Lissu atia fora bungeni

HAMY-D

JF-Expert Member
Sep 18, 2011
7,149
3,817
Lissu akiwa anatoa mchango wake kwenye muswada ulioletwa na serikali, amezimiwa kipaza sauti baada ya kukaidi maelekezo ya spika ya kuacha kukitaja chama cha Mapinduzi katika mchango wake.

Lakini Lissu ameendelea kuongea na kukitaja chama cha Mapinduzi huku kipaza sauti kikiwa kimezimwa kwa takribani kama dakika 4 mpaka kipaza sauti kilipo washwa tena, huu ni ujasiri wa ajabu.

Haya yote ni katika kuelezea jinsi alivyo funguliwa kesi ya rufani na bwana Kinana kupinga ubunge wake, pia na mapungufu mengine ya mahakama kama vile kushinikizwa na vyama vya siasa.
 
Lissu akiwa anatoa mchango wako kwenye muswaada ulioletwa na serikali, amezimiwa kipaza sauti ili asisikike, lakini ameendelea kuongea mpaka kipaza sauti kilipo washwa, huu ni ujasiri wa ajabu.
Kwa nini "walimzimia" kipaza sauti?
 
Lissu akiwa anatoa mchango
wako kwenye muswaada ulioletwa na serikali, amezimiwa kipaza sauti baada
ya kukaidi maelekezo ya spika ya kuacha kukitaja chama cha Mapinduzi
katika mchango wake.

Lakini Lissu ameendelea kuongea na kukitaja chama cha Mapinduzi mpaka
kipaza sauti kilipo washwa tena, huu ni ujasiri wa ajabu.

Haya yote ni katika kuelezea jinsi alivyo funguliwa kesi ya rufani na
bwana Kinana.

Amemliza kwa kusema naomba kuwasilisha b kiroboto kamwambia unawasilisha yasiyo ya muswada
duuh hyu mama noma
 
Ana lalamika kesi kufunguliwa na ccm kwani hao waliofungua kesi cyo wapiga kura? Hapa hoja ni kurekebisha sheria ya ccm yanatoka wapi?
 
Japo Mimi sio mchadema, lkn ndani ya mjengo wa bunge napenda sana kumsikiliza tundu lissu anapotoa Hotuba. Nafikiri kwa sasa yeye ndie messi wa bunge linapokuja suala la kujenga hoja!

nimependa sana hako kajina kanamfaa,tumnikname hako.
 
Mh.Tundu Lissu ni kamanda wa ukweli tuna imani naye na daima tupo nyuma yake!!huyu bibi kiroboto tutamuhukumu kwenye mahakama ya umma na atahukumiwa tu!!ni mnafiki sana haswa anaposimama mtetezi wa wanyonge(CHADEMA)
 
Lissu ni sawa na wabunge 150 wa ccm, kiakili, Personality, Kiuchambuzi ...hebu nitajie mbunge yoyote wa ccm anaemkaribia uwezo huyo jamaa
 
kwanini wamezima kipaza sauti??? kweli nimeamini siasa ni kipaji nilivyo na hasira ningeweza kung'oa hapo hicho kipaza sauti na kila siku ningepigana huko bungeni duhh kazi buti mkuu Lissu
 
Back
Top Bottom