ya nini wewe? si bora ukajishughulisha na kama ukichoka soma vitabu kwa wingi waweza kupata kitu kikubwa cha maana katika maisha yako kuliko kuhisihisi vitu visivyo na maana yoyote.Ila umejitahidi kuwasilisha kama uko bungeni vile.
 
L

lufungulo k

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2012
Messages
1,752
Points
2,000
L

lufungulo k

JF-Expert Member
Joined Apr 19, 2012
1,752 2,000
jemedari mkuu, mpakaziwa kila lililobaya , wakishinda ni wa EL hao, amejaza wajumbe wote wakwake jk atapigiwa kura za maruwani mmh kashinda kwa kishindo ,aaaaah mipango ya EL haikukaa vizuri, MEMBE atakiona leo eeeeh kashinda oooooh , kaokolewa na familia ya jk, jamani mnyonge mnyongeni lkn haki yake mpeni. BEN MKAPA anasema tuache kuishi kwa hisia.lkn kama unamtu wako unayeona anafaa nafasi ya urais na EL, unaona ni kikwazo kwa mtu wako ,,basi muogope Mungu usipake watu matope .kwa faida yako MWISHO EL, najua huwezi kukata tamaa ya malengo yako, na kuacha kusaidia jamii kama unaweza jitoe zaidi na zaidi jamii yenye kuhitaji ni kubwa mno.
 
Erythrocyte

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Messages
59,079
Points
2,000
Erythrocyte

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2012
59,079 2,000
mleta muzi nakusihi ukaikamilishe hii issue imekaa kiuzushi kuliko kimantiki.Hata hivyo hii sanaa uliyoleta imesaidia kukubainisha kuwa umekurupuka au hapo walipokupa desa kuna maandishi hujaweza soma vizuri pengine hiyo miandiko ya watu wengine.
How ? Wakati ni wazi kuwa Lowasa anagawa hela kwa Target ya 2015 ! Wacha watu wazile hela zao , Huyu fisadi ana hizo hela za wizi siku nyingi ( rejea kauli ya Nyerere ) , the question is , why anazigawa this time ? Fungua kichwa chako .
 
G

galiya

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2012
Messages
302
Points
0
Age
43
G

galiya

JF-Expert Member
Joined Oct 29, 2012
302 0
ERY
Kaka bora umenisaidia kufafanua maana wengine vichwa vyao ni vigumu sana kuelewa hata jambo dogo. Jiulizeni MBONA LAIGWANAN HAKUWA ANAFANYA HARAMBEE HIZI KABLA YA 2010???? WHY NOW?
 
G

galiya

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2012
Messages
302
Points
0
Age
43
G

galiya

JF-Expert Member
Joined Oct 29, 2012
302 0
LUFUNGULO

LOWASA anatumia hela za wizi alizowaibia watanzania hivyo kwakua hela ni za watanzania ndo maana nawahimiza kua wazichangamkie FASTA. NI HELA ZAO!
 
G

galiya

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2012
Messages
302
Points
0
Age
43
G

galiya

JF-Expert Member
Joined Oct 29, 2012
302 0
ROBERT
Hamna mambo ya kuhisihisi hapa. Hapa kila kitu kipo wazi ie LOWASA NI FISADI NA HELA ANAZOGAWA NI MALI YA WATANZANIA
 
Forum statistics

Threads 1,285,940
Members 494,834
Posts 30,879,791
Top