Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

kuna taarifa za CCM kutumia timu ya taifa kujiongezea umaarufu hasa katika kpindi hiki kigumu cha kuelekea 2015.inadaiwa kuwa kipigo cha jana klikuwa simanzi kubwa sana kwa akina Mwigulu...
0 Reactions
62 Replies
6K Views
Kwa muono wa mbali katika siasa za Bongo,kwa mtu mwenye maona japo kwa kupapasa anaweza predict what next katika miundo mipya ya serikali mpya zitakazoundwa za Tanganyika na Zanzibar. Kuna...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimekuwa najiuliza bila kupata majibu yaliyo sahihi,ndiyo maana leo naileta hoja yangu hii ili nisaidiwe. Suala la ubinafsishaji nimekuwa nalilinganisha na unyanyasaji mkubwa kwa watanzania hasa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Katika maoni yake ya awali kuhusu rasimu ya katiba mpya kwenye eneo la sifa za elimu katika nafasi za Uongozi amesema yafuatayo;..........."Katiba imejaa imani kuwa vyeti vya shule na vyuo ndiyo...
1 Reactions
45 Replies
4K Views
Kamati Kuu inaipongeza Tume ya Mabadiliko ya Katiba nchini kwa kazi nzuri na kukamilisha kazi kwa wakati. Kamati Kuu imepokea rasimu hiyo na kuelekeza kuwa; Kwa kuwa rasimu hii ni ya kwanza...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Katika mahojiano na Idhaa ya Kiswahili ya BBC, Nape kapingana na katibu wake ambaye hapo awali alidai kuwa wanaitisha kikao cha dharura kuijadili rasimu ya katiba mpya kwa maana hawajakubaliana...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Rais anapotoa ahadi katika kipindi cha miaka 5 ya kwanza na asizitimize katika kipindi husika asiruhusiwe kugombea kipindi cha miaka 5 inayofuata! Hoja hii iingizwe kwenye Rasimu ya Katiba Mpya...
0 Reactions
4 Replies
972 Views
CCM YAONYESHA UKOMAVU YAIPELEKA RASIMU KWA WANACHAMA WAKE YAJIVUNIA IDADI KUBWA YA WANACHAMA MILIONI SITA ILIYOKUWA NAO Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa imekutana jana tarehe...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
"Nkurunziza radioed to Kagame asking for instructions as to what to do with these Hutu churchmen. Kagame replied in Swahili: "FAGIA" meaning: clean up or eliminate, kill!" - Remigius Kintu: To the...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Tume ya katiba wameficha ripoti na1 ambayo ilizaa rasimu. Ni vyema ripoti iwekwe wazi hasa ktk website ili tujue yaliyojili
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Chama cha mapinduzi ccm kimedai kuwa rasimu ya katiba mpya inatakiwa itoke matoleo matatu na kuitaka tume ya kurekebisha katiba kujitokeza na kuwaeleza wananchi juu ya hilo. Wanajamvi walioisona...
0 Reactions
2 Replies
914 Views
Ninasubiri kwa hamu kubwa kuwasikia waliosema kwa sauti kubwa nahadharani kabisa kuwa Tume ya Mabadiliko ya katiba nchini haina watu wenye weledi kwa kazi hiyo tena wakaenda mbali kuwa haiko huru...
8 Reactions
173 Replies
11K Views
RAISI WANGU MHESHIMIWA DR. JAKAYA MRISHO KIKWETE Raisi wangu naomba nikupe pole kwa majukumu ya kila siku ya kitaifa, naona misukosuko mingi inajitokeza Tanzania mfano Mtwara Mungu azidi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu heshina yenu. Kwa wale ambao mmekuwa mkifuatilia kwa karibu yanayoendelea mjengoni mtakumbuka kuwa Mh Eng James Mbatia amekuwa mwiba mchungu kwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi tangu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Pamoja na upole na sauti yake isiyo na makeke Rais wetu, sauti yake wakati anaadress kamati kuu inaonyesha ya unyonge sana, je ? ana hofu kuingia kwenye historia ambayo itaandika kwamba Muungano...
0 Reactions
3 Replies
972 Views
Baada ya kuwa na mgogoro uliodumu zaidi ya mwaka mmoja, hatimaye Mh. Kafulila na Mwenyekiti wake Mh. James Mbatia wahutubia jukwaa moja kata ya Bashneti huko Babati kwenye Uchaguzi mdogo wa...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Naona watu wanahofu na serikali tatu mimi sijajiuliza sana kuhusu hilo lakini kwa nini Jaji Warioba hakupendekeza serikali moja chini ya Utawala wa Majimbo?? Zanzibar tuwe na majimbo mawili Pemba...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndugu zangu wana jamvi leo nimehudhuri kwenye mkutano wa kampeni kata ya kaloleni ulio kuwa ukihutubiwa na naibu katibu mkuu wa chama hicho ndugu Mwigulu nchemba. Nimebahatika kuwasikiliza watu...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
11 June 2013 Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete akiongoza kikao cha Maalum ya CCM ‘Kamati Kuu’ kilichokutana jana usiku mjini Dodoma kwa...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Katika mkutano mkubwa wa Sumbawanga mjini wa Mheshimiwa Aeshi, vijana wametoa ya moyoni yaliyowafanya wake 1. Shinikizo la baadhi ya wazee pasipo kuwa na dira halisi. 2. Sera za CHADEMA...
0 Reactions
56 Replies
6K Views
Back
Top Bottom