''A nation become itself''

''A nation become itself''

Shayu

Platinum Member
Joined
May 24, 2011
Posts
608
Reaction score
1,658
Taifa hili ni kama mti ambao unatakiwa uanze ukiwa mdogo kutokana na mbegu iliyopandwa na kukua kisha kutoa matawi ambayo yataleta matunda. Ni muhimu watu wa Taifa hili kufahamu Taifa hili sio tawi la nchi yeyote ile. Taifa hili ni mche ambao lazima ukue ili utoe matawi na matunda. Mti huu lazima ukue kutoka ndani yake wenyewe na upeleleke matawi yake sehemu nyingine. Nazungumzia hapa the ability of our country to grow and to spread influence over all the world. Hatutaweza kukua pasipo kuwa na ''self preservation''. Here two things are related self preservation and growth. There is no growth without self preservation. A nation become itself and be willing to grow. What i am talking here is the ''induviduality'' like a man this is the soul of any Nation. ''A nation become itself '' Kwa kifupi ninachoongea hapa ni kujitambua kwetu kama Taifa. Kama Taifa hatutajitambua. Na kujitambua ni true liberation. We are weak because we allow influence from outside na kuzuia ukuaji wetu kutoka ndani.
 
Back
Top Bottom