Mkuu wa Mkoa wa Mara ametusikitisha

MVUMBUZI

MVUMBUZI

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2011
Messages
5,082
Points
2,000
MVUMBUZI

MVUMBUZI

JF-Expert Member
Joined Jan 8, 2011
5,082 2,000
Mkuu wa Mkoa wa Mara Mr. Tupa akihojiwa leo asubuhi na kipindi cha Nipashe kuhusu mauaji yanayoendelea mkoani humo amejibu kwa ku-defend zaidi position yake huku akionyesha vifo hivyo ni NOTHING na vina kuwa habari hizo zimetiwa Chumvi. Akijibu swali kuhusu binti aliyeuwawa kishirikina alijibu kana kwamba ni kuku amekufa kwa kusema ni " KIFO CHA HUYO BINTI KILITOKANA NA KUBAKWA TU" na si vinginevyo. The way alivyosema ni kifo cha binti aliyekufa kwa kubakwa TU kinaonyesha amekichukulia simple na siyo kitu muhimu huku akisema vinavyotangazwa vinatiwa chumvi.

Kusema KULITOKANA NA KUBAKWA TU ameifananisha hiyo na ajali isiyoepukika au ameona kitu kidogo sana kwani hakuna mahali alipoonyesha kusikitishwa au kukerwa na kifo hiki.Matamshi haya ya mkuu wa Mkoa wa Mara yametusikitisha sana tuliokuwa tunasikiliza NIpashe asubuhi ile kwani anaonekana anakataa ukweli maksudi kwa ku dilute reality kwa lengo la kulinda mkate wake.

Hivi ni hadi wafe watu wengi kiasi gani ndo Mkuu wa mkoa aone ni kitu kizito badala ya kujaribu kuonyesha yuko informed na smart kwenye kazi yake while not that much.
 
NAPITA

NAPITA

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
5,076
Points
1,250
NAPITA

NAPITA

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2012
5,076 1,250
Tatizo viongozi wetu wanachukulia ni kawaida sana na haya ndo matatizo ya kusubili kuletewa taarifa mezani.
 
N

Ndeusoho

Member
Joined
Jan 26, 2010
Messages
46
Points
70
N

Ndeusoho

Member
Joined Jan 26, 2010
46 70
Mkuu wa Mkoa wa Mara Mr. Tupa akihojiwa leo asubuhi na kipindi cha Nipashe kuhusu mauaji yanayoendelea mkoani humo amejibu kwa ku-defend zaidi position yake huku akionyesha vifo hivyo ni NOTHING na vina kuwa habari hizo zimetiwa Chumvi. Akijibu swali kuhusu binti aliyeuwawa kishirikina alijibu kana kwamba ni kuku amekufa kwa kusema ni " KIFO CHA HUYO BINTI KILITOKANA NA KUBAKWA TU" na si vinginevyo. The way alivyosema ni kifo cha binti aliyekufa kwa kubakwa TU kinaonyesha amekichukulia simple na siyo kitu muhimu huku akisema vinavyotangazwa vinatiwa chumvi.
Kusema KULITOKANA NA KUBAKWA TU ameifananisha hiyo na ajali isiyoepukika au ameona kitu kidogo sana kwani hakuna mahali alipoonyesha kusikitishwa au kukerwa na kifo hiki.Matamshi haya ya mkuu wa Mkoa wa Mara yametusikitisha sana tuliokuwa tunasikiliza NIpashe asubuhi ile kwani anaonekana anakataa ukweli maksudi kwa ku dilute reality kwa lengo la kulinda mkate wake.

Hivi ni hadi wafe watu wengi kiasi gani ndo Mkuu wa mkoa aone ni kitu kizito badala ya kujaribu kuonyesha yuko informed na smart kwenye kazi yake while not that much.
Pole kwa wote ambao kwa njia moja au nyingine wameguswa na matukio haya. Mimi pia nilimsikiliza mkuu wa Mkoa wa Mara akiongea na nilichokielewa ni kuwa nia yake ilikuwa kuwatoa wananchi hofu kama kiongozi wa serikali na pia Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa. Pia alitoa ujumbe unaotia faraja kuwa wahalifu wa matukio ya awali wate wamakamatwa. Kwa hili tulitakiwa kuona ujumbe muhimu aliotaka kuufikisha kwa umma na sio kuangalia tu mapungufu ya presentation. Ukweli itabidi tubadilike kwa kuwa hatuwezi kuwa tunafikiria sawa kwani kila mtu yuko tofauti na mwingine. Ujumbe aliotaka kuifikishia jamii tumeupata na huenda hiyo kasoro uliyoiona haitokani na dharau ila ni style ya kuwasilisha aliyotumia.
 
H

Honolulu

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2012
Messages
5,649
Points
1,225
H

Honolulu

JF-Expert Member
Joined Jan 20, 2012
5,649 1,225
Mnalalamika nini? Hiyo serikali ya ccm inayowakejeli si mliiweka wenyewe madarakani? Tulieni itimize wajibu wake!!!
 
nyabhingi

nyabhingi

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Messages
13,602
Points
2,000
nyabhingi

nyabhingi

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2010
13,602 2,000
mnachishindwa kuelewa ni kuwa wakuu wa mikoa ni makada wa wazi wa ccm..did you expect anything white from charcoal?
 
R

RC.

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2012
Messages
444
Points
0
R

RC.

JF-Expert Member
Joined May 24, 2012
444 0
mpaka afe yeye au mke wake ndiyo ajue ni serious lkn mwananchi wa kawaida,aaaaaah!HUYO ALIKUFA KWA KUBAKWA TU!
 
Manyi

Manyi

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2011
Messages
3,254
Points
1,195
Manyi

Manyi

JF-Expert Member
Joined Dec 6, 2011
3,254 1,195
Duh, au ndo ulimi uliteleza?
 
Forum statistics

Threads 1,284,769
Members 494,236
Posts 30,839,242
Top