kumbe wanaoeneza propaganda dhidi ya CCM wanatumiwa na CCM ili kuimarisha chama

stani

Member
Oct 21, 2012
7
0
Wanabodi,

Kumbe propaganda dhidi ya CCM ni mpango wa baadhi wa watu ambao wapo upinzani lakini bado wanamiliki kadi za CCM ili kupima upepo wa wananchi. Ndio maana wao wanamiliki kadi za CCM na za vyama vyao vipya.

Swali: Mbona wao wanapopata wanachama wapya wanazichukua kadi za CCM na kuzichoma moto wakati mwingine hadharani lakini wao hawarudishi eti wanataka ile kumbukumbu!!Mie naona nirudi CCM tu... kule kwingine basi tena kumbe tulipotoshwa.

Nawasililisha
 
stani

Member
Oct 21, 2012
7
0
Ni aibu kubwa sana hata kama kuna wengine wanaendelea kuingia sawa ila KIONGOZI LAZIMA UWE MFANO. WAMKABIDHI KINANA kadi maana wengine nasikia huchelewa hata kuzilipia hadi wadaiwe. Ni aibu sana!

Nape ameona mbali hili. Akaona awaumbue. Siasa mbaya sana.
 
kingukitano

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
1,971
0
Hii inaleta picha kuwa dr anamahaba na ccm huwa anajisikiaje anapopokea kadi za ccm zinazorudishwa na wanaojiunga chadema halafu moyoni mwake yeye kaibana na kuifungia katika sanduku kadi ya ccm kama tunakua fair Tanzania hakuna upinzani wa dhati wengi ccm ipo mioyoni wanabwwbwaja nje tuu ona mzee wa kiraracha ccm hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Earthmover

JF-Expert Member
Sep 28, 2012
19,511
2,000

Stop!!
 
Attachments

  • HATARI.jpg
    HATARI.jpg
    307 KB · Views: 32

Ringo Edmund

JF-Expert Member
May 10, 2010
4,883
0
hivi mbeya mjini,iringa,mwanza,ubungo,kawe,singida mash ni chama gani chenye wanachama wanaomiliki kadi wengi.
mimi naona watu wanaacha kujadili mambo ya msingi wanajadili utumbo wa NAPE,MIMI NINAMILIKI KADI YA CCM NA CHADEMA NINAYOLIPIA NI YA CHADEMA TOKA NIMEPIGA KURA KWA ALI HASAN MWINYI NIKAPIGA KURA YA HAPANA hapo ndipo ccm ilipofia nafsini mwangu.
nape anajua alikuwa ameokoka na alipojiunga na mafisadi amemkosea mungu na wanadamu,gitaa kaliacha kwa mchungaji pale singida.
namshauri abadilike na awe na adabu na siasa za kistaarabu.
 
Ukwaju

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
13,302
2,000

Froida

JF-Expert Member
May 25, 2009
8,774
2,000
Ni aibu kubwa sana hata kama kuna wengine wanaendelea kuingia sawa ila KIONGOZI LAZIMA UWE MFANO. WAMKABIDHI KINANA kadi maana wengine nasikia huchelewa hata kuzilipia hadi wadaiwe. Ni aibu sana!

Nape ameona mbali hili. Akaona awaumbue. Siasa mbaya sana.
CCM hebu ile single ya mabwe pande mumeshajibu,Mwangosi mumemvurumishia marisasi mumu weka ndani akina kamhanda na kaka wa morogoro mulikohonga kuiba maiti munasidia familia yake majambawazi nyie watu wanakufa
Nape anajiumbua mwenyewe ,hana mashiko zaidi ya kubadilisha upepo wa uwizi wa CCM kwa kuwa fanya watanzania wajinga
Na amwite kwanza KIkwete,Mangula na KInana Babu ndio aje kwa Dr Slaa
 
Froida

JF-Expert Member
May 25, 2009
8,774
2,000
View attachment 73724 View attachment 73724 View attachment 73724
Hii inaleta picha kuwa dr anamahaba na ccm huwa anajisikiaje anapopokea kadi za ccm zinazorudishwa na wanaojiunga chadema halafu moyoni mwake yeye kaibana na kuifungia katika sanduku kadi ya ccm kama tunakua fair Tanzania hakuna upinzani wa dhati wengi ccm ipo mioyoni wanabwwbwaja nje tuu ona mzee wa kiraracha ccm hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Fact ni fact Dr Slaa awe na kadi au hana ni kwamba aliwahi kuwa mwana chama wa CCM kama sisi wengine tulivyolazimisha vyuoni jipya lipi hiyo propaganda ni sawa na kujisiliba kinyesi usoni Kwa NAPE ,
 
Froida

JF-Expert Member
May 25, 2009
8,774
2,000
Ni aibu kubwa sana hata kama kuna wengine wanaendelea kuingia sawa ila KIONGOZI LAZIMA UWE MFANO. WAMKABIDHI KINANA kadi maana wengine nasikia huchelewa hata kuzilipia hadi wadaiwe. Ni aibu sana!

Nape ameona mbali hili. Akaona awaumbue. Siasa mbaya sana.

Ni CCM inayoweza kuwa na Katibu MKuu kama KInana ambaye intenationally anajulikana kama msafirisha pembe za ndovu na mhujumu uchumi,biashara ya pembe za ndovu zimepigwa maruku lakini pamoja na kukili kuwa meli ni zake na zinafanya biashara ya kusafirisha pembe za ndovu bado Mwenyekiti wa CCM anamteua kuwa katibu mkuu mtu kama huyo atapokea kadi ya nani no wonder CCM imebaki jina
 
ngwendu

JF-Expert Member
Jun 7, 2010
1,965
0
Fact ni fact Dr Slaa awe na kadi au hana ni kwamba aliwahi kuwa mwana chama wa CCM kama sisi wengine tulivyolazimisha vyuoni jipya lipi hiyo propaganda ni sawa na kujisiliba kinyesi usoni Kwa NAPE ,
kweli kale kamchezo ni noma, slaa aliona kukakosa maishani au kula kwa kuibia itakuwa mpaka lini, mzee akaamua kujitosa na kuvua majoho na sasa anavinjari na vimwana kama akina josephina. honger slaa.maisha ndo hayahaya, na ukiyakosa tena ndo basi hapa duniani.
ILA HII TOPIC KWA UJUMLA WAKE HAINA TIJA. NI PUMBA TU, I THINK WE HAVE A LOT TO DISCUSS ABOUT OUR COUNTRY ZAIDI YA HIZO KADI ZA CCM, CUF SIJUI CHADEMA ET AL.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom