Mkutano wa CUF Matemwe

Kakke

JF-Expert Member
Dec 4, 2010
1,883
1,482
[h=2]Monday, June 10, 2013[/h] [h=3]Mkutano wa CUF Matemwe[/h]

Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad akiwahutubia wafuasi wa chama hicho katika mkutano wa hadhara uliofanyika Matemwe, Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Wafuasi wa CUF wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Chama hicho Maalim Seif Sharif Hamad, katika mkutano uliofanyika Matemwe

Mwakilishi wa jimbo la Mji Mkongwe, Ismail Jussa Ladhu akizungumza na wafuasi wa CUF katika mkutano uliofanyika Matemwe, Mkoa wa Kaskazini Unguja.
by-by-ccm-564x423.jpg

Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad akionesha kadi miongoni mwa kadi za CCM zilizorejeshwa katika mkutano wa hadhara uliofanyika Matemwe, Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Naibu Katibu Mkuu wa CUF Hamad Massoud Hamad, akizungumza na wafuasi wa CUF katika mkutano uliofanyika Matemwe, Mkoa wa Kaskazini Unguja. (picha na Salmin Said, OMKR)
 
[h=1]Ccm by by Mkoa kaskazini UNGUJA[/h]
Foleni ya waliohama ccm haikonekana mwisho wake, wengi ya wananchama hawa ni vijana wanawake na wanaume huko mwatemwe katika mkutano wa cuf, wameamua kujiunga na Cuf kutokana na sera yake ya kudai mamlaka kamili ya zanzibar.

Sera hufuta wananchi sio wananchi kufuata sera ambazo za watu wachache wenye kujinufaisha wao peke yao kwa maslahi yao binafsi, ndio ccm, sasa nananchi wameamka wanajua wapi pa kuelekea.

Hongera CUF, MAMLAKA KAMILI YA ZANZIBAR SOON
 
[h=1]Ccm by by kaskazini UNGUJA[/h] Written by Ghalib // 10/06/2013 // Habari // 1 Comment

La kusudi huambiwi pole maana Wahafidhina walishikilia upuuzi wao wa Serikali 2 kuelekea 1 na asotaka ahame ndio ukaona watu wanahama
 
Ccm by by Mkoa kaskazini UNGUJA

Foleni ya waliohama ccm haikonekana mwisho wake, wengi ya wananchama hawa ni vijana wanawake na wanaume huko mwatemwe katika mkutano wa cuf, wameamua kujiunga na Cuf kutokana na sera yake ya kudai mamlaka kamili ya zanzibar.

Sera hufuta wananchi sio wananchi kufuata sera ambazo za watu wachache wenye kujinufaisha wao peke yao kwa maslahi yao binafsi, ndio ccm, sasa nananchi wameamka wanajua wapi pa kuelekea.

Hongera CUF, MAMLAKA KAMILI YA ZANZIBAR SOON

Hakuna ishara inayoshabihiana na ujumbe wako, fafanua tukuelewe hii inawezekana ikawa foreni ya ugawaji wa mahindi maana haionyeshi dalili yeyote ya tukio la kisiasa maana hakuna bendera wala dalili zozote za chama chochote cha siasa.
 
Aisee hii katiba mpya cc chama wamekamatwa pabaya!!

BaSent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
[h=1]Ccm by by kaskazini UNGUJA[/h] Written by Ghalib // 10/06/2013 // Habari // 1 Comment

Foleni ya waliohama ccm haikonekana mwisho wake, wengi ya wananchama hawa ni vijana wanawake na wanaume huko mwatemwe katika mkutano wa cuf, wameamua kujiunga na Cuf kutokana na sera yake ya kudai mamlaka kamili ya zanzibar.

wote wamevaa yeboyebo chezea tanganyika wewe, kweli wapewe nchi yao maana hali ni mbaya kwao.
 
Kwa hiyo hao wote unataka kutuambia ni Maliberali? Au wengine walikuja kama washuhudiaji tu huko Uliberalini?
 
Hakuna ishara inayoshabihiana na ujumbe wako, fafanua tukuelewe hii inawezekana ikawa foreni ya ugawaji wa mahindi maana haionyeshi dalili yeyote ya tukio la kisiasa maana hakuna bendera wala dalili zozote za chama chochote cha siasa.

Mkuu umenena,hata mavazi hayaashirii ni mkutano wa CUF,hata mavazi meupe au kanzu na baraghashia hamna
 
TUMEWAPACHIKA JITI SASA WANATAKA KULICHOMOA!!kWIKWI KWIYAAAAAH WAACHE WAENDE WAKAJIRIBERARI tushawachoka miaka 50 tunawapumulia tu dah!!!
 
Mkuu umenena,hata mavazi hayaashirii ni mkutano wa CUF,hata mavazi meupe au kanzu na baraghashia hamna

Sio wazanzibari wote wanavaa hivyo unavyosema wewe inategemea unatokea sehemu gani ya zanzibar,wakaazi wa matemwe ni wavuvi hawawana tafauti yoyote na mkaazi mlingotini bagamoyo ;)
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom