Ziara ya Makamu wa Kwanza Wizara ya ElimuZanzibar.

A

abdulahsaf

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2010
Messages
859
Likes
5
Points
0
A

abdulahsaf

JF-Expert Member
Joined Aug 31, 2010
859 5 0
[h=2]Tuesday, November 27, 2012[/h]

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akitembelea Chuo Kikuu Cha Taifa Zanzibar (SUZA) Kampas ya Tunguu wakati wa ziara yake ya kutembelea taasisi za sekta ya Elimu Zanzibar kulia Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar AliJuma Shamuhuna na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Profesa Idrisa Rai, akitowa maelezo kwa Makamu wa Kwanza wakiwa katika moja ya majengo ya Chuo hicho Tunguu.

Mkandarasi wa ujenzi wa Skuli ya Sekondari Tunguu kutoka Kampuni ya Electrics Intarenational ya Dar es Salaam bibi Consolata Ngimbwa akitoa maelezo ya ujenzi huo mbele ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad alipotembelea ujenzi huo ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kutembelea taasisi za sekta ya elimu Zanzibar.(Picha na Salmin Said, OMKR)

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akimpongeza mkandarasi wa ujenzi wa skuli ya ghorofa ya Sekondari Mpendae bwana Liu Dao Xing kutoka China, alipotembelea ujenzi huo

Mkandarasi wa ujenzi wa Skuli ya Sekondari Tunguu kutoka Kampuni ya Electrics Intarenational ya Dar es Salaam bibi Consolata Ngimbwa akitoa maelezo ya ujenzi huo mbele ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad alipotembelea ujenzi huo ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kutembelea taasisi za sekta ya elimu Zanzibar.(Picha na Salmin Said, OMKR)

.Imewekwa na MAPARA at 7:50 PM
 
Forum statistics

Threads 1,249,983
Members 481,179
Posts 29,716,694