Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Toka Rasimu ya katiba itolewe kuna swali nimekuwa najiuliza sana.....''' Je ni kwa kiasi gani watanzania wamekuwa wakihamasihwa kuisoma ili waweze kuchangia vizuri matahalani kuikosoa au kushauri...
0 Reactions
0 Replies
928 Views
  • Closed
Habari wana-JF? Leo majira saa 4 asubuhi bwana Lwakatare ambae ni mkurugenzi wa ulinzi na usalama CHADEMA atakuwa na mazungumzo na waandishi wa habari, ajenda ikiwa kuhusiana na sakata zima la...
1 Reactions
101 Replies
7K Views
Tangu jana hapa Ofisi Ndogo za CCM,Lumumba kuna furaha. Furaha ya kichama inahusu sarakasi zilizoanzishwa nasi juu ya Rasimu ya Katiba na wengine kuziiga. Makada waandamizi wa chama hapa Lumumba...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
  • Closed
Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA Wilfred Lwakatare amesema atatoa ya moyoni siku ya Alhamisi. Akizungumza na waandishi wa habari wa ndani na nje ya nchi mara baada ya kupata dhamana...
4 Reactions
172 Replies
14K Views
Ni wazi wazanzibar hawakubali serikal 3, wanataka muungano wa mkataba. Warioba kila cku anasisitiza serikal tatu hata kabla ya mchakato wa katiba mpya akipewa support na sengondo mvungi. Jaman...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Mojawapo ya mambo yanalalamikiwa kwenye katiba ya sasa na sheria zake ni pamoja na swala la umiliki wa ardhi; 1. Swala la Raisi kuwa na mamlaka na ardhi yote 2. Swala la wageni kumiliki ardhi 3...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Delegates from plo have arrived in dsm and wellcomed by tanzanian official and seek the government to continue support for liberation of palestinian state from state of zionist who looklike hitler...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kumekuwa na hoja kuwa uwepo wa serikali tatu katika rasimu ya katiba kuwa itasababisha gharama kubwa za matumizi kwa serikali hizo. Kwa maoni yangu hoja hii naona si kweli kwa sababu, rasimu...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Green guard maarufu Arusha kata ya Themi bwana Antony 'Kichwa kubwa' ametangaza hadharani kuwa amepewa 'ACID' na mgombea wa CCM kata ya Themi Mr. Victor Mkolwe kwa ajili ya kuwamwagia wale...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wamasai wa makuyuni wanakwenda kuhushangaza ulimwengu jpili kwenye kura jinsi chadema inakwenda kushinda kwa kishondo kata ya makuyuni na kata nne za arusha mjini.aluta continua
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Nimesoma gazeti la Mwananchi la leo tena bila kupepesa macho na kurudia mara tatu juu ya tamko ya Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Bwana Nape Nnauye. Nimegundua kitu kimoja, miaka ya nyuma CCM...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Habari za jioni wana JF! Akimnadi mgombea wa udiwani kata ya Nyampulunkano Bw.Emmanuel Mwaninis anawaambia kuwa Ngereja amesema kuwa lazima atashinda kwa namna yoyote ile,amesema Ngereka hana...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Awali ya yote natanguliza MAPENZI yangu kwa CCM. Nimesikitishwa na mwenendo wa kampeni zinazoendelea katika kata ya Mianzini, Mbagala kutakofanyika uchaguzi wa diwani Juni 16, 2013. Jana ilikuwa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mimi ni naibu meneja kampeni kata ya Kimandolu, leo tunafanya mikutano miwili kwenye kata ya Kimandolu saa 6 mpaka saa 8 mchana tutakuwa Bondeni bar, saa 9 mchana mpaka 12 jioni tuko Kijenge Chini...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Kuna habari zimesambazwa kwenye fb zinasema mgombea wa CHADEMA kata Themi Arusha amejitoa napenda kusema ni uwongo mtupu mgombea hajajitoa nipo naye tangu asubuhi. Peoples power.
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Nape anazomewa muda huu kimandolu,hakika Arusha ni ukanda huru Baada ya makamanda wa CHADEMA kuikaba vilivyo ccm Arusha,ccm imelazimika kutuma wabunge wote wa mkoa wa...
4 Reactions
35 Replies
3K Views
Ndugu zanguni, Nimekaa chini nimejiuliza nimekosa jibu Kwa nini kila kukicha huu muungano hauishi manung'uniko? Walianza wa zanzibari na sasa wabara wanataka muungano uvunjike ni kwa nini hasa...
1 Reactions
36 Replies
4K Views
Tume ya warioba inajaribu kufurahisha Watanzania zaidi ya kutatua matatizo muhimu ya kiuchumi, kisiasa na hata kiutamaduni. Katiba inatakiwa kujibu swali mmoja tu ambalo ni " Je tutafanya nini ili...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Wababodi ktk pitapita zangu ktk wikipedia na page nyingine nimegundua kuwa Tanzania inaweza kuwa Tan kutoka Tanganyika na ~zania kutoka Azania .Azania ya zamani ambayo ilibeba visiwa vingi na...
1 Reactions
56 Replies
7K Views
  • Closed
Kazi ya CCM na Kazi ya Chama chochote, au Tasisi Yoyote, Ni Kazi Ya Mwanadamu" Haiwezi kua Imekamilika Lazima Mapungufu yawepo, Kazi Ya Mungu Tuu Ndio Iliokamilika, Tukosoane Kwa Lengo La...
7 Reactions
245 Replies
19K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…