G. Lema ashangiliwa kwa shangwe na waliotoka katika mkutano wa CCM

SOKON 1

JF-Expert Member
Dec 28, 2010
1,134
331
Aliyekuwa mbunge wa Arusha G. Lema leo jioni wakati mkutano wa CCM ulipoisha jijini Arusha watu wakitoka uwanjani walikutana na gari la msheshimiwa huo akitoa ishara ya people power na washabiki wake walio ndani ya mjumuiko huo wa CCM wakimuunga mkono huku barabara zima ikilipuka kwa shangwe nje ya ya geti kuu la kutukea uwanjani.



Muda mfipi polisi mmoja anayefaamika kwa sura aliovaa jezi ya CCM akaanza vurungu za kutupiana ngumi na mwanachadema mmoja na kukutana na kipigo kutoka kwa wanachadema katika eneo la nje wa uwanja.
 
Mbona umeandika habari as if kila mtu anajua Lema yuko wapi sasa? Hiyo ilikuwa wapi?
 
Aisee magamba kwishney,yaani wanatumia mpaka polisi wavae nguo zao wakajaze mkutano?kamanda lema yupo honeymoon soon atarudi ulingoni.
 
Yametokea Arusha, leo Gambaz walimleta Kinana ajaribu kuokoteza uhai wa ccm, lkn matokeo ndiyo hayo.
 
Aliyekuwa mbunge wa Arusha G. Lema leo jioni wakati mkutano wa ccm ulipoisha watu wakitoka uwanjani walikutana na gari la msheshimiwa huo akitoa ishara ya people power na washabik wake walio ndani ya mjumuiko huo wa CCM wakimuunga mkono uku barabara zima ikilipuka kwa shangwe nje ya ya geti kuu la kutukea uwanjani.


muda mfipi polisi mmoja anayefaamika kwa sura aliova jezi ya CCM akaanza vurungu za kutupiana ngumi na mwanachadema mmoja na kukutana na kipigo kutoka kwa wanachadema


Kojoa ulale!!

NB. Angalia kujikojolea.
 
Aisee magamba kwishney,yaani wanatumia mpaka polisi wavae nguo zao wakajaze mkutano?kamanda lema yupo honeymoon soon atarudi ulingoni.

umesahau yule polisi aliyetoka moro kwenda dom kugombea UNEC?
 
Yametokea Arusha, leo Gambaz walimleta Kinana ajaribu kuokoteza uhai wa ccm, lkn matokeo ndiyo hayo.
Duh, Ndugu yangu Paka jamaa wanatia huruma kweli, hivi si wangembeba na Le Mutuz ili apate hata kauongo kadogo ka kutuletea hapa?
 
ccm wanamhofia Lema pekee kwa sababu kwanza ana ushawishi mkubwa, halafu mkweli asiyeficha uongo, na asiyeogopa kufa wala kwenda jela huyu ndiye Lema kiboko ya ccm.
 
Daaaah kama nk hivyo watakuwa wamesoma plate number tayari maana walifikiri huko wakija watu watageuka!!!!
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom