Live kutoka Arusha: Operesheni chakaza CCM (mkutano)

SOKON 1

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2010
Messages
1,123
Points
1,225

SOKON 1

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2010
1,123 1,225
jioni ya leo mkutano uliotangazwa masaa mawali kabla kupima ni nini CCM walichofanya Arusha majibu ni CHADEMA itabaki kuwa ngome ya CHADEMA kwani watu ni wengi mmo wamejitokeza katika viwanja vya kilombero kwa masaa mawali toka utangazwe kutoka mda huu.

Mawazo: CHADEMA wanasema hawana mda wa kushindana na veterani na waizi wa pembe za ndovu kwa hio waeza kubadili msitu ila kwame huwezi badili nyani wa msitu huo.

Bushi: kinana akiwa mwenyekiti wa hospitali ya Mount Meru aliondoka na dry cleaner ambazo amekwenda kufungulia FALCON DRY CLEANER pia mwaka 94 Kinana alienguliwa katika kugombea tena CCM sababu ni msomalia kwani akiwa na miaka 8 alitoka Somalia na baba yake so iweje leo tena wampe ukatibu mkuu je ni lini Kinana alikana kuwa msomal

Lema: nafarijaka sana umati huu kuja katika mkutano uliotangazwa masaa mawili yaliopitwa na hata hawajaletwana mabasi, mafuso lakini mmekuja maelfu. So ccm kupitia kwa mwenyekiti wake fisadi na tume yake mpya ni mafisadi so hawana jipya. Pia anashangazwa na katibu mkuu wa ccm kufungua tawi kilombero na kukosa kiongozi wa shina ilo ikabidi katibu wa ccm mkoa kuwa kiongozi. pia amesema kama ccm sio vilaza je tuwaitaje inakuweje madiwani waliofukuzwa chadema na kunyanganywa uwanachama eti madiwana wa chadema warudisha kadi na kupewa za ccm sasa izo kadi cha chadema wamezitoa wapi kama walinyimwa uwanachama so tuwaache wafu wazikane wenyewe.

Pia amesema katika operesheni hii katika jiji la Arusha watafungua matawi kisha kuchagua viongozi wa tawi ilo pia mbali na viongozi wa tawi pia watachagua mabalozi ambao watawakilisha chadema katika kila mtaa ambao watakuwa wanatoa habari za mwenendo na hali ya chama kuakikisha ccm haipo katika jiji la Arusha

CDM1.jpg G. LEMA akiutubia leo jioni katika viwanja vya kilombero


My Take;
kwa hali niliyokutana nayo leo katika mkutano wa chadema ambao hata mimi nilikuwa sijui kama kulikuwa na mkutano wa chadema ila katika kupita nikiwa nimetoka kazini nilishangazwa sana na umati ule nikatoa simu yangu kuangalia kama humu JF kuna members kutoka Arusha watakuwa wanahabarisha ila palikuwa hakuna kwa mda huo ikanibidi nami nisikilize na nihabarishe JF watu wapate habari ni mengi yameongelewa ili nilikuta tayari makamanda wengine wameshaongea kweli ccm haina chake ArushaNawasilisha
 

Attachments:

Job K

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2010
Messages
9,272
Points
2,000

Job K

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2010
9,272 2,000
Huu sasa utani!

Yaani tangu saa 11 wamesema hayo maneno machache tu? Tafadhali SOKON 1 tuheshimiane basi japo kidogo!!
 

bemg

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2010
Messages
2,711
Points
1,195

bemg

JF-Expert Member
Joined Apr 25, 2010
2,711 1,195
kama ni habari za kweli ni vizuri lakini kwanini mkutano uwe wakuzima moto hivi?
 

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2011
Messages
11,036
Points
1,250

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2011
11,036 1,250
Hakika nawaambieni ya kwamba Chadema itadumu daima ndani ya Jiji la Arusha na mpaka pale Ukombozi utakapo kuja kwa Watanzania wanaoangamia kama vile hawajawahi kuwa huru tangu 1961 mpaka hivi sasa!

VIVA CHADEMA!!
 

MJENGA

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2012
Messages
813
Points
1,000

MJENGA

JF-Expert Member
Joined Nov 18, 2012
813 1,000
Kweli mapipo mnajua kujifariji!. Inshort watu waliohudhuria hata 500 hawafiki. Anayebisha aweke picha halisi(siyo photoshop) kupinga kauli yangu.
 

Forum statistics

Threads 1,392,812
Members 528,696
Posts 34,118,688
Top