Hivi prompt salary payment ni hisani? au ulevi wa posho zenu?


M

Mjenda Chilo

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2011
Messages
1,425
Likes
65
Points
145
M

Mjenda Chilo

JF-Expert Member
Joined Jul 20, 2011
1,425 65 145
Najiuliza hv mdudu accountability amepotelea wapi? Serikali ilishasema payday ni tar 23 lkn kila siku tunasikia sbb za mitaani juu ya ucheleweshwaji, mara epicol mara utumbo gani sijui, kwakweli mnatia kinyaa. sisi hatuli rushwa wala hatuna posho ndo nini kila mwezi kuchelewesha kaujira ketu? poleni civil servants!
 

Forum statistics

Threads 1,235,508
Members 474,633
Posts 29,225,231