Haiingii akilini kwamba wajumbe wa tume bado wana woga wa kutumia neno Tanganyika na wakajikuta wanalazimika kutumia neno Tanzania Bara. Huku wakijua kabisa kwamba huu muungano ni wa Tanganyika na...
Siku ya kwanza nilipo sikia serikali tatu ndani ya rasimu hii ya katiba, nilijiuliza juu ya uongozi wa serikali hizi tatu, (yaani maraisi watatu makamu wa raisi mawaziri wa kuu nk). Lakini pia...
Ukweli ni kwamba makuyuni ni vita kati ya wanyonge na magenge ya wahuni na wauaji wanaongozwa na ccm huku taswira halisi ya LOWASSA, ikifahamika wazi kwamba ni mtu mfitini, mnafiki mroho wa...
Zanzibar president Dr Ali Mohmmed Shein has said he doesnt recognize the self-styled reconciliation committee that is working on ensuring Zanzibar becomes a fully autonomous state.
Dr Sheins...
Lisu yupo jukwaani anamwaga sumu mbaya. Anawaambia wananchi wa kijiji hiki cha Dinima kwamba hajawahi kumsikia Mbunge wao Absalam Ameir maarufu kama SAS.
Baada ya kuachiwa kwa dhamana na Mahakama Mkurugenzi wa ulinzi na usalama wa CDM Wilfred Lwakatare baada ya kukaa Mahabusu kwa takriban miezi 2, Chama cha Chadema ni vema kumpa mh Lwakatare nafasi...
KATIKA kile kinachoweza kuelezwa kuwa changamoto ya viongozi wa kisiasa na wananchi kutambua majukumu na dhamana za viongozi wa kuchaguliwa, Mbunge wa Jimbo la Kwimba jijini Mwanza, Shanif...
Rasimu imechemka umri wa urais
na Edson Kamukara
MHADHIRI wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu (DUCE), Dk. Kitila Mkumbo, amesema kuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, imechemka kwa...
Uchaguzi mdogo huko mbinga,kata ya mkako,kijiji cha Amani CCM imeangukia KISOGO baada ya mgombea wa chadema kupata kura 58 kati ya kura 103 zilizopigwa .Zama za MAGAMBA ZIMEFIKA.wajiandae kuwa...
Ni miezi takribani miwili sasa toka
ifanyike mitihani ya CPSP, November 12 mpaka november 16. Kwa kawaida
matokeo hupishana na yale ya CPA kwa wiki moja, kama tunavyopishana katika kufanya...
Wazee nimesoma article moja inayohusu The new U.S. Imperial Grand Strategy nikaona ni vyema kupost hapa. Ni ndefu hivyo nimeamua kupost section inayohusu Africa in particular. Sababu ingine...
Katika jitihada za mbunge wa arumeru mashariki kutekeleza ahadi zake jana saa 3 asubuhi hadi saa 10 jioni alishirikiana na wananchi wa kijiji cha maroroni kuchimba mitaro ya kuweka roller kwaajili...
MIEZI mitatu, baada ya Rais Jakaya Kikwete kutoa agizo la kutaka kufungwa mara moja kwa Hospitali ya Ibrahim Hajj iliyopo jirani na jengo la ghorofa 16 lililoanguka,agizo hilo linaonekana wazi...
Ndani ya rasimu hii tumeingiziwa serikali tatu yaani Ya Tanganyika,Zanzibar na ya Muungano,na mpaka sasa Zanzibar wanayo katiba yao kwa sasa tunahangaikia ya katiba ya Muungano ambayo...
Katiba mpya yafuta urasimu wa kutoa habari
Na Salome Kitomary
11th June 2013
Mwenyekiti wa tume ya mabadiliko ya katiba, Jaji Joseph Warioba.
Rasimu ya Katiba...
Habari Wadau.
Nmesoma hoja nyingi sana za wanaopinga serikali tatu na "to be honest they are very weak" kutokana na sababu zifuatazo:
1.Hoja ya gharama
Ukimsikiliza mwenyekiti wa tume...
CHADEMA kimejikuta katika kipindi kigumu, huku wasijue kwa kujishikia kabla la anguko kubwa la kisiasa kutokea. Chama kimekumbwa na masahibu makubwa hadi wanazidi kutapatapa kula kukichwa; hali...
Ndugu zanguni,
Kama nilivyowajuza hapo mwanzo kuwa chadema ni mkusanyiko wa wapiga deals wachache.
Leo nimepokea ujumbe kwenye page yangu ya facebook kutoka kwa mtu aliyejitambulisha kama ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.