Nuclear State of Tanzania

Nuclear State of Tanzania

Tanzanite klm

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
480
Reaction score
413
Hello Tanzania,najua hili ni jukwaa linalotembelewa na watu wengi wakiwamo wapenda nchi ya Tanzania kwa dhati.

Natamani na ni naamini Tanzania siku moja itakuwa super power in Africa and in the World,.

Naishauri serikali itenge pesa nyingi angalau asilimia ishirini ya bajeti kwa ajili ya sayansi na utafiti na technology.

Science na utafiti ndio chachu ya maendeleo ya taifa lolote duniani.

Kuwa na rasilimali nyingi sio ishu ya maana,embu angalia saudia arabia yenye mafuta mengi sana na japan linganisha,japan hawana rasilimali bali wanao wataalamu,au nenda middle east utakuta Israeli ina mafanikio makubwa kiuchumi kwa sababu wamewekeza sana katika sayansi na technology.

Hizi urenium na madini kibao na gesi tulizo nazo hazina faida kama hatuna wana sayansi wa kutosha.

Endapo tukaweka nguvu kubwa katika sayansi.

Na pia naungana na mawazo ya hayati Steven Job the co founder and ceo of apple company kuwa walimu wote ambao wapo shallow katika content wafukuzwe makazini jaraka ili wasije wa ka pollute mind za watoto,na kwa hatua ya kwanza ili kupata smart mind lazima walimu wawe ni golden boys.

huwezi kutumia akili ndogo kutengeneza akili kubwa hata siku moja.

Tukiamua Tunaweza.
The Economy giant in the Africa and middle east (Tanzania)
 
makamo wa Rais si ndio fani yake...mbona keshaipiga hiyo fani chini long time kmvijana waendao jifunza ufundi magari na kuishia kuwa madereva au makondakata.

Mzee kuifanyi akazi uraniaum ni biashara ingine, na kuchimba ni ingine...Nchi kibao z akiarabu zina mafuta iala hawasafishi...pamoja na hela kibao wapatazo.Ni bongo tuu kwa uzembe tumeua Tipper.
 
najua kuna pilot plant ya niclear energy wanataka ijengwe chuo cha mandela arusha kwa kushirikiana na korea ya kusini na wakaanzisha msc na phd yake. mpango huo ipo. ila shida ni vipaombele vya kila mtu anaposhika madaraka.

mi ningesema tuunde taasisi ya taifa ya taifa na mfuko wa masomo ya juu, kujenga maabara za kisayansi pamoja kibadili mfumo wa elimu ya juu.

mwingine analinda chama chake tu kisitoke madarakani na kuwekeza zao kwenye siasa.

hapa ndo tofauti yetu. na kumbuka rais anayeheshimika na kuogopwa lazima awekeze kwenye sayansi. angalia irani, israel, china, india, nk. heshima yao ni teknolojia.
 
Ni wazo zuri for sure,Ngoja tuone labda Mwigulu Nchemba ataiona hii thread,tukiwa na technolojia nzuri hata yeye movie zake atakuwa anatembelea hapahapa

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Madina na rasilimali zote pamoja na watu weusi zinamilikiwa na binadamu mweupe

Kataa au ukubali
 
najua kuna pilot plant ya niclear energy wanataka ijengwe chuo cha mandela arusha kwa kushirikiana na korea ya kusini na wakaanzisha msc na phd yake. mpango huo ipo. ila shida ni vipaombele vya kila mtu anaposhika madaraka.

mi ningesema tuunde taasisi ya taifa ya taifa na mfuko wa masomo ya juu, kujenga maabara za kisayansi pamoja kibadili mfumo wa elimu ya juu.

mwingine analinda chama chake tu kisitoke madarakani na kuwekeza zao kwenye siasa.

hapa ndo tofauti yetu. na kumbuka rais anayeheshimika na kuogopwa lazima awekeze kwenye sayansi. angalia irani, israel, china, india, nk. heshima yao ni teknolojia.

mkuu ulichoongea ni kweli kabisa.
We need to change,
nchi yetu hata falsafa yake ni aibu tupu eti kilimo kwanza,.
Ni nchi gani duniani imeendelea kwa kutegemea kilimo?,professor d rudomph alisema afrika kusema kilimo kwanza ni kujidanganya
inatakiwa mapinduzi ya viwanda na kilimo kwa pamoja
 
najua kuna pilot plant ya niclear energy wanataka ijengwe chuo cha mandela arusha kwa kushirikiana na korea ya kusini na wakaanzisha msc na phd yake. mpango huo ipo. ila shida ni vipaombele vya kila mtu anaposhika madaraka.

mi ningesema tuunde taasisi ya taifa ya taifa na mfuko wa masomo ya juu, kujenga maabara za kisayansi pamoja kibadili mfumo wa elimu ya juu.

mwingine analinda chama chake tu kisitoke madarakani na kuwekeza zao kwenye siasa.

hapa ndo tofauti yetu. na kumbuka rais anayeheshimika na kuogopwa lazima awekeze kwenye sayansi. angalia irani, israel, china, india, nk. heshima yao ni teknolojia.

absolute correct
 
Madina na rasilimali zote pamoja na watu weusi zinamilikiwa na binadamu mweupe

Kataa au ukubali

P.W.Botha alipata kusema,lakini sio sahihi,
mbona wenzetu wa asia wameweza?,why not us?
Bad politics
 
Back
Top Bottom