Dr. Slaa na Zitto Kabwe Wote Sawa tu Ila Tusubiri Wakati Ukifika


J

jnuswe

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Messages
1,270
Likes
6
Points
135
J

jnuswe

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2010
1,270 6 135
Kumekuwa na mijadala mingi humu, mara Dr. Slaa na Zitto Kabwe nani anaweza kuwa mgombea sahihi wa nafasi ya urais kwa ticketi ya CHADEMA 2015,

Kwa ushauri wangu haya yasitupotezee muda tena, kwani CHADEMA imejaliwa kuwa na viongozi wen "presidential material". Hayo yasichukue nafasi tena tukijenge chama tayari kwa kuchukua dola 2015.

CHADEMA ni kusonga mbele daima mpaka kieleweke

Kama kuna mtazamo tofauti unakaribishwa
 

Forum statistics

Threads 1,236,894
Members 475,327
Posts 29,271,505