Mh. Edward Lowassa leo yupo Mjini Moshi kutunisha mfuko wa Moshi Rural Teachers saccos-mrts


D

DR. PHONE

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2012
Messages
504
Likes
0
Points
0
D

DR. PHONE

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2012
504 0 0
Asubuhi hii Mzee wa harambee Mh. E L yupo hapo MUCCOBS kuongoza harambee ya SACCOS ya waalimu wa Moshi vijijini katika harambee hiyo yupo pia anayejiita mlezi wa SACCOS hiyo MB. wa Moshi vijijini Dr. C. Chami, yote hii kwa maoni yangu ni kwa ajili ya maandalizi ya chaguzi zijazo sasa wanasafisha njia.
 
B

Bangoo

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2011
Messages
5,600
Likes
6
Points
135
B

Bangoo

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2011
5,600 6 135
Mzee wa harambee..
Mwache afanye...
Wanamona anafaa kwa harambee..acha wamtumie.
 
D

DR. PHONE

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2012
Messages
504
Likes
0
Points
0
D

DR. PHONE

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2012
504 0 0
Mzee wa harambee..
Mwache afanye...
Wanamona anafaa kwa harambee..acha wamtumie.
Wasiwasi wangu ni kwamba atakapochinjiwa kwenye maji 2015 anaweza kufa mzee wa wa2
 
B

Bangoo

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2011
Messages
5,600
Likes
6
Points
135
B

Bangoo

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2011
5,600 6 135
Akifa si basi wamekufa manabii!
 

Forum statistics

Threads 1,273,319
Members 490,351
Posts 30,477,938