Jamani!! Tanzania inajengwa na wenye moyo na inatafunwa na wenye meno kulikoni?

Karibuni masijala

JF-Expert Member
Sep 13, 2012
409
135
Wana bodi heshima kwenu.
Nakumbuka serikali ilileta hoja ya kupandisha gharama za umeme kwa kipindi kifupi. Kwa upande wangu na wapangaji tulitoka kulipa elfu 15 mpaka 30 kila mpangaji tukaenda TANESCO Maana tulidhani nyumba inapoteza kabla ya hapo tumeshikana mashati nani ametumia zaidi.
Ndipo tulipoambiwa ni ongezeko la umeme kwa kipindi cha dharura kuijengea uwezo TANESCO.
Cha kushangaza na kusikitisha baada ya muda kashfa za Mhando kutumia ongezeko hilo kujifungulia Kampuni kupitia mke wake.
Mara mgao kupiga dili na sasa umeme mara miundo mbinu mara mgao wa kisiri.
Muda tulioambiwa tunatozwa gharama za ongezeko umepita na hazijarejeshwa za awali wabunge watanzania kimya.
Wenye meno wanajichotea mijihela yetu kwa kisingizio cha mgao kampuni feki, mikataba. Bado watanzania wanaendelea kujenga nchi wenye meno kama wateule wanaitafuna mpaka wanakosa pa kuweka hela kwenye bank zetu wanapeleka nje wangine wakidai vijisenti, wamejisahau mpaka wanasema tz ni muunganiko wa zimbabwe na visiwa.
Kulikoni??
 
Wana bodi heshima kwenu.
Nakumbuka serikali ilileta hoja ya kupandisha gharama za umeme kwa kipindi kifupi. Kwa upande wangu na wapangaji tulitoka kulipa elfu 15 mpaka 30 kila mpangaji tukaenda TANESCO Maana tulidhani nyumba inapoteza kabla ya hapo tumeshikana mashati nani ametumia zaidi.
Ndipo tulipoambiwa ni ongezeko la umeme kwa kipindi cha dharura kuijengea uwezo TANESCO.
Cha kushangaza na kusikitisha baada ya muda kashfa za Mhando kutumia ongezeko hilo kujifungulia Kampuni kupitia mke wake.
Hicho ndio kilichomtoa Mhando pale Tanesco???
 
Back
Top Bottom