Nape anaposema chama kimedhamiria

Seny Rutta

Member
Nov 8, 2011
6
0
Mimi nilipatwa na wasiwasi sana baada ya kusikia na kusoma habari ya nape akiwa arusha jamani watanzania mtadanywa mpaka lini na wanatuona kama watu tusiojua mambo yanavoenda hali ni mbaya sana ya maisha ya watu naamini siku mungu atakapoamua kuadhibu viongozi wa ccm mambo yote yatawekwa hadharani sijui watakimbilia wapi maana mimi siamini miaka yote hiyo tumewapa majukumu ya kujenga uchumi bora na maisha yetu yawe na nafuu leo anasema mbele za wanachama wa ccm wanaomezea mate viposho vya vikao kwamba chama kimeamua kutekeleza ahadi zake.

Sasa watanzania serikali iliyo makini mfano kenya wanazidi kuchanja mbuja angalia hata miradi ya barabara ushangaa kwamba kenya hawana hata aina moja ya madini sisi kila kitu kipo jamani hii nchi imelaaniwa na nani hapana nadhani viongozi ndio waliolaaniwa hasa awamu hii ya nne madudu kabisa wananeemesha familia zao tu ipo siku watazikimbia mali zao yaani .
 
Top Bottom