• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Itikadi ya CCM ni ipi kwa sasa?

Mzalendo wa ukweli

Mzalendo wa ukweli

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Messages
559
Points
0
Mzalendo wa ukweli

Mzalendo wa ukweli

JF-Expert Member
Joined Jan 5, 2012
559 0
Ukitazama kwa umakini alama zilizopo katika bendera ya CCM utagundua kuna alama ya jembe na nyundo; jembe likiwakilisha wananchi wakulima na nyundo ikiwakilisha wafanyakazi. Hii ilikuwa na maana kuwa CCM kilikuwa ni chama cha wakulima na wafanyakazi wakati kinaanzishwa. Kilijikita katikk kutetea haki za wafanyakazi na wakulima kwa ujumla. Na kwa kipindi hiki itikadi/ideology kuu ya chama ilikwa ni siasa ya ujamaa na kujitegemea.

Swali langu kwa sasa ni kuwa kwa sasa itikadi ya chama hiki kwa uwazi kabisa ni ipi? Je ni chama cha wafanyakazi na wakulima bado au ni cha kibepari zaidi?
 
Miwatamu

Miwatamu

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2012
Messages
1,451
Points
1,170
Miwatamu

Miwatamu

JF-Expert Member
Joined Oct 2, 2012
1,451 1,170
Kwa ufupi CCM ni chama dola, lakini katika utawala CCM ni chama cha upinzani kwani kinatawala kwa kutekeleza mipango ya Chadema. Hivyo kutokana na utawala wa aina hiyo CCM haiwezi kuwa na itikadi maalumu.
 
Mzalendo wa ukweli

Mzalendo wa ukweli

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Messages
559
Points
0
Mzalendo wa ukweli

Mzalendo wa ukweli

JF-Expert Member
Joined Jan 5, 2012
559 0
Kwa ufupi CCM ni chama dola, lakini katika utawala CCM ni chama cha upinzani kwani kinatawala kwa kutekeleza mipango ya Chadema. Hivyo kutokana na utawala wa aina hiyo CCM haiwezi kuwa na itikadi maalumu.
Okay,Thanks kwa idea yako mkuu
 
S

Savannah

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
239
Points
0
S

Savannah

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2012
239 0
Itikadi ya CCM ni Ufisadi baada ya azimo la Zanzibari. Ingekuwa ni ubepari hali ya uchumi ingebadilika.
 
B

blueray

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Messages
2,219
Points
0
B

blueray

JF-Expert Member
Joined Sep 15, 2012
2,219 0
Mkuu unauliza itikadi ya CCM hata wana CCM wenyewe hawaijui; wako kwenye confusion!

Labda tusibiri wenyewe wamo humu jf kama kina Le Mutuz, Ritz, Chama na wengine nadhani wao watakujibu kwa ufasaha ingawa kinadharia.

Lakini tunavyojua watu wengi sasa hivi hata wao wana CCM ni kwamba CCM si chama tena cha wakulima na wafanyakazi. Wakulima na wafanyakazi walikwishatupwa zamani!

Sasa hivi ni chama cha mafisadi na wala rushwa na ndio itikadi yao. Kwa ajili hiyo hata wakikuambia maneno mengi utajua tu ukweli ni upi.
 
B

bdo

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2006
Messages
5,774
Points
2,000
B

bdo

JF-Expert Member
Joined Nov 20, 2006
5,774 2,000
Mkuu unauliza itikadi ya CCM hata wana CCM wenyewe hawaijui; wako kwenye confusion!

Labda tusibiri wenyewe wamo humu jf kama kina Le Mutuz, Ritz, Chama na wengine nadhani wao watakujibu kwa ufasaha ingawa kinadharia.

Lakini tunavyojua watu wengi sasa hivi hata wao wana CCM ni kwamba CCM si chama tena cha wakulima na wafanyakazi. Wakulima na wafanyakazi walikwishatupwa zamani!

Sasa hivi ni chama cha mafisadi na wala rushwa na ndio itikadi yao. Kwa ajili hiyo hata wakikuambia maneno mengi utajua tu ukweli ni upi.
ujamaa na kujitegemea : ujamaa= chama cha udugu:-Vita Kawawa, Zainabu Kawawa,Zamaradi Kawawa, Dr.Husein Mwinyi, Balozi Karume, Amani Abeid Karume, ongezea orodha,
Kujitegemea: = Ufisadi,ni hulka ya ulafi, na ubinafisi = (wafanyabiashara wote walioingia CCM kwa ulafi wao wa kujitegemea)
 
M

Mr jokes and serious

Member
Joined
Oct 4, 2012
Messages
78
Points
70
M

Mr jokes and serious

Member
Joined Oct 4, 2012
78 70
Pigachini hili chama co cri chama kikitawala mda mrefu uwakunakuwa na udhaifu mwingi.
 
B

Bangoo

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2011
Messages
5,600
Points
1,195
B

Bangoo

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2011
5,600 1,195
Kwa ufupi CCM ni chama dola, lakini katika utawala CCM ni chama cha upinzani kwani kinatawala kwa kutekeleza mipango ya Chadema. Hivyo kutokana na utawala wa aina hiyo CCM haiwezi kuwa na itikadi maalumu.
#Chama cha matajiri
 
K

Kagalala

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2010
Messages
2,376
Points
1,250
K

Kagalala

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2010
2,376 1,250
Sera kubwa ya CCM kwa sasa ni kuendelea kutawala no matter what and by all means. Hawajali kuwakwamua Watanzania katika dimbwi la umasikini. Kumbuka umasikini wa Watanzania ndo mtaji mkubwa wa CCM. Watanzania kuendelea kuwa masikini ina maana CCM itaendelea kuwa madarakani. Hiyo ndo sera ya CCM.
 
I

IPECACUANHA

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2011
Messages
2,850
Points
2,000
I

IPECACUANHA

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2011
2,850 2,000
Kwa taarifa alama ya Nyundo na Jembe kwenye bendera ya CCM imebadilika na kuwa "Kisu na Umma". Itikadi yake Kubwa ni wizi wa kura ili kupata dola na baada ya hapo kuchukua Chako Mapema.
 
C

cencer09

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2012
Messages
2,456
Points
2,000
C

cencer09

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2012
2,456 2,000
kutarajia ccm online kujibu ni ndoto,hata katibu mwenezi wao Nape a.k.a. Mzee wa kujivua gamba hawezi jibu kama alivyoshindwa kuwavua magamba.
hao online ukiwasikia hapa jua wanamtukana Slaa mbaya wao.Mapaka ya kijani
 
Fredrick Sanga

Fredrick Sanga

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2011
Messages
3,151
Points
1,195
Fredrick Sanga

Fredrick Sanga

JF-Expert Member
Joined Jan 27, 2011
3,151 1,195
Kitaalamu kabisa ni ubepari uchwara (Lwaitama; 2012)
 
H

Hebel Mlagala

Senior Member
Joined
Aug 4, 2012
Messages
134
Points
0
H

Hebel Mlagala

Senior Member
Joined Aug 4, 2012
134 0
Hata mwenyekiti wa CCM hajui itikadi ya chama chake vinginevyo tungemsikia akiinadi! Toka ameingia madarakani sijawahi kumsikia akisema "ujamaa na kujitegemea" ambayo ndiyo itikadi inayoelezwa kwenye katiba. Tatizo waliua Azimio la Arusha bila kuondoa baadhi ya maneno ya azimio hilo kwenye katiba sasa wamechanganyikiwa. Na sio mwenyekiti tu hata viongozi wote wa CCM hawana jibu la itikadi ya chama chao. Ukiwauliza sana sana watakwambia "ushindi daima" au "ari zaidi, Kasi zaidi nguvu zaidi" zaidi ya hapo hawana kitu!
 
Mjuni Lwambo

Mjuni Lwambo

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2012
Messages
6,431
Points
2,000
Mjuni Lwambo

Mjuni Lwambo

JF-Expert Member
Joined Apr 25, 2012
6,431 2,000
ujamaa na kujitegemea : Ujamaa= chama cha udugu:-vita kawawa, zainabu kawawa,zamaradi kawawa, dr.husein mwinyi, balozi karume, amani abeid karume, ongezea orodha,
kujitegemea: = ufisadi,ni hulka ya ulafi, na ubinafisi = (wafanyabiashara wote walioingia ccm kwa ulafi wao wa kujitegemea)
mkuu umetishaaa!
 

Forum statistics

Threads 1,404,687
Members 531,700
Posts 34,461,685
Top